Haki kila kitu hapa is soo interesting😂😂😂 just ukianza na wa kuchanganya nguo na viatu Kwa besheni moja akiosha😂😂....Yani evething hapa ni Noma....Awiti na shifira😂😂😂....
Ai crotus unafuta mwenye anahitaji ndoo zaidi, at least ungeskiza apo kwa wyf kupata twins, I wish wenye nchi wanaeza ona hii wajue vile wananchi wanaumia
Mwovovia wil buy Club ya Crotus...who else thinks that way.😎
You are a visionary. That's what will happen.
Me too i see that
na umefikiria sana, the song that says, wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima, shall apply here. haha
@@chepkemoijoyline358 yeah.....Naona mtu atapatwa na shock ....cant wait for next week....
Na vle Mwovovia alikua analala nyumba ya kuku na chini ya kitanda....
Wow this is episode is of less laughs n more lessons about the normal mwananchi and the economic challenges 👍
Krotas should start acting as main character, I can watch him over and over again
Just when i thought shiphira n awiti have separated, in a minute they are back... hawa drama yao iliisha taste
Crotus man of the house, that pride😁☺
Thumbs up👍
Shifira atanimaliza😂I toldez you we are sisters😄😄
Uhunye huwa anaingia huku? He should see how it pains, what his government is doing. Retrenchments. So emotional. Atumiwe link pia
True
Njugush made me love this programme but now mwobobia is taking his place,i just love watching that guy
Hii accent ya kimeru itanmaliza🤣🤣🤣
3:28 Nkiro amesema "Oolimpiki"😂😂😂🤣
May God touch our Economy, may he bring back the smiles on our faces. Tukutendereza Yesu
Prayer and ACTION.
Amina
😢😢🤦
Awiti my gals😂😂Aki shiphira will kill me someday
layoffs are so painful... if you know you know
Awiti is always lucky when she is shown the door she has something to keep her back
Kale in the house lots of love ❤❤❤❤❤❤
🤟
Thanks for bringing Mobobia back hilarious.... Nkurote Naye apeleke ujinga yake Meru makasiriko kama locust
Shifira awezi ishi bila Awiti we all know that🤣🤣🤣
Unfortunately
Akiweka ule cuzo ya Michi.anaweza ishi bila Awiti
Hawezi we all know tat😂😂🤝
Woiye aki kufuta mtu kazi na sahio unaskia ako na watoto mapacha sii inauma aki,crotus kweli uko na roho ya utu kwa hio reaction umeonyesha 😔😔
Huyu mkalee yake iko another level😁😁
Mumeleta ukabila Hadi uku?
Awiti ni kama huwa anaomba akiface Mecca south wengine wakienda North. Kila mara akifukuzwa, masaibu inapata Shiphira inabidi amerudi
🤣🤣🤣 kweli huyu sioni akienda anytime soon
good
haahahaha
Haki mwovwovia na nkrote wameshinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sindio tena ile mbaya sana😂
Kabisa
I lost it at KITIARA ‘’ 😂😂🤣
mwovovia looks like diamond platinumz
I know right
Haki kila kitu hapa is soo interesting😂😂😂 just ukianza na wa kuchanganya nguo na viatu Kwa besheni moja akiosha😂😂....Yani evething hapa ni Noma....Awiti na shifira😂😂😂....
Crotus Abong na ujaluo ndani yake😂😂😂
😃😃😂😂😂
i like the new kale girl ❤
Maureen Moh I like you too😊u looking good..uko juu ka bei ya nyanya😢can i Slide😆
@@princejames4467 you can slide 😂😂
@@maureenmoh9137 🤣🤣🤣
😂😂😂Hyu mkale yawa🙆pwahahaa Awiti Gorilla
Crotus sasa John atakula wapi aki na ako na mapacha😱
Aki shiphira one day na hii kisungu my gals...will kill me oohh
1st comment.. 2nd viewer,,, nice content
Top 10 comments 😂😂😂 lazima niringe
I hope Crotus will not lose his club. Camilla's hair is pretty. I hate auctioneers.
Today was a wonderful tale crortus big up direct image ya serikali yetu
I like this new lady. ...
This episode is too real in the normal life... . Crotus you won
This episode is so relatable, maisha aki 😂😂. One of my favorites of all time. 💛💛
Sasa leo niko No 1 kuwatch🤣 likes zikam thru watu wangu
Kilokilo
Awiti is unbwoggable!iko nini.....Good acting my girl...👌🏿
Imebidi nime skip hiyo part Crotus anachuja mtu job.
😭😭😭
It's so well acted that it's painful. Wah
Sana
the financial adviser guy is a good actor
Enyewe this February proudly brought to you by January. Uchumi haitaki makasiriko
Mwovovia umeweza keep it up
Mnaweza guys nice job
Kityaran😁😂😂😂mkale thumbs up😂
Kuna mkale on the show 😂😂 kityaran teta
Awit and shiphira are so funnyyyyyy
Niko Back to Back na Hizi Episodes.....😀😀😀😀Loving it
"the nine lives of awiti"😂😂
Hiyo kufutwa kazi was so touching. I felt it.
Kilo kilo nyamaza 😀😀😀😀team ya umbenye
Crotus best business manager and considerate
1st time ever on number1 viewer
My all time best love you guys
Camilla.. Welcome back
Hahahahaaa Awiti na Siphira hawa hawawezi achana hata kama
Ooh my ribs 🤣🤣🤣🤣🤣shiphiraaaaaaaa
At least I will be at peace Awiti ain't going anywhere any time soon. For Mr. Abong ' that is real.
We kilo kilo nyamanza 😂😂
Hehe I love the ending
Janet aki arudi na bwanake
I already miss her
This episode's been lit🔥🔥🔥🔥😂😂
Awiti & shiphira are inseparable
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁. The end is everything
This round @waithakamukuria nataka nijue Njambi anaendeleaje
Among number 10 kucomment...nimekaza trouser bila mshipi
this episode.
reality huku kwa ground
🤣🤣🤣🤣🤣 Shifira sai awiti anaka like sister yako naukumbuki venye ulikwa unamufurusha akutoke kwako.
Mwobobia😂😂😂
Jaluo Jeurii!!!
Heheee, Awiti afurahia kupebelezwa
Ati injury alitoa wapi?????🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣
Anaitwa Awiti, mambo baaad 😂😂
I comment as a kalee😂😂
The current sad reality of our nation....uhunye apewe link..in deed tough economic times.
6.40 We kilo kilo nyamaza🤣🤣🤣.
Kale represent
🔥🔥🔥
Leo niko top 10
Huwezi jua crotus akismile ama amefura
I toldes you😂😂😂😂😂😂😂😂
Now is what we call "utu " Krotas we understand Ua situation
Yenyewe uchumi ni mbaya
Woooiiii shipira 😂😂😂😂😂
Leo nitalala hapa niki comment ...Awiti Mungu anajua kukunyamazishia shiphira saa zile amekuleta juju
Awiti is here to stay 🤣🤣🤣
Nice 😅😅😅
Crotus😂the man🇰🇪💪
Awiti utabigwa bare ujishtukie hukoooooo kwa gate😁😂😂
Hapo kwa kufutwa kazi inaumaa aii.. hadi chrotus amekuwa mpole for once
Awiti na Shiphiras watatuonyesha mambo😂😂😂
Hahaha Awiti is uncesable😀
Roho saba kama paka.. siku umedhani unammaliza kisanga lazima itokelezee
Knirotee...asiende kuharibu ndoa ya Camila tena.......ashikilie kwake😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣😂😂uyu mkalee woi
🤣🤣 acha wee chepbilbil kele kiitjarin teta keldo ooo ra taiwendi Tokyo Olympics
she is lit, kityaran hahaha
Hata mimi niko top ten yawaa 😂lazima niwakilishe kale nani uyo ajaenda shule anaita mlango huyu 😂aki awiti
Suggestion:Awiti akue boss shiphira akue mboch coz amesota..muone kipindi ikiwa motto🤔🤔.Thank me laiter😎😎
Ai crotus unafuta mwenye anahitaji ndoo zaidi, at least ungeskiza apo kwa wyf kupata twins, I wish wenye nchi wanaeza ona hii wajue vile wananchi wanaumia
Mlitoa wapi Aman, kum Kum bhagya🤣🤣🤣🤣
Aki Awiti na Shiphira😂😂😂😂
Mlango huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aki awiti😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 nguo za Awiti woiii