MKOBA WA MAMA Episode [ 19 ]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 271

  • @tanuplus
    @tanuplus  2 місяці тому +114

    NDUGU ZANGU MASHABIKI NAOMBA MUWE MNATUPA NAUSHAULI KITUGAN MNAPENDA KITUGAN HAMPENDI NA TUONGEZE NINI NA TUPUNGUZE NINI

    • @Hellenkhalid-p5i
      @Hellenkhalid-p5i 2 місяці тому +7

      Uwe una suka hvyo kuliko vile na mwenyele😂😂

    • @emmanuelthobiasi
      @emmanuelthobiasi 2 місяці тому +6

      Muongeze dakika

    • @LeyGabash
      @LeyGabash 2 місяці тому +5

      Tunaomba dakika nyingi au utupostie kila siku

    • @KhadijahDidah
      @KhadijahDidah 2 місяці тому +4

      Mm natka ukubal tu uwo mkoba kaka na chengine uongezee mdaa❤❤🎉 ila kazi zako nzri mashaallah ♥

    • @fatmamohammed8346
      @fatmamohammed8346 2 місяці тому +3

      kiupande wanfu najuwa mnamajukumu mengi lkn jitahidi muwe mnatuwahishia msikae sanaa mnatuunguia radhaa ila mko vizuri tunawapenda washiriki wotenafanya vizuri big up kaka tanu ur the best

  • @raineryponera3278
    @raineryponera3278 2 місяці тому +7

    Kazi nzuri jmn love you guys ❤❤❤

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 2 місяці тому +6

    Kazi nzuri sana Kaka Tanu 🎉🎉🎉🎉🎉Much love from Kenya 🇰🇪

  • @alexsilvano332
    @alexsilvano332 2 місяці тому +3

    Muwe mnawaisha tu kazi.kiukweli brother Tanu unafanya kazi nzuri na tunakukubali

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 2 місяці тому +7

    Safi kaka mungu akubarik sana tanu 🎉🎉

  • @kashindimone2129
    @kashindimone2129 2 місяці тому +8

    Kazi nzuri ,, from mozambique

  • @HhosnaRashid
    @HhosnaRashid 2 місяці тому +5

    ❤❤❤❤ kwa wote ila una chelewa kuleta kazi

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 місяці тому +2

    Naukubali sana mkoba wa mama ❤❤❤❤🎉 sema tanu unachelewesha sana siku hizi😊😊😊

  • @ashambonde4748
    @ashambonde4748 2 місяці тому +6

    Kazi nzuri sana hongera

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 2 місяці тому +3

    Tusalimiane team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 sijachelewa sana

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 2 місяці тому +4

    Napenda quality ya kazi yenu Ata bila kuadjust quality inaonesha vizuri 😊🌹

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 2 місяці тому +12

    Tanu anatufundisha jinsi mapenzi yanaharibu vitu

  • @ahmadkombo6846
    @ahmadkombo6846 2 місяці тому +3

    Work is fantastic from Bukinafaso🇧🇫

  • @lucyjuma-nl2ko
    @lucyjuma-nl2ko 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana ila mna chelewesha mno.... Halafu pia dakika nikido muongeze ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉love you so much my people 😊

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 місяці тому +8

    Mackin halima ameonekana punguwani ili hali ni mambo ya kweli😢😢

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi 2 місяці тому +2

    Jamani mwamtesa halima 😢mungu amtue nguvu aki❤I love you halima

  • @SimaojorgeManuel
    @SimaojorgeManuel 2 місяці тому +5

    Mimi wa kwaza kutoka Moçambique cabo delegado

  • @happyauleus5198
    @happyauleus5198 2 місяці тому +5

    😊😊😊😊kitu nikipendacho

  • @BernadetteOmoss-rg1ls
    @BernadetteOmoss-rg1ls 2 місяці тому +3

    Wapili kutoka Kenya nawapenda wote

  • @nicktv4395
    @nicktv4395 2 місяці тому +13

    jaman movie nzuri sana maoni yangu ongezeni dkk ata ziwe40

    • @anzurunindume
      @anzurunindume 2 місяці тому

      Apana hizo zinatosha maana sisi wengine tupo kazini Kila mda

    • @tituskijanjwa
      @tituskijanjwa 2 місяці тому

      Dakika zinatosha. Hata mwenye bando la 300 anaangalia

  • @salmaathumany
    @salmaathumany 2 місяці тому +4

    Ruy upo vzr utafika mbali

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 місяці тому +3

    Tanu jamani 😂😂😂kwa uvulana gani ulionao😂😂😂😂

  • @SalmahAbdallah13
    @SalmahAbdallah13 2 місяці тому +5

    Tanu na ww unaogopa kuharibiwa uvulana wako😂😂😂😂

  • @stynoebondomwepu3582
    @stynoebondomwepu3582 2 місяці тому +8

    Munafanya muzuri kweli, muongeze munite svp

  • @omegamasaki8500
    @omegamasaki8500 2 місяці тому +5

    Jaman vipande vinachelewa kila saa tunachungulia utasema tunaaga marehemu😢

  • @Salim.Muraad95
    @Salim.Muraad95 2 місяці тому +5

    Wakwanza Leo ❤❤❤❤

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 2 місяці тому +3

    Maskini alima sikuitaji ashindwe nauzika 😢🇧🇮

  • @Chabro-u5z
    @Chabro-u5z 2 місяці тому +6

    Muwe mnatoa japo kila baad ya siku 3 kipande kimoja

  • @abdulrahimali2639
    @abdulrahimali2639 2 місяці тому +8

    Wahusika wamebobea katika tasnia hii
    Munaiwakalisha Tanzania 🇹🇿 kimataifa na Africa mashariki kwa ujumla .
    Kikubwa msikawie katika kupost episodes twafaham kazi ya sanaa ina mandalizi mengi mujitihidi

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +1

      Tunashukuru Sana kwa maoni mazuri.

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 2 місяці тому +7

    Haya sibomana. pokea zawadi hiyo ya kupigwa nao na muhina ,,,,,ila muhina wewe hiyo ndo zawadi kweli,,,,sibomana umekwisha

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +2

      Mtoto kanielewa mganga, waganga na Sisi tunahisia tu.

    • @fatmamohammed8346
      @fatmamohammed8346 2 місяці тому

      @@Mhinaog ngoja tuone itakavokuwa baada ya kuliwa na bwana mhina 😂😂😂ila mko vizuri wote mnastahili pongezi kazi nzuri ,,,,,ckuiz hakuna haja ya kuangalia wainajelia eti kaotea gafla kageika mmbwa hongera kwa director piya ,,,,,aiseee tunaenjoy sanaaaaahabiki zenu

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 2 місяці тому +4

    Alima ni mpore na nimzuli

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 місяці тому +2

    Muhina juwakama mwisho waubaya aibu umeshinda leo lakini mwisho utaumbuka tu 😢

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +1

      Sawa, Acha tuone

  • @SimaojorgeManuel
    @SimaojorgeManuel 2 місяці тому +6

    tanu unajua sana

  • @zaituniomar4182
    @zaituniomar4182 2 місяці тому +5

    mpo vzuri

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sanaaaa ila chaupere na mwaji mmemkosea sanaa alima lakini siri zote sitachulikana tu mda sio mrefu tanu naye ulisikia wapi mikoba inachomwa umekula chuma tanu

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 2 місяці тому +2

    KAKA ANGU TANU pokea mikoba bwan

  • @EMAPLUSTV
    @EMAPLUSTV 2 місяці тому +1

    UKiachana na uhusika wa Muhina ila Jamaa anajua sana maua yako bro🎉

  • @ZawadiMnara
    @ZawadiMnara Місяць тому +1

    huyu mzee anaongea kama mzee magari😅😅😅

  • @SelemaniMalandi
    @SelemaniMalandi 2 місяці тому

    Tanu move nzuri Sana, Ila mnachelewesha sana

  • @Shiva-wo8yh
    @Shiva-wo8yh 2 місяці тому +10

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 likes zangu jamani

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 2 місяці тому

      Another failure hutateseka sana

    • @Shiva-wo8yh
      @Shiva-wo8yh 2 місяці тому

      @@graffinamisi kama Baba 🤣

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 2 місяці тому

      @@Shiva-wo8yh 🤣🤣🤣

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 місяці тому

    Halima kazi anaiweza aseeeeee 🎉🎉🎉anajulia uhusika 🙌🙌🙌

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 2 місяці тому +1

    🎉🎉❤💔🔥🔥

  • @Katungu-nj7ie
    @Katungu-nj7ie 2 місяці тому

    Njamani sijasikia uwowimbo leo naomba muurudishe tafazali naupenda 🎉🎉aliuwa baba uyo aka uwamama aka uwabibi akauwababu 😂😂😂yaani nasikiaga raaa ukiibwa😂😂😂😊

  • @Yothamubindu
    @Yothamubindu 2 місяці тому

    Kazi nzur hongrer san

  • @KhadijaMwinjuma
    @KhadijaMwinjuma 2 місяці тому +2

    Muhina mganga wa ovyo sanaa😂😂😂😂

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +1

      Jamani nimefanya nini tena?

    • @KhadijaMwinjuma
      @KhadijaMwinjuma 2 місяці тому

      @@Mhinaog 🤣🤣wee atarii kaka

  • @IbrahimMwamba-k5z
    @IbrahimMwamba-k5z Місяць тому

    Tanu tanu tanu nimekuita marangapi tanu nakuona unavyopigwa na kitu kizito sana kuhusu mkoba huo we msikilize tu sandra

  • @domysulley1887
    @domysulley1887 2 місяці тому +3

    Mhina una roho mbaya zaidi ya shetani

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +2

      Ukiona mtu anaroho mbaya ujue kuna watu walimtenda vibaya, Familia ya Tanu ilimtenda vibaya Baba yangu.

    • @domysulley1887
      @domysulley1887 2 місяці тому

      @@Mhinaog haijalishi kaka unatakiwa kusamehe tu na pia hiyo movie inatakiwa kutupa funzo chanya na siyo hasi kwa hiyo umakini unatakiwa. Je mnataka sisi tujufunze kulipiza kisasi au kusamehe. Inategemeana na ujumbe mnaotaka jamii ijifunze.

    • @AzizaChuri
      @AzizaChuri 2 місяці тому

      Muhina yupo sahihi ujumbe anao ngoja tuendelee kuangalia move tuone mwisho wa muhina kwenye maisha yakawaida watu kama muhina wapo sanatu

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 місяці тому

    Naona Hadi wacongo wanaelewa show za tz hongereni sana DRC waasi acheni vita bwana mnatumiw viby na warwanda

  • @martializer
    @martializer 2 місяці тому +2

    Good work🔥🔥

  • @abubakarswaleh5667
    @abubakarswaleh5667 2 місяці тому

    Safii sana Tanu episode zazidi kuwa motoo ajaab

  • @mrbig2181
    @mrbig2181 2 місяці тому

    Good mawazo episod hixi

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂Muhina zawadi yenyewe ya kumpa sibomana ndo hio jamani 😁😁😁
    Sawaaaaaa 😁😁😁

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 2 місяці тому

    Umechelewa Sana tulimiss Mikoba

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢
    Masikini Halima polesana

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 2 місяці тому

    Tanu kazi nzuri sana na timu yako

  • @AyubuJoseph-om3ks
    @AyubuJoseph-om3ks 2 місяці тому

    Sigwemana nakupenda mpaka naumwa walah ❤❤❤❤❤nikubalie please

  • @salmaathumany
    @salmaathumany 2 місяці тому +1

    Kaz nzr inamafunzo🎉🎉🎉🎉

  • @faizhassan8423
    @faizhassan8423 Місяць тому

    halima yuko vizuri.

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 2 місяці тому

    Kazi nzuri tanu Big up sana

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 місяці тому

    😂😂😂Ila sibomana sijapenda kumuita mwenzio kibonzo 😂😂😂😂😂

  • @eagleboy255
    @eagleboy255 2 місяці тому +2

    Et usije ukaniharibia uvulana wangu😂😂😂

    • @RASHEEDTV-c3s
      @RASHEEDTV-c3s 2 місяці тому

      😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @NurudinNgumba
    @NurudinNgumba 2 місяці тому

    Daa Jaman tuache masihala huyu Tanu ni mkubwa Lakin jau sana

  • @AllyOmary-ui7sv
    @AllyOmary-ui7sv Місяць тому

    Huyu mwanje kuna kitu anacho namuona mbali sana

  • @BabazMnyamwezi
    @BabazMnyamwezi 2 місяці тому

    Mnazingua sana

  • @Nashbeib
    @Nashbeib 2 місяці тому

    Kazi nzuri🎉

  • @SharifaHasani-c9c
    @SharifaHasani-c9c Місяць тому

    Unakaza sanaa kuwa mganga

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 2 місяці тому

    Uyu mwina ninoma🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉

  • @JohnChibanhila-ld6vv
    @JohnChibanhila-ld6vv 2 місяці тому

    Safi,ila tunaomba mzidi kuboresha zaidi baadhi ya Vitu kama vifaa vya kurekodi sauti vinase sauti vizuri zaid,pia kuna vijisehemu mfupishe kama vile Watu wanapoongea kitu waongee vitu kwa ufupi ili dakika zisiishie kwenye sehemu chache🇹🇿.Hii ni Sauti ya Mashabiki🙏🇹🇿

  • @FaridahLipepe
    @FaridahLipepe 2 місяці тому

    Kazi Kali mno

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m Місяць тому

    Tanu eti hasi alibiwe uvulana wake tanu me nakuita baba yang umejuw kunivunja mbavu😂🤣

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 2 місяці тому +2

    nawaza saa juuu ya muhina na sibomana ,,,,,hivi kweli muhina bora ungesema nikuowe sibomana ingekuwa sawa lkn zawadi ya kuchezea pumbu zako usiku kucha ,,,,,unazambi kaka weweeeeeee nae anaji hekesha tyuuuu

    • @Mhinaog
      @Mhinaog 2 місяці тому +1

      Ndugu yangu na Sisi waganga tunahisia pia 😂😂

    • @fatmamohammed8346
      @fatmamohammed8346 2 місяці тому

      @@Mhinaog umenichekeshaaaaa mhinaaaaaa,,,,mbona siboman
      atakiona cha moto ataliwa na muhina mizimu amoja na majinii akitoka huko yuko hoiiiiii😂😂😂😂😂😂

  • @JasminKilimo
    @JasminKilimo 2 місяці тому

    Kazi nzurii sana ♥️♥️🎂

  • @OmanMobile-v7h
    @OmanMobile-v7h 2 місяці тому

    Kazi mzurii hata usijalii ❤❤

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 місяці тому

    Tanu na pose za mjini 😁😁😁sawa

  • @cutenaa6984
    @cutenaa6984 22 дні тому

    Waganga mpo nyote mmeshindwa kugundua km halima karogwa😅

  • @RizikiNyale
    @RizikiNyale Місяць тому

    Jamani sozi huo mdomo wueeeh

  • @YassanYussuf-em3lu
    @YassanYussuf-em3lu 2 місяці тому

    Pp unguzeni sauti ya mziki pindi wasanii kasema please 🙏🥺 mwatuchanganaya kiukweli

  • @KaisiMwakyusa
    @KaisiMwakyusa 2 місяці тому

    Jaman icho kiluga wengne a2elewi kabisa ongea lugha moja 2

  • @mkombozsanga
    @mkombozsanga 2 місяці тому

    Kwakweli mko vizuri lakini ongeza dakika boss

  • @stym12345
    @stym12345 2 місяці тому

    Big up broo

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 2 місяці тому

    Wow kazi nzuri

  • @AbdurahimMohd
    @AbdurahimMohd 2 місяці тому

    Tunaomb mutuongezee dakika brother Tanu 🙏 From zanzibar

  • @FatumaJumah
    @FatumaJumah 2 місяці тому

    ila jamn hi muvi mzuli sana

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂ila Tanu 😂😂😂😂😂😂nyie nmechekaaaa 😂😂😂😂jamani nmecheka mpaka nimepaliwaaaa 😂😂😂😂TANU asije kuharibiwa uvulana wake na uzee huo 😂😂😂😂😂😂tumuache TANU jamani hajawahi tabia mbaya 😂

  • @AishaChumu
    @AishaChumu 2 місяці тому

    Sibomana katumiwa afu katumiwq tena😂😂😂umbea umemuadhiri kaliwq mchana kweupe😂😂😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 місяці тому +1

    Huyu kiongozi bomu mwepesi sana wamamuzi

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 2 місяці тому

    Movie nzuri sana

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 2 місяці тому

    Tanus wewe ni bingwa ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MayalaTina-xq9py
    @MayalaTina-xq9py 2 місяці тому

    Mnachelewesha sana wapendwa

  • @JasintaSalum-p9k
    @JasintaSalum-p9k 10 днів тому

    Sandra nawe umempenda lin tanu😮😮😮

  • @badryabdulrahman1114
    @badryabdulrahman1114 13 днів тому

    Tanu umeweza bro

  • @Stephano-j5p
    @Stephano-j5p 2 місяці тому

    Ushaur Wang nataka mapenz yakuuwe jamaa ang 😂😂😂

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 2 місяці тому

    😂😂😂😂 ila Tanu mpka unawunguza mikoba sasa cuma ico umepata😂😂 mtowongezeye dakika please

  • @mwinyijuma6567
    @mwinyijuma6567 2 місяці тому

    We mzee tanu chukua mikoba😂😂

  • @Jasminehilali-dl2zm
    @Jasminehilali-dl2zm 2 місяці тому

    Jmn kueni wavumilivu iyo kusema wanachelewa kazi ngumu hii sio rahisi kitunga story kila siku

  • @Edith-rq3mm
    @Edith-rq3mm 2 місяці тому

    Humu watu ni wanafik San duuu halima umeumbuk achn na hizo habar kabisa

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 місяці тому

    Tanu kwani hizo ndevu ndio fiucha yako maana ahiii😅❤

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s 2 місяці тому

    Safi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhadijaMwinjuma
    @KhadijaMwinjuma 2 місяці тому +1

    Sasa hao siwagagq wafanye kitu wajue kama kweli au siyo kwelii

  • @MensonSwalo
    @MensonSwalo Місяць тому

    Muhina Acha uhuni iyo ndozawadi kweli kumtafuna sibomana au ndomtoto kautaka