Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Huyu Jamaa namkubali Sana MUNGU Ambariki Zaidi Dunia imjue🙏
Sarute sana Ngosha mwenzangu wasukuma hatuzuiriki
safi sana kaka, upo na uhalisia sana
Ogopaaaaa
Wasukuma na utajiri wao ogopa
Daah hatimie jamaa kafke Wasafi 😢 Nlkuwa namuona san tiktok tu😂
Nyanda kabundi nakufuatilia xana mwamba umetisha
Shida ni Moja kwa jamaa,anafunguka sana mpak ya ndan
Nyanda kabudi naona Leo upo wasafi fm wewe hatareee ogooopaaa
Big up
Heeee tayari ana mke, aisee wasukuma😂😂😂
Phil foden ana miaka 21 ameoa ni msukuma!? ,Enzo wa Chelsea anamiaka 22 ni msukuma !? Nyie mnaishi kizwazwa hamna namna yakuwalishs wale mtakao waoa 😂
Wasukuma hatuna baya
Million tatu
Ogopa
Rest in peace Dida
Nilivyompendea huyu jamaa yeye anaongea ukweli vyandani yaani duh!
Nimefurahi sana jamaa alivyo open
Unachekesha sana
Hamna kitu
Hamna kitu ingekuwa diamond ungemsifia wabongo tabu sana mtu kaongea anavyo jisikia wewe unasema hamna kitu
NYIMBO BORA YA MWAKA MPAKA USUKUMANI IMEFIKA NA JANA TIKTOK NILIONA HUKO WAJAPANI WANASHINDANA KUIIMBA MAHABA YA ALIKIBA🇹🇿
Hizo pete ni miungu chukua atua maana umejiambatanisha na madhabahu ya rusufa.
rusufa ndii nani
Achukue hatua gan tena
Achana na ujinga wa dini ndio zimeturudisha nyuma
@@stanslausmteme8455 kweli kabisa mkuu, african people wake up
Huyu jamaa anakipaji
😅
Huna lolote madini wapi
Unamkatalia kwani wewe ndo umevaa
Angevaa diamond ungekubali hata kama fek
Jamaa wivu Tu istoshe hujui hata thahabu
watanzania kwa wivu shikamoo