HII NDIYO HISTORIA YA TABORA YA RC MWANRI,JENGO LA MWAKA 1857 LINAISHI MPAKA LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • #CgOnlineTv #TaboraYaRcMwanri #LivingStone
    Kihistoria mkoa wa Tabora ni miongoni mwa Mikoa ambayo ilihusika kwenye biashara ya Watumwa.
    Tumekusogezea historia nzima ya Mkoa wa Tabora Tangu mwaka 1857 enzi za Utumwa

КОМЕНТАРІ • 7

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 4 роки тому +3

    Apana umedanganya Tena Sana. Hii biashara ya watumwa ilifanywa na wazungu. Lakini kwa sababu wametaka kuharibu uislamu ndio wakaunda historia kama hizi. Na ndio walizotufundisha katika mashule yetu Tanzania. Ukitaka kujuwa watumwa nenda ulaya ndio utajuwa historia ya watumwa. Jamani lazima tujuwe tunacho somesha. Mpaka lini mtakuwa munasema yale mliyo ambiwa na wazungu

    • @mohamednatwalla5121
      @mohamednatwalla5121 Місяць тому

      Ni kweli wazungu w alifanya pia biashara hio haramu ya watumwa lkn mwarabu ndie aliekua akienda kuwakamata watu watu watu vijinini na kwenda kuwauzia wazungu . Mwarabu kama Tiptip nawengine wengine. Kibaya zaidi alichokifanya mwarabu kwa watumwa aliowapeleka Uarabuni aliwaasi(aliharibu viungo vao vao vaa uzaza) ndio maana hakuna kizazi cha watumwa Uarabuni kama America ,Brazil na Jamaica .

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 5 років тому +1

    Hongera sana CG FM kazi yenu ni nzuri sana

  • @JOSHEPHMADAHASAMORAR
    @JOSHEPHMADAHASAMORAR 8 місяців тому

    🎉oo

  • @abdullahjongo
    @abdullahjongo 5 років тому +1

    Nilifika hapo kwenye trmbe nikiwa na wanafunzi wenzangu wa Tabora Boys, 2012.

    • @abdullahjongo
      @abdullahjongo 5 років тому

      Tembe

    • @rbrands7778
      @rbrands7778 5 років тому

      @@abdullahjongo Entrance fee sh ngapi..? Na nauli from Tabora mjini ikoje?