MWANANGU AMENISHIKIA KISU ANATAKA KUNIUA|ALINIPIGA NA KUNIPASUA KICHWANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 80

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +9

    Fabian na team yako mpelekeni sober atakuwa vizur

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 роки тому +8

    Pole mama kweli mtoto mbovu niwamama mwenyewe

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 3 роки тому +3

    Daah!! Pole sn mzazi wetu Mungu akufanyie wepesi

  • @omnsultan383
    @omnsultan383 3 роки тому +9

    Da uyu mama kaongea neno gumusana (mm umri umeenda je nikifa sasa nani atakai msaidia nimilia kwauchungu

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 роки тому +7

    Uzazi ni kondo na ugumba pia kondo,,,
    MUNGU tuhurumie,
    Pole Sana mama,
    MUNGU akuongoze,

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 3 роки тому +6

    Pole sana bibi,wanao mulizia bangi walaaniwe sana

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 роки тому +6

    SUBHANA ALLAH MTIKHAANI ALLAH ATAKUONDOLEA MAMA

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 3 роки тому +4

    Subahanallah 😭 😭 poleeee sana bibi yangu kwakwel imeniuma sana. Mzazi

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 3 роки тому +4

    Pole sana bi dada Allah atakuwekea wepes kijana atakua sawa kwa uwezo wa Allah

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 роки тому +4

    Pole mama kuzaa si kupata

  • @kayulaedwin2587
    @kayulaedwin2587 3 роки тому +8

    Pole mama, Fabi muunganishe kwa pili ampeleke Sobber

    • @mariamuhashimu5981
      @mariamuhashimu5981 20 днів тому

      Samahani ndugu huyo pili niyupi nielekeze.sababu namimi ninae mtoto wahivo na ananisumbua sana .sili kwasmani Wala sushi kwa amani.plez niunganishe nae

  • @fatmaabasi8312
    @fatmaabasi8312 3 роки тому

    Polesana mamangu Allah akulipe pepo Kwa uvumilivu wako mm nimejifunza kitu kikubwa kupitia ww Leo.

  • @mulhatjuma2289
    @mulhatjuma2289 3 роки тому +4

    Jaman🥺Hakuna kama mama😢Allah akufanyie wepesi .Amiin

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 3 роки тому +2

    Pili pili pili mwangalie huyu kijana kwa jicho la tatu pole mamaangu kwa mitihani unayo pitia Allah akutilie wepesi amiiin

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +3

    Mashalllah mom 😭💦ana jielezea vizur sana

  • @salamaaziz2907
    @salamaaziz2907 3 роки тому +3

    Pole Sana mamangu Kwa unayopitia Allah akupe subrah na akufanyie wepesi kila penye uzito usikate Tamaa maisha yetu yako kwenye mikono ya Allah yy ndo yuajua Kesho yetu ninaimani Kwa dua zetu kila kitu kitakua sawa Kwa rehma zake na kudrah zake inshaallah ameen thumma ameen

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 роки тому +2

    Pole sana mamaang mungu atakusaidia

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +3

    Mwenyezi mungu atamfanyia wepesi inshaallah ila nilichogundua hapo jamaa alipita kwa waganga waganga sio watu wazuri kabisa

  • @tatumussa6813
    @tatumussa6813 3 роки тому +1

    Pole mama muombee kwa Mungu atabadilika

  • @tatotato506
    @tatotato506 3 роки тому +1

    Binaadamu tunapitia magumu sana mungu akutienguvu mama yetu kipenz kwaunayopitia

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 роки тому +3

    Pole Sana Mama jamani

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +1

    Duuh pole sana

  • @onesmoseif3685
    @onesmoseif3685 3 роки тому +1

    Pole mama angu Mungu akusidie

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому

    Mtangazaji utangazaji gani unaongea zaidi ya unamuhoji utadhani unatia Story na wenzio.Mama pole sana kwa mtihani unaopitia

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому

    Mungu kamponye uyu kijana🙏🙏Pole mama

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid 26 днів тому

    Duuu pore Sana mama

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +3

    Pôle mama . Mungu atakuafu n'a huyo mtoto

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 роки тому

    🙆🙆🙆Mungu wangu jmn wanazunguka magumu

  • @laylatmapishi2314
    @laylatmapishi2314 3 роки тому +2

    Pole Sana mama mungu azidi kukupa subra atakuwa Sawa tu kwa uwezo WA mungu

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 3 роки тому +2

    Vijana badilikeni jamani ujana bila madawa inawezekana

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 3 роки тому +1

    Maskini pole mama Allah atakusimamia

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 3 роки тому +4

    Huyu sio wakumnunulia dawa cha msingi tumsaidie apelekwe sehemu afungiwe kwa matibabu maana hata akipewa dawa ataendelea kuvuta bangi apate kama hiyo soba au apelekwe milembe

  • @مريم-ه2ز9ق
    @مريم-ه2ز9ق 3 роки тому

    Mama mama mama nimekuita mara ngapi tamani yako aiwezi kufikia daima milele hii ni kwa mama wote😭😭😭😭😭

  • @mineaminea3151
    @mineaminea3151 3 роки тому +2

    Kaka maswali yanazid sana hata haumpi nafasi ya kujielezea mmmh

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому

    Duh mtihani nikifikiria Serekali haina msaada wowote kwa wasiojiweza ila wao wanaishi maisha ya kifahari na rasilimali za nchi roho inaniuma sana.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +1

    Pole sn mama

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 3 роки тому +1

    Mhhh maskini binadamu tunapitia mitihani kwa kweli.

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +8

    Maskini mama yangu amenitia huruma sana roho yaniuma sana...
    Wazazi wanapata tabu sana juu ya vizazi vyao

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +2

    Doooooooh😢😢😢😢😢,

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 роки тому +1

    #AminaAmiri

  • @umimikungun6389
    @umimikungun6389 3 роки тому +2

    Allah Amfanyiye Wepesi Inshaallah👏

  • @aminaomari5776
    @aminaomari5776 3 роки тому +1

    Jamani wazazi msiruhusu watoto kuishi na mtu bilandoa nimakosa makubwa hayo

  • @tinner7634
    @tinner7634 2 роки тому

    Jamani kwani huko soba ni gharama?mbona tunaweza mengi? Iweje tushidwe kmpeleke huko soba

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому

    Mtangazaji unakimbilia kuchangiwa pesa baada nyinyi mfanye bidii hata Ustawi wa jamii apelekwe sobar house. Hiyo pesa itasaidia nini huyo akatibiwe tu.

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +2

    Mtihan

  • @ahlamnasser5703
    @ahlamnasser5703 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @kopgdydrtyh7923
    @kopgdydrtyh7923 2 роки тому

    Sio akili yake huyo

  • @tatuluanda6581
    @tatuluanda6581 3 роки тому

    Pole mama

  • @shopalareen4303
    @shopalareen4303 3 роки тому +3

    Zahir uko wapi

    • @fatmaali3554
      @fatmaali3554 3 роки тому +13

      Jaman nao hao wanaohoji ni watu wanatafuta riski kama kila siku mutaka awahoji zahir na yy ni binaadam siku nyengine anapatwa na matatizo siku nyengine ana zararua kama yy hayupo munataka kipindi kisiendelee achen ayo mambo tubadilike na wao watakuwa kama zahir mwanzo mgumu

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 роки тому +3

      @@fatmaali3554 Ajasema awo awafai, alichouliza zahili yuko wapi

    • @dianajoseph6673
      @dianajoseph6673 3 роки тому +4

      Hii ni kumzoea m2 mmoja kwenye kipindi hatari sana

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 роки тому +1

      Dunia ina mambo mengi sn Allah atupe mwisho mwema lnsha Allah mama unapitia magum sn pole sn Allah atakufanyia wepesi kwa uwezo wake yy

    • @fatmaali3554
      @fatmaali3554 3 роки тому +3

      @@neemazee1864 angalia kipindi kilichopita alihoji yule mdada lakin kisa hawajamuona zahir waliongea sanaa na wakasema hajui kuhoji na waliuliza kama huyu

  • @aby21111
    @aby21111 3 роки тому +2

    100% He's narcotic ,rehab can help.

  • @tinner7634
    @tinner7634 2 роки тому

    Yaani hajui hata anaongea nn huyu teja

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 3 роки тому +1

    Uyo apelekwe milembe hayuko sawa msichukulie powa siku itakuwa kama yule alie mchoma kisu mama yake akamuuwa kwaiyo iyo hali akikosa dawa siku atafanya kitu ki aya

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 3 роки тому

    Maombi yanahitajika

  • @tatuluanda6581
    @tatuluanda6581 3 роки тому

    Pole mama