MFAHAMU ASKOFU EDWARD MAPUNDA WA JIMBO KATOLIKI SINGIDA,KUZALIWA,WITO...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @marysona9999
    @marysona9999 2 роки тому

    Baba Askofu Mapunda, Wewe ni Baba mnyenyekevu sana na mkarimu. Mwenyezi Mungu akutunze daima.

  • @theresiaemanuel
    @theresiaemanuel Рік тому

    Mungu akubariki Sana askofu wangu ulinipa kipaimara karbu Sana parokia ya mtinko🎉🎉🎉

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 роки тому

    Asante sana Baba Kwa ujumbe iyi uliyo tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu akubariki pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote za maisha yako Amina

  • @theresiaemanuel
    @theresiaemanuel Рік тому

    Nazidi kukuombea Sana askofu wangu

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 роки тому

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 роки тому

    Amina

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 10 місяців тому

    Baba askofu anachekesha kweli eti tulifeli darasa zima hahah,zamani hapakuwa na secondary kwenda form one ilikuwa kazi kweli,

  • @josehmark
    @josehmark 5 місяців тому

    😂 uipashe joto😂😂