NATIONAL wamepania kuchinja Mbuzi watatu Uwanjani/Mganga wao Atamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • NATIONAL wamepania kuchinja Mbuzi watatu Uwanjani/Mganga wao Atamba
    Siku ya 22/06/2024 kutakua na BONANZA litakalofanyika katika uwanja wa shule ya msingi KIWALANI, Bonanza litakalo kutanisha Timu mbali mbali toka Kiwalani.
    Michezo mbali mbali itakuwepo siku hiyo ikiwemo MPIRA WA MIGUU, REDE, POOLTABLE, CHANDIMU NA KUKIMBIZA KUKU
    BONANZA limeandaliwa na MAC SPORTS ACADEMY chini ya mratibu wake SALUM KABUGO

КОМЕНТАРІ • 2

  • @GraceKomba-fn6dd
    @GraceKomba-fn6dd 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂Mitoto ya national naona inamzomea mtangazaji🔥 on kiwalani focus Tv 🔥

    • @KIWALANIFOCUS
      @KIWALANIFOCUS  2 місяці тому

      Hawamzomei bali wanashangilia, Wana vibe la hatari, sijui siki hiyo itakuaje