Jitoe kwenye makwapa ya Raila, Aisha Jumwa amwambia Joho

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 166

  • @teresiawawira1758
    @teresiawawira1758 Рік тому +2

    Mwanamke akiwa mkali anampangilio mzuri sana...congrats mama hio kujiamini na mungu iko sawa

  • @hellenkawiria867
    @hellenkawiria867 2 роки тому +12

    I love Aisha jumwa

  • @raliakadubo2390
    @raliakadubo2390 3 роки тому +12

    Kwani Aisha bila kutaja joho upati usingizi. Pole sana.

  • @worldbossventures987
    @worldbossventures987 3 роки тому +12

    Electrifying ! I love this woman , uko Sawa kabisa !!!!

  • @maina100
    @maina100 3 роки тому +15

    The iron lady of Kenyan politics.

  • @keddymwangi9238
    @keddymwangi9238 3 роки тому +8

    Nani alisemwa jumwa sio romantic 😋

  • @juddjuudvaviree997
    @juddjuudvaviree997 3 роки тому +7

    Mkatimize promise zanu tuone ndio mtwambiye,kwani 2022 ishafika mwatuchosha

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +15

    Alafu uwez ongea mpka umtaje joho 🙄 wewe na jicho pevu joho anawanyima usingiz kweli

    • @lethalforce6421
      @lethalforce6421 3 роки тому +1

      True rehema

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 роки тому

      Kichuzi spotted 👀

    • @jackiel2798
      @jackiel2798 3 роки тому +1

      Mmi niko shocked 😲 to see someone like jicho pesa ,now huko side ya ruto,and if his not 4 Gideon moi,he could be where huko kwa sasa,...

    • @morineakinyi1116
      @morineakinyi1116 3 роки тому

      😄😄😄😄😄

    • @catherinehusi-burge9426
      @catherinehusi-burge9426 3 роки тому

      Kama nyinyi Ruto anawanyima uzingizi lol

  • @samuelmwema6527
    @samuelmwema6527 3 роки тому +7

    Kwako mama juma,wewe Ni mbunge wa mld umemaliza umasikini area yako,

  • @stephengatonga4767
    @stephengatonga4767 3 роки тому +8

    Thanks jumwa I want you to be our hustler's movement DP

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 2 роки тому +6

    I love this woman hatetemeshwi

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +10

    Hakuna jipya hata mukipaka rangi tushachoshwa na siasa zenu ZA ukwaju mbirimbi

  • @kimosabi5440
    @kimosabi5440 3 роки тому +8

    Kenyan politics is like a soap opera and most of its characters have nothing to show in terms of development ,its just shameful to call this clowns leaders

  • @jameskimondo141
    @jameskimondo141 2 роки тому

    She is very sharp and bririant next time we gonna vote for her to be the president

  • @toytoytoy2241
    @toytoytoy2241 3 роки тому +5

    Kweli huyu mwanamke

  • @geraldmaingi509
    @geraldmaingi509 2 роки тому +4

    Jumwa, you have points but dwelling on one issue for long. Again, don't repeat so much. Otherwise, I support and adore your focus.

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +18

    Kiuno kigumu kama life ya kenya 😋

  • @harrisonkazungu7793
    @harrisonkazungu7793 Рік тому +1

    N kweli umejitoa kwa baba Sasa enda utingishe kiuno huko sugoi

  • @johnpola6718
    @johnpola6718 Рік тому

    Hongera sana mama waetu

  • @Mohamed-un4bj
    @Mohamed-un4bj 3 роки тому +6

    Watu wengi tunapenda Ruto bt kazi za wheelbarrow wengi zii

    • @kanyak9039
      @kanyak9039 3 роки тому

      watuwengi wapi rutoanawatu

    • @teresiawawira1758
      @teresiawawira1758 Рік тому

      Wheelbarrow ni hustler huezi ekewa chakula kwa sahani kisha upelekewe kwa mdomo lazima tung'ang'ane tafadhali.maisha mazuri bidii ya mtu ...Asant.

  • @jjmooo4186
    @jjmooo4186 2 роки тому +1

    She is in her adolescence stage.

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому +2

    Kweli Shangazi umesema ukweli kabisa

  • @nikiname1336
    @nikiname1336 Рік тому

    I love this lady iron lady kweli

  • @legendyare
    @legendyare 3 роки тому +3

    Kama watarajia ruto atakwa preso utasubiri sana alfu ww mweyewe kigeu geu

  • @daudajamada3422
    @daudajamada3422 3 роки тому +6

    We Kenyans have decided no more udanganyifu from Tangatanga

  • @edwinnyakundi8267
    @edwinnyakundi8267 3 роки тому +2

    si huyo mp ako hapo umwambie hayo mambo ya vija si kazi ya Joho

  • @jaffarmohamed6859
    @jaffarmohamed6859 2 роки тому +3

    Love you

  • @ramzangomez9597
    @ramzangomez9597 3 роки тому

    Sure. Bora umojaa

  • @coxke3568
    @coxke3568 3 роки тому +2

    Sasa wewe rada yako😂🤣🤣🤣

  • @francisbahatindoro9844
    @francisbahatindoro9844 3 роки тому +4

    Majivuno hayafai katika uongozi

  • @qatr3475
    @qatr3475 2 роки тому +3

    Hio ODM ndio imekutoa kwa umaskini wahenga walisema usiache mbachao kwa msaala uptao hata mmdharau joho lakini mombasa mombasa imechange

  • @adriankenyan7938
    @adriankenyan7938 3 роки тому +10

    Kenyan politics ni kichekesho . People going to such Meetings listening to such bullshits. The same same Tom boy lady was the same person who supported Joho . Now she’s talking against him Hahahahah Kenyan Drama.

    • @bullshitdetetor796yearsago7
      @bullshitdetetor796yearsago7 3 роки тому

      Plz don't talk bad she is my mother

    • @adriankenyan7938
      @adriankenyan7938 3 роки тому +1

      @@bullshitdetetor796yearsago7 we live in 2021 where everyone has a right to say their Opinions . Am sorry to say That but that how it is . So if u fill offendend u should advice ur Mum to leave politics because there will be so many comments you will have to bear with . Or u mean a mother who comes give 200 Ksh for Vote and calling you Kijana wangu

    • @kanyak9039
      @kanyak9039 3 роки тому +2

      Uyo mama yako tumemwadika . Kazi tena tuna mulipa mushara badaye akatusaliti kisanamahana pesa nanguniya kwaruto akunaneno munguyuko

    • @catherinehusi-burge9426
      @catherinehusi-burge9426 3 роки тому

      Mjinga wewe uoni ata wewe Yuko kwa hiyo bullshit ndani, nyani aoni kundule 😂🤣😂🤣😂🤣 toka wewe atukuitaji hapa

  • @joycewanjiru2244
    @joycewanjiru2244 3 роки тому +2

    Joho.tafathari. funguka macho. Uwone mbere

    • @fauzishma8033
      @fauzishma8033 3 роки тому +2

      Joho hawezi kuona mbere😂😂😂😂😂😂😂 kwa sababu mbere ni huko bara

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 2 роки тому +3

    My vote is Ruto

  • @masiladaniel3404
    @masiladaniel3404 3 роки тому +2

    Ears that do not listen to advice, accompany the head when it is chopped off”

  • @worldbossventures987
    @worldbossventures987 3 роки тому +10

    HUSLER NATION is ustoppable ❗ we are having a new conversation in Kenya 🇰🇪🌎

  • @josephjuma3686
    @josephjuma3686 2 роки тому +2

    Atoke kwa kwapa la Raila aingie kwenye kwapa la Ruto kama wewe?

  • @hhhghyghgg8640
    @hhhghyghgg8640 2 роки тому +1

    Aisha juma uko sawa jamani

  • @ericwekesa5775
    @ericwekesa5775 2 роки тому

    Wewe pia ukitaka ugavana wa kilifi, ni utoke Kwa makwapa ya William Ruto.

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 3 роки тому +1

    achakujivunia wee mwanamke nilidhani ulifungwa kumbe bado upo😏😏😏

  • @odipowillis4553
    @odipowillis4553 2 роки тому +1

    Lakini Jumwa Ana nyege za Ruto.

  • @osmedhospital5236
    @osmedhospital5236 2 роки тому

    Fala sana hawana kitu cha kuambia wana inchi other kubonga juya mtu mwengine we tuambie mulifanya nini na mulikua kwa serikale hata shule moja mulijenga ama shule ama kibanda cha waba biashara so tom up means leteni kuwetu na hatuwagawanyi tutakula sisi na nayi mwanichi mbaki maskini.thats what they will do.

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 3 роки тому +2

    Sasa wewe mwenyewe uko kwa kwapa la Ruto wambia mwenzako jitoe nyani aone kundule kila kukicha kusifu wanaume

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 роки тому

      Ndo namushangaa kwanini asianze kujiondoa yy kwanza

    • @kitony
      @kitony 3 роки тому

      Yeye hataki presidency,Joho declared.

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 2 роки тому +1

    Mama raha

  • @tambokavz
    @tambokavz 3 роки тому +2

    Wewe siujitoe kwa haga ya ruto

  • @saidkaduka6786
    @saidkaduka6786 2 роки тому

    Upuuuuuuuuziiiiii!

  • @isaacmunene9521
    @isaacmunene9521 2 роки тому

    Shangazi Wa Taifa Hoyiieeee!??

  • @izdoretheo8074
    @izdoretheo8074 3 роки тому +5

    Doing wht she does best tingizia ruto saidongi

  • @markmongera3462
    @markmongera3462 2 роки тому +1

    Aisha anachukua anaweka waah 🤠

  • @carolynejoyce
    @carolynejoyce Рік тому

    Natunampenda Joho mpaka kufa. Huyu mwanamke Ata washuti wote,jihadharini.

  • @ntoyiaikorutaamen9632
    @ntoyiaikorutaamen9632 2 роки тому +1

    💪💪💪

  • @amosgona5250
    @amosgona5250 2 роки тому

    Sawa aisha

  • @pwaguzipapa7328
    @pwaguzipapa7328 3 роки тому +2

    Aisha kashindwa, kiuno kipi

  • @patrickshikolishikoli940
    @patrickshikolishikoli940 3 роки тому +2

    Time to work not politics

  • @rensonkarisa1719
    @rensonkarisa1719 2 роки тому

    It is what it is

  • @mohamedabubakar3499
    @mohamedabubakar3499 3 роки тому +4

    Wewe mama unamtaka joho yr so jealous huongei bila kumtaja joho wamtakaa yr to late

  • @rodneyagesa1851
    @rodneyagesa1851 3 роки тому +5

    Why do the Kenyan media even report such nonsense and then when junet throws some shade at Isaac Mwaura they pretend to be outraged?

    • @stacyjones8948
      @stacyjones8948 2 роки тому

      But she's talking facts. Mombasa iko na uchochole mkubwa

  • @esaulibuku9176
    @esaulibuku9176 3 роки тому +1

    Wapi pesa ya cdf

  • @simonpeterdiasporachannel1889
    @simonpeterdiasporachannel1889 3 роки тому +3

    Mwanamke Jasiri!

    • @jackiel2798
      @jackiel2798 3 роки тому +1

      Jasiri..na nini?...niko ashamed 😔 with how ana represent kenyan women...

  • @kingsleykenyatv3445
    @kingsleykenyatv3445 2 роки тому

    Wenzenu wamenyolewa vyenu vitieni maji coz naona mtaenda kotini mseme mumeibiwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Rudia Tena dp pia yy alichangia port ikaenda madharau yako utarudi home

  • @rngchousekeeping972
    @rngchousekeeping972 Рік тому

    mtasafiri mpaka sugoi.take to any account.

  • @owlliker
    @owlliker 2 роки тому

    kwani mlitumwa na mnalipwa kwani
    mmejaa mtandaoni mko wengi tu
    tena ni ya ukweli ?

  • @jacksonmusyoka8837
    @jacksonmusyoka8837 2 роки тому

    Achana na kizungu ww mama.,..ovyo

  • @collinsbiwott5792
    @collinsbiwott5792 2 роки тому +1

    Kama wewe Joho ni dume jibu hilo kombora,wewe hauna nafasi tena Mombasa.Aisha tosha

  • @nyanjechengokarisa1540
    @nyanjechengokarisa1540 2 роки тому

    Wambie wasikiye hao watu wa mombasa niviziwi hawaoni

  • @miriammusyoki2035
    @miriammusyoki2035 2 роки тому

    Mama kweli kweli

  • @paulwangila4888
    @paulwangila4888 2 роки тому +1

    Aisha jumwa Tosha mombasa

  • @linalinhwefwe6584
    @linalinhwefwe6584 3 роки тому +2

    Malindi tuna shida sana kwani wataka ugavana wa mombasa.

  • @dajemssolutions3641
    @dajemssolutions3641 2 роки тому

    Mambo moto

  • @ngalathali393
    @ngalathali393 2 роки тому

    Mama wewe ongea lakini kilifi utaenda nyumbani asubuhi hupati kitu ng'oo

  • @elvisodima8640
    @elvisodima8640 2 роки тому

    Never talks about Joho hardly akuna Mali utaenda na William Ruto

  • @ericwekesa5775
    @ericwekesa5775 2 роки тому

    Ulikuwa wapi hizo siku zote? Wacha hiyo tumbocracy yako.

  • @joyceodima9036
    @joyceodima9036 2 роки тому

    A rolling stone gathers no moss.

  • @safarikarisa202
    @safarikarisa202 2 роки тому

    Umetapata Dana,amalizane na kesi

  • @justusanzunzu3757
    @justusanzunzu3757 2 роки тому

    Shangazi hoyeeee

  • @irenemuthee1866
    @irenemuthee1866 Рік тому

    Huyu hakai miji Kenda namatusi

  • @dennisovercomer7415
    @dennisovercomer7415 2 роки тому

    Hassan akiwaletea reggae

  • @morineakinyi1116
    @morineakinyi1116 3 роки тому

    😁😁😁😁😁

  • @betty3272
    @betty3272 2 роки тому

    Umelipwa ongea kabisa!

  • @adamjagosh8922
    @adamjagosh8922 3 роки тому +1

    ushalipwa wajitakiya makuu nenda peke yako hamna lolote jipya

  • @kijashobihembo4294
    @kijashobihembo4294 2 роки тому

    Ok

  • @zakariamohamed1763
    @zakariamohamed1763 3 роки тому +1

    Huyo jumwa ni mpango wa kando ya arab mashamba

  • @bayahtsuma6799
    @bayahtsuma6799 2 роки тому

    Kabixa muambie ukweli

  • @salimsuleiman2340
    @salimsuleiman2340 2 роки тому

    toa uyu mjnga

  • @robertnjoroge3313
    @robertnjoroge3313 10 місяців тому

    rutos cs the likes of kuria....

  • @lilyachieng6488
    @lilyachieng6488 3 роки тому +2

    Mwatembea na machopper huku mwajiita hustlers,danganyeni washenzi bure kabisa.
    Hata ninyi mwajiita hustlers hamtabeba watu ufala.
    Somebody pockets 1m per month huku anajiita hustler.

  • @davidrotich6575
    @davidrotich6575 2 роки тому

    Shangazi wa taifa

  • @zuhramalala6976
    @zuhramalala6976 3 роки тому +3

    Watingisha nn mama hahaha 😂😂😂😂😂

  • @lethalforce6421
    @lethalforce6421 3 роки тому +4

    Poko ni poko hakuna jina lingine

  • @isaacchacha4125
    @isaacchacha4125 3 роки тому +1

    Kila wkti ukiongea n joho wwe n uyo pevu wako n mav y kuku xna

  • @runguakiti8265
    @runguakiti8265 2 роки тому

    Siasa zakuangaliawengine,zimepitwa nawakati mama,ukisimama ho mtufulani Yuko nahili nalile,mpaka lini.uza sera zako,pang'ang'a kando😜😜

  • @rutholudhe5956
    @rutholudhe5956 4 місяці тому

    Nonsense!!!!

  • @prince-li6kw
    @prince-li6kw 3 роки тому

    Sultan joho kaa mbele ww mama

  • @musaikunga9454
    @musaikunga9454 2 роки тому

    Upati kura akuna hasra

  • @irenelukale9293
    @irenelukale9293 3 роки тому

    Shes Crazy

  • @patrickjefwa8888
    @patrickjefwa8888 2 роки тому

    Hunasera Aisha kumanyoko

  • @adhiambonyasuna4043
    @adhiambonyasuna4043 3 роки тому +1

    Boychild is dancing 😂😂😂😂

  • @timothykinyua9080
    @timothykinyua9080 3 роки тому +2

    Mama hodari,nyinyi naona mwaumwa

    • @kirimojunior337
      @kirimojunior337 3 роки тому

      Waambie ukweli

    • @kanyak9039
      @kanyak9039 3 роки тому

      Kwako lazima akuweudari sababu wewe ame kupa pesa sasauka amuwa kukuwa nyangaauu fisi sayakulipa mupaka mutuku wamujuku wako atalipa sababu yaulafiwako nyangauuuuuuu

  • @noahkoech6008
    @noahkoech6008 3 роки тому +1

    Our Iron lady Aisha! Hustler for President 2022

    • @jackiel2798
      @jackiel2798 3 роки тому

      Ati..Hustler,?...that why she killed that guy..?

    • @colvin9675
      @colvin9675 3 роки тому

      atakuja huko kwenu umuchague. hapa Malindi na kilifi hapati kitu. labda afufue ndugu yangu ngumbao jola wa ganda ward hapa Malindi.

    • @rebeccaasiyo9820
      @rebeccaasiyo9820 3 роки тому

      Mbona wheelbarrows hazipeanwi rift valley? Rutto nikama Shetani kazi yake ni matusi na roho mbaya

  • @raliakadubo2390
    @raliakadubo2390 3 роки тому +6

    Tukule pesa ya ruto tupigie kura baba.