Hongea zangu hongera na upongee zangu pongezi, kipaji unacho si haba Mola kakujaalia. Sauti yako tamu, haiba ya kuvutia na uso wa jamala utoao Nuru. Kongole.
Yan nimekuja huku baada ya mmbirimbi wangu kuvamiwa .. nipo nawaza hapa au nipande mwingine ila waja sasa watahamia tena . Hivi itakuwa kazi yangu kuwapandia wengine hadi lini. ???
Pambe❤❤❤
Nakupend bure my
❤❤❤
Napenda hapo MDOGO lkn mkubwa wa mambo yaani ni hatareeee tupu. Mossy Suleiman nakuomba unitafute unayo ZAWADI kutoka kwangu through my wife JOYCE
Halooooooooooo👌Mt kuumwagilia staweza daima lakin mungu Hana makarama kila jion ikanyesha..... Woyoooooo
Mmbirimbi
Wewe mbirimbi weeeeeeeee
Nakupenda sana khadija yusufu nyimbo zako zanikosha sana
Mossy bhana
Nataman nikuone live dada mossy nyimbo zako tamu sana
2021kuupanda mbilimbi kwangu mliniona mwehu,jaman💋
👌👌👌👌pambe tu,2021
Mos umenikosha mno aiseee naisikiliza hii nyimbo karibu siku zote
Hongea zangu hongera na upongee zangu pongezi, kipaji unacho si haba Mola kakujaalia. Sauti yako tamu, haiba ya kuvutia na uso wa jamala utoao Nuru. Kongole.
Awdhbm the awesome awesome ❤💓💟💖
Nampenda sana huyu dada kweli nimeamini chuki humchoma anaye ilea
Kama na wewe haucoki kutizama iyi tarabugonga like tuburudike sisi wofe
Looooi!nimekupenda bure mpenz kuanzia saut yako sura yako wimbo wako umzuri San kwa kila kitu Mungu akutunze daima
Mossi Jameni. ❤️ 🇰🇪
Chuki inamchma yule anayeilea
Nendeni mkatimize haki za ndoa huko mnasubiriwa mbirimbi mtauona huko
Hapana chezeeeee mambo ni motooooo ♨♨♨
hongera sana dada mungu akulinde
mbilimbi nilipoupanda,,mlinizomea, matunda yangu nayala bure kunifanyia hilaaa
huyu huaga watofauti sauti yake Masha Allah naipenda kwanza ile nyingine
Yaani naupenda sana huu wimbo
Nakuona ukimkimbilia malkia leyla dada nafuatilia nyimbo zako zote hakuna iliokosa madili hongera
Binti Rashid Antybaby Usimfananishe na Leyla kabisa aingii hata kidogo, leyla anasubiri sana kwa Mosi Suleiman
Binti Rashid Antybaby Nimemfatilia kitambo Mosi hajawahi kuharibu lkn Leyla alikuwa anabebwa na mume wake
Mosi yuko juu sana mbele ya layla
Imebamba sana yupo good
So cut
naupenda huu wimbo mpaka nasindwa kujielewa nakupenda mossy
Dada ana sauti uyu
Asante dada maana maneno kuntu
Nipo kuangalia hii nyimbo2024
Haya hawanazo kavu nyuso zoo👌
Sichoki kuickizaa masha Allah
huyu mossy nampenda sana mm ndie msanii wangu nampenda sana
Naipenda sana ihii nyimbo jamani
Lov sn daa mossy,nyimbo tamu
Hakika haya hawana nyuso zao kavuuuuu chezea mbilimbi www
Ai mosi wee
Dada mossy mm shabiki wako but tulia sehemu moja
aaaaaaahhh! bonge la fumbo mashallaah
Mbirimbi tamu Sana,waache wafanye siki
Mosse unanimaliza na mbilimbi
NO ONE LIKE MOSY SULEIMAN
salimu
Mossy Sul is the best. Nakutakia uzidi kusonga mbele. Ni mzee Benjamin/Goma/DRC
Sauti tamu
kupanda mbirimbi kwangu mliniona mwehuuuu
Mbilimbi 🔥
asante moc naipenda nyimbo hii
Nyimbo nzur sana
i like this girl
Awesome qwedhbmqwedhbm the wake 💖❤💟❤️💓
🎉
penda sana mossy Suleiman mbirimbi imenikosha.
mashaallah
sure......sure...Mambo hayoooooooooooooooooooo
.
Dada Unanikosha Roho Yangu Siuchoki Wimbo Wako
Dada Unanikosha Roho Yangu Siuchoki Wimbo Wako Hongera Kwa Ujumbe Mzuri
Issaya Richard p0a
most suleiman
Ujumbe mzuri dada Moss
Gr8
Panned sanaaaa
nakupenda sana mossy,
Yunus
Bado naipenda 2019
Good
Mbilimbi fumbo zuri Sana,penda Sana
nimeipenda...ila basi
Dada ukopoa ilembaya
Maashallah
Ujumbe mwaanana Sana
naupenda sana huu wimbo mbilimbi
Hunishindi mm kwakweli uko vizuri dd
Penda sana ilijimbo mossy twendeee
naipena sana wimbo wa samatona
Mossy Suleiman upo juu
chuki inamchoma yule anayoilea mpooooo
hahaha, jamani lahaa
Wimbo nzuri sana gud
chuki umchoma yule anaye ilea. maneno pambeee
Super ,❤️❤️❤️❤️❤️
🤟🤟🤟🤟🤟🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naupenda Sana huu wimbo. Mbilimbi
Dada ukojuu 👊
Siuchoki jaman
wenyewe wamefulia mabovu wamepikia eti maji wamekunywa wanabaki wanalia
Penda sana Mossy
MashaAllah...2017
dada uko pw
nice
Ameimba Sana
Au nistaamil nipande mwengineeee
Yan nimekuja huku baada ya mmbirimbi wangu kuvamiwa .. nipo nawaza hapa au nipande mwingine ila waja sasa watahamia tena . Hivi itakuwa kazi yangu kuwapandia wengine hadi lini. ???
Penda sn daa moshi
Mbilimb mbov
Mbilimbi bovu
Mbilimbi mbovu
ha
mbilimbi imenikosha
naupendasaaana huuwimbo
Wasishindwe uienzi mbirimbi ikiwiva inapasuka uko juuu mosi
santeeeee naitaka nitumie pls no 968.97036704 pls
Kuntuu
Dada Unanikosha Roho Yangu Siuchoki Wimbo Wako Hongera Kwa Ujumbe Mzuri
mbilimbi nilipoupanda,,mlinizomea, matunda yangu nayala bure kunifanyia hilaaa
Chuki inmchoma yule anaeielea
Chuki inamchoma anaiyelia
Hila za walimwengu... wakati waliombea ufe lkn Mungu na karama zake akaunyeshea kila jioni.
Naupenda Sana huu wimbo. Mbilimbi
Dada Unanikosha Roho Yangu Siuchoki Wimbo Wako
mbilimbi nilipoupanda,,mlinizomea, matunda yangu nayala bure kunifanyia hilaaa