Bro unaogeaga uongo kuhusu ngoma za kimataifa, uwaga akuna ngoma ya kimataifa ila ngoma yoyote uwaga ya kimataifa ila ina fatana nawatu walivyo pokea, nipo DRCONGO, watanzania acheni ujinga basi, mbona Sisi wacongomani tupo MDA wote kimataifa Alafu tunaimba tu lingala
s2kzzy kiukwel ni producer mzur ila kashafanya kaz nying sana mwsho anatupa radha ile ile....waache uoga wafany hata na ma producer wengn ssa s2kzzy tushamchosha
Oya bro acha uchambuzi wa kijinga mbona unajikita kwa lava lava walio imba mtoto kautaka au nina haumu ya kutoo au waliyo imbaa eenh nyege nyege nishushe mwanza nyegezi mbona hawa kulaumiwa na nyimbo zao zili trandi?
King mando big up
Asante sana ndg mchambuzi
Kariako ya maua sama iatakuwa hit sog sababu ya ibraah 👑🔥🇨🇩
Vraiment félicitations pour votre informations nécessaires Mr Elmando ,aussi tu es très intelligent vraiment 👊💥🇨🇩
Kariakoo ya Lavalava kali. Bwana
Kiukweli, s2 kizzy wasanii wanamshobokea sana,siyo kwamba tz yupo yeye tu mwenye uwezo wa kutengeneza beate🇨🇩🇨🇩☝️
Kalia kitu
We jamaa unaakili sana tena sana
afadhali wewe mtazania umeona na umesema.. kama ingelikua ni sisi wakenya basi mngeliona ni kama tunawadharau
Hakuna afadhal, yeye msaanii anajua aipeleke vp nyimbo yake, anasemaje karia wakat yeye ametak maana ya kukalia kitu
Hakuna mziki wa mtaifa prom tyu asake ana sound Kali kumzidi g Nako tyu
Nenda kamcharenji wew
We nimkundu sijakuelewa kitu em kuwa msanii ww maana unajua sana
Ara Na Elo😂😂😂
Tajiri niyamapenz?
Leo umeongea point kiasi na sio kila muda kumuongelea MZEE KONDE t uo ni umatako
Lavalava yupo timamu lkni hapo kwa chingaah uongo akijaribu ataiosha na pombe
Bora umeliona ilo kwa lavalava jamn yupo bora upande mwngn ila sio uku maybe nd misingi ya label yao wote waimbe piano 😂😂
Bro unaogeaga uongo kuhusu ngoma za kimataifa, uwaga akuna ngoma ya kimataifa ila ngoma yoyote uwaga ya kimataifa ila ina fatana nawatu walivyo pokea, nipo DRCONGO, watanzania acheni ujinga basi, mbona Sisi wacongomani tupo MDA wote kimataifa Alafu tunaimba tu lingala
s2kzzy kiukwel ni producer mzur ila kashafanya kaz nying sana mwsho anatupa radha ile ile....waache uoga wafany hata na ma producer wengn ssa s2kzzy tushamchosha
Kautaka ya jaiva mbn inasumbua naijelia ontrend namba 1 uko
Kk kipind iki ukiwez unajipya chansing bos wako atafute mtu mwingine tu kun mda uko saw kun mda una ongea pumba dhaa
Oya bro acha uchambuzi wa kijinga mbona unajikita kwa lava lava walio imba mtoto kautaka au nina haumu ya kutoo au waliyo imbaa eenh nyege nyege nishushe mwanza nyegezi mbona hawa kulaumiwa na nyimbo zao zili trandi?
Katengeneze wewe bas