Kuku na samaki😮
Sijawahi jua kuwa kuku na samaki wanaweza pikwa pishi Moja ndo nimejifunza hapa
Yaani imenoga Asante sana dada naenda kujaribu❤❤❤
Yummy😋😋😋 will try this recipe
Unaweza nitumia hii chakula 😅😅
Yes my love,yaani wewe🥰🥰😍🤩😘anything for you precious ❣
Thank you so much for supporting 👑
MashaaAllah Rosti na nusu mpenzi 😋😋😋