Mzozo watokota mpakani Meru na Tharaka Nithi kutokana na utata wa umiliki wa mashamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Mzozo unaendelea kutokota katika Mpaka wa kaunti za Meru na Tharaka Nithi kutokana na utata wa umiliki wa Mashamba. Wakazi wa Eneo la Kauthene huko Kiamuri B walifunga Barabara ya Marimanti kwenda Mati kupinga hatua ya Serikali ya Tharaka Nithi kuendelea kujenga Chuo cha kiufundi eneo la Kauthene, kwenye ardhi inayozozaniwa.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @safinaamutabi2843
    @safinaamutabi2843 Рік тому

    Wakikuyu n mashamba n wizi it's better if God perish all of you