Mie napenda kazi za Aqram una kipaji kikubwa sana tutamkumbuka sana kanumba .................lakini hiyo style ya kufunga mlango huyo mama................😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 gonga like hata 10 tu nifarijike. Clam vevo upewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako
mnatisha sana wanangu tena sana sema nini fanyeni kabisa full filam so clip yaan mtafika mbali sana kiukwel mnajua sana yaan mmeupiga mwingi kwa hii clip mpaka nikaanza kuis kaa kwel vile dah!!!!
Clam Naitaka hii nyimbo ulioeka Kwa kichekesho,Naipenda hii song wallahi karibu vichekesho zako Naiskia,siku ukiisoma comment yangu niandikie hapo Kwa comment ni nani alieimba Ili niitafute nitashkuru.
Kazi nzuri bwana Clam ! Na hapa 🇷🇼 tunawafuata na tunawapenda!
Chite chite ukayi mama kala vyuma vyamaana🤣🤣🤣🤣🤣🤣 clam ananivunja mbavu aiseez🤣🤣🤣🤣🤣
Bien joué Toujours swedi ramazani bin kilela homme sérieux
Bwana clam alipostuka usingizini kwa Mara ya kwanza yule dada ambae ni mkewe amesmile... I like kazi zenu from LUBUMBASHI DRC
Kweli🤣🤣
@@axsarhodajaphet4479 yeah tunafatiliaga sana kwani mi ni host
Pitia bc kk na kwangu pleas🙏🙏
Kweli kbs 😂😂😂😂
@@pops.dreezy wapi hapo. WE msanii au? Mimi Niko Lubumbashi Congo Dr Host kwenye redio RTP
Huyo muzimu kavaa kanzu halafu kaigeuza hizi mizimu za bongo hatari sana...nakubali sana
This is magic House by Charles Steven Kanumba...We still remember him,from 🇰🇪
Kbsa
këë.
këë.
Kweli hii ni magic house
Clam kazi yako nimeipenda nikiwa hapa Wote, Makueni kenya
Congratulation my favorite Star ❤️❤️❤️💓😂😂😂😂😂😂
Kazi Safi bro 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mie napenda kazi za Aqram una kipaji kikubwa sana tutamkumbuka sana kanumba .................lakini hiyo style ya kufunga mlango huyo mama................😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 gonga like hata 10 tu nifarijike.
Clam vevo upewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako
I like you work clam, oness from 001 mombasa
Jamani nani kaona.mke akitaka kucheka pale mwanzo.ebu ambae hajaona arudi nyuma kiasi😂😂ila nzuri mmetisha😅😅
❤nimependa ina bamba😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda kilm
Chite chite ukae ahhh chite ukae,anaeikumbuka hii movie agonge like
We! Frank Vianey koma tena ukomae unaombaomba like kwani unazila?
Hhhhhmmm lakini uyu kim kanikosha kweli kwenye iyi movie from lubumbashi DRC
Magic house by kanumba the great, respect to you guys
Naipenda iyooo
Huyo Dada jini nilikuwa nimemmiss sana. Umenifurahiasha sana Clam 🤣🤣🤣🤣
Huwa anaigiza vizuri sana. Ana kipaji na ni mtanashati
Kweli kachkaaaaaaa😅😅😅😅😅
mnatisha sana wanangu tena sana sema nini fanyeni kabisa full filam so clip yaan mtafika mbali sana kiukwel mnajua sana yaan mmeupiga mwingi kwa hii clip mpaka nikaanza kuis kaa kwel vile dah!!!!
niwapenda sana mungu awabariki hote songeni mbele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda sana vevo manuu origii natoka Nairobi Kenya
Clam Naitaka hii nyimbo ulioeka Kwa kichekesho,Naipenda hii song wallahi karibu vichekesho zako Naiskia,siku ukiisoma comment yangu niandikie hapo Kwa comment ni nani alieimba Ili niitafute nitashkuru.
Inaitwa MOYO WANGU alieimba ni SMATA FRIDA
Asanty
@@clamvevo6472😊
@@clamvevo6472 mkali clam ile nyimbo ya best friend hivi ipo mpka mwisho au nikipande tu naitaka ile nyimbo best friend
@@ZuberyTz-b6z iameimba benny shizzoy
Mke wako amecheka amearibu move 😂😂😂😂😂😂😂
We naijua iyo unaijua nyoko bahati yako umetisha San
Ahhh tunaijua hiyo😅😅
Mmeuwa sna masela wangu yani hii nikibko zaid ya zote kwaupande wangu. Nawkubri sn endeleen kujitaid mtatbow. NYOOOOO! NAIJUA IYOOO
Nyumba magwende bana Daa!
Clam wewe nimwamba unaweza!
Chiite chitokaaaa😄😄😄😄😄twaaaaaaa
Hhhhhh pambe clam umenifurahisha
Nimeona........... Si angevaa tu bra
Vile Clam anashtuka kwa ndoto waa heart attack ilikuwa mbali😂😂😂kama uliwatch hii movie ukiwa pekee ukacheka kama chizi nipee likes 👍👍👍
Clam demu wako n mweupe sana chunga msije mkazaa manguchiru bana
Yesu
Anaweza
Nakumbuka kanumba kweli🥰🥰🥰Magic
Magic house 😂😂
Kweli kweli
Mama vp kuna tatizo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi clam haunabaya❤😅😅😅😅🎉
😅😅😅😅😅😅 uh jamani nimecheka sana😅😅😅😅
Jaman kazi nzuri
Urithi WA songeaaa hahahahaha matogoro au
ni nge kuwa mimi ninge kimbia kitabo na ninge muachia nyumba hiyo haha
Jmn me napenda kuigiza tena sana ila sasa cna ht wa kuniwezesha
Apriciate your work🤗
"Angalia mama usije ukauponza"
Me: (mecheka kif*la sana) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bueno esa
Nice job bro
Njok bahati yenuuuu nimecheka saana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😍😍😍Wow this is so beautiful video I love this
Same na magic house ya marehemu kanumba 😍😍nice show
Yeah 🤣🤣
Nyumba ya Mareham kanumba
@@enockshagile9641
M
songea on the bullding😅😅😅😅
Rip kanumba 😭😭 mmenikumbusha mbali ilaa naomba jina ya huu wimbo🙏
Na mimi pia nimekubali kinoma iyo nyimbo nimetafuta sijaipata
Magic house ndio jina la move
Kwa kweli hii ni Magic house
Moyo wangu by smata frida
Tafadhali naombeni jina la hii nyimbo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sujuu nacheka nn niulizeni kwa like tu jamon 😆😆😆😆😆😆😆😆
Unacheka Nini🤣🤣
Unacheka nn my dear 😂😂
🤣🤣🤣🤣 wah, hii ni 🔥🔥🔥
Mnachekesha kwl😂😂😂😂
😁😂😂 Freemanson bhnah
Kazi safi mwanangu
🤣🤣🤣🤣MAMA ANGALIA USIJE UKAUPONZA😂
Hiyo kali 😂😂😂😂😂😂
Mam muzim kwr😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌
Hapo kwa kuota huyo dem kataka kucheka kisha kajiiziwia
Clam bwana ❤❤
😂😂😂eti tunaijua iyooo
Mistake kubwa sana mke amesmile mume aliposhtuka😅😅😅
Chite ukae.... Kitambo sana😁
I really love this 😭😭😭😭
Aki huyo mama alivyokua anaingia hapo getin nimeshutuka jmn khaaaa hizi movies zingine zitatutoa roho 🤔🤣🤣🤣
Na mimi nimeshutuka sana 😂😂😂
Mwambie amenikalia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ushajiunga lazima upewe mashari kuigiza Mambo ya kuzimu kukamata ufahamu na nafsi zawatu yesu tusaidie
Big up clam vevo
Demu kazingua ualisia kaaushindwa
Cram ulipo shituka kitandan mkeo kacheka nimeonaaaaaa
🤣 Kumbe na wee umeona eeh
Namm nmemuon pia
Tunaijua iyoo😆
Ata mimi, kumbe anajua yenye bwana anakusudia 😇😅😅😅
Kwani hizi shows zenu n tamuu kabisaa
Eti mama angalia usije ukaupoza😂😂hpn sitaupomza
Clam chunga usiye uka dungwa tako😂😂
Atakama ndio usingiz ila iyo apana atakushutka😅😮
Clam wewe utakuja kuni towa roho mimi na mwanangu, izo kofi jamani, shiteee shitokalii
😂😂😂😂nyoko bahati yenu🤣🤣
Kali. Naijua hio. 🤣🤣🤣
😃😃😃😃😃 mama mpe pole
Safi San💪💪💪
Mbona dem anacheka kazin
Daah mmenichekesh jamn
jini lina kucha nzuri na amepaka rangi
😂
Mke wa clam aricheka
Mko vzr Sana kwakweli mnafaa Kwenye silious movie mko vzr kucheza na camera
Clam vevo congulat
😂😂😂😂😂Clam kaka
Mtanikuta stendi😂😂
Mnaijua eee
😅😅😅 hatar yani
😂😂😂😂😂nlikua namiss show zako 😂😂😂
Yani nacheka sana🤣🤣🤣🤣
Mambo ni mazito
Hahahaaa jaman, ety nyoko bahat yenu
Gosto muito isso...o legado de kanumba...Nhumba ya majabo
Sijawahi kucheka kwa stile hii duh mmenivunja mbavu.jamani nawapenda
Tunaijua hio🤣🤣🤣
Jaman mbavu zangu
I love this boy best comedian hakuwai tokea