Mimi nilikupa mwaka mzima huu hata 2025,Hamna kitu kama hicho,Huwezi pingana na Neno la Mungu halafu nikusikilize.Na kumbuka Hatuongozwi na maono wala ndoto bali na Neno la Mungu lisilotiwa maji
WAPO WATUMISHI WA MUNGU WENYE KIBALI KW MUNGU NA WENGINE HAWANA KIBALI KW MUNGU, SASA UNAPOSEMA WOOTE HAWANA KIBALI KW MUNGU HATA WAKIOMBA Toba na Rehemà UMESEMA WANAJISUMBUA UNAKUWA UNAKOSEA Nabii Mussa. USILAZIMISHE WATU WOOOOOOOTE WAKUAMINI WEWE PEKEE NDO UPO SAHAIHI "
Yaani nyie ndio mnatumiwa na lucefa au shetani au ibirisi ilikuafifisha ujio wa Yesu kristo watu wajisahau wajuwe ni uongo maana mnatoa unabii than autimii maana Mungu uwaasemi uongo kwanini kwanini MUNGU akuambie mji unaangamia mwezi 4 alafu isiwe ivo wewe ni nabii wa uongo Nina uhakika huo na nitapeli kupitia neno la MUNGU .
Muda utazidi kuongea,mimi nilisema hii roho Siyo,Haitokani na Mungu,Nabii anayepingana na biblia.Nilisema Dar haiangamii.Na huyu siyo Musa ,Musa wa kweli atarudi kipindi baada ya unyakuo wa kanisa,na atakuwa na Eliya
Kama Eliya na Musa,watarudi baada ya kanisa kuondoka B's ilo kanisa litakuwa kuzimu,kwa Hali ya kanisa lilipo fikia bila uamsho na matengenezo Yesu arudi tu hivi hivi,ata kiongozi hawezi enda sehemu bila maandalizi,Kama kanisa Lina watu ef kumi lakini wa kunyakuliwa ni mmoja Alafu KRISTO ashuke kuchukua kanisa,watu ef mbili lakini kwenye kitabu Cha uzima wako watatu alafu ashuke kuchukua kanisa,,lazima atume vingunge wa kuliamsha kanisa ndugu
Huyu nabii wa kimapepo anapenda unabii wa kutishia watu kila siku na shetani ndiyo kazi yake kuwatishia watu ili wawe na hofu tu. Nashangaa kabisa kuna wapuuzi ni washirika wake!😂😂😂
Unataka kutabiriwa mema?je,! Hayo mema unayoyataka unastahili?pamoja na Neema kuwepo lakini watu hamtaki hiyo neema wala hamuifuati wala kuitafuta tena hamtafuta utakatifu daima tena Mungu hajasema na ninyi kwasababu asilimia90 ya binadamu ni vuguvugu huyu mtu wa Mungu atawarejesha wengi kwa Yesu.mtakaasawatu taratibu maana nchi hii hakuna heshima wala kuheshimu Mungu watu wamejaadinitu nasiyo utakatifu.namanabii wengi wauongo waliokuja na injili mpya ya kuwa Mungu anaangalia moyo.vaa unavyo jisikia suka mirasta vaamawigi,Nawaambia ukweli KILICHOANDIKWA KATIKA BIBLIA NDICHO KITAKACHO HUKUMU WATU.WEWE MSIKILIZE NABII WAKO WA UONGO ANAYEKUAMBIA MUNGU ANAANGALIA ROHO UKIFA UTAJUTA.
Asante Musa wa Tongareni
Bora tunaangalia post zako. Nawe unachuma pesa UA-cam. Hatari😂😂😂
Mimi nilikupa mwaka mzima huu hata 2025,Hamna kitu kama hicho,Huwezi pingana na Neno la Mungu halafu nikusikilize.Na kumbuka Hatuongozwi na maono wala ndoto bali na Neno la Mungu lisilotiwa maji
Maono ndoto ndio msingi,
WAPO WATUMISHI WA MUNGU WENYE KIBALI KW MUNGU NA WENGINE HAWANA KIBALI KW MUNGU, SASA UNAPOSEMA WOOTE HAWANA KIBALI KW MUNGU HATA WAKIOMBA Toba na Rehemà UMESEMA WANAJISUMBUA UNAKUWA UNAKOSEA Nabii Mussa. USILAZIMISHE WATU WOOOOOOOTE WAKUAMINI WEWE PEKEE NDO UPO SAHAIHI "
Amen
Kwani maono yenyewe yanasemaje
Una mwitaje?nabii kwakigezo Gani
Amen and Amen may God help
Dar imeishia wapo mtumishiiii😂
Mlianza eti kimbunga hidaya kinakuja na bahari😂😂 sasa hakipo mnaanza tena tsunami, acheni hizo aisee...
Kweri aamini nawengine
Shalom Prophet
Amen
■Kumbe hamna Tsunami wala kuangamia kwa Dar tena😂.✅.
Amen
Amen amen
Yaani nyie ndio mnatumiwa na lucefa au shetani au ibirisi ilikuafifisha ujio wa Yesu kristo watu wajisahau wajuwe ni uongo maana mnatoa unabii than autimii maana Mungu uwaasemi uongo kwanini kwanini MUNGU akuambie mji unaangamia mwezi 4 alafu isiwe ivo wewe ni nabii wa uongo Nina uhakika huo na nitapeli kupitia neno la MUNGU .
Kuna ndoto na maono '
Huyu ana nini?
Leo tarehe 19 bado siku 12 mwezi wa 5 uishe, tuujue uongo wako...usikimbie hapa UA-cam.....njaa tupu tu
Muda utazidi kuongea,mimi nilisema hii roho Siyo,Haitokani na Mungu,Nabii anayepingana na biblia.Nilisema Dar haiangamii.Na huyu siyo Musa ,Musa wa kweli atarudi kipindi baada ya unyakuo wa kanisa,na atakuwa na Eliya
Kama Eliya na Musa,watarudi baada ya kanisa kuondoka B's ilo kanisa litakuwa kuzimu,kwa Hali ya kanisa lilipo fikia bila uamsho na matengenezo Yesu arudi tu hivi hivi,ata kiongozi hawezi enda sehemu bila maandalizi,Kama kanisa Lina watu ef kumi lakini wa kunyakuliwa ni mmoja Alafu KRISTO ashuke kuchukua kanisa,watu ef mbili lakini kwenye kitabu Cha uzima wako watatu alafu ashuke kuchukua kanisa,,lazima atume vingunge wa kuliamsha kanisa ndugu
Huyu nabii wa kimapepo anapenda unabii wa kutishia watu kila siku na shetani ndiyo kazi yake kuwatishia watu ili wawe na hofu tu. Nashangaa kabisa kuna wapuuzi ni washirika wake!😂😂😂
Unataka kutabiriwa mema?je,! Hayo mema unayoyataka unastahili?pamoja na Neema kuwepo lakini watu hamtaki hiyo neema wala hamuifuati wala kuitafuta tena hamtafuta utakatifu daima tena Mungu hajasema na ninyi kwasababu asilimia90 ya binadamu ni vuguvugu huyu mtu wa Mungu atawarejesha wengi kwa Yesu.mtakaasawatu taratibu maana nchi hii hakuna heshima wala kuheshimu Mungu watu wamejaadinitu nasiyo utakatifu.namanabii wengi wauongo waliokuja na injili mpya ya kuwa Mungu anaangalia moyo.vaa unavyo jisikia suka mirasta vaamawigi,Nawaambia ukweli KILICHOANDIKWA KATIKA BIBLIA NDICHO KITAKACHO HUKUMU WATU.WEWE MSIKILIZE NABII WAKO WA UONGO ANAYEKUAMBIA MUNGU ANAANGALIA ROHO UKIFA UTAJUTA.
@@boanergeministrytanzania8522ubarikiwe mtumishi umemjibu sawa na alivyo
Mungu akubariki Sana @@boanergeministrytanzania8522
Amen