Mapishi ya prawns watamu - How to cook prawns

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Ingredients
    1 kg prawns
    Mixed papers
    1 rbsp garlic n ginger
    Cury leaves (option)
    1 tsp curry powder
    1 tbsp cumin & black Peper powder
    3-4 tbsp cooking oil (olive)
    Salt to taste
    Chilli (option)
    _______________ shuna's kitchen
    Mahitaji
    Kamba/pronsi kilo 1
    Pilipili hoho/boga
    Kjk 1 kitunguu saum na tangaziwi
    Majani ya mvuje kiasi
    Kjk 1 bizari nyembamba na pilipili manga
    Kjk kimoja kidogo curry powder
    Vijiko 3 mpaka 4 mafuta ya kupikia
    Chumvi kiasi
    Pilipili ya kuwasha ukipenda
    _____________________________shuna's kitchen
    .
    . Follow me on instagram for more updates : @jifunze_mapishi

КОМЕНТАРІ • 29

  • @princesspriince1376
    @princesspriince1376 5 років тому +7

    MashaAllah na vile Hubby yuapenda Kamba ntamjaribia hii na Chips

  • @khadijaabdulqadir1662
    @khadijaabdulqadir1662 5 років тому +2

    Mashaallah yummy 😋. Shukraaan habibty 😍

  • @diyaosman8992
    @diyaosman8992 5 років тому +1

    Mashallah mashallah mashallah 👏👍

  • @marhas6777
    @marhas6777 5 років тому +1

    Ma Shaa Allah,Shkran

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 Рік тому

    Maa Shaa Allaah

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 5 років тому +1

    Tamu sana Shukran

  • @haniyaashur3615
    @haniyaashur3615 5 років тому

    Masha Allah i wsh niko hapo yavutia kweli

  • @muniramadha5912
    @muniramadha5912 5 років тому +2

    MashaAllah MashaAllah I wish to see your face am sure your so beautiful the way your taking style ..😍😍😍😍😋😋 prawns yummy

  • @es_am___975
    @es_am___975 5 років тому +1

    mashallah shukran habibty

  • @hshsbszbsbsb1587
    @hshsbszbsbsb1587 5 років тому

    MashaaAllah love it.

  • @fatmamohammedali4306
    @fatmamohammedali4306 5 років тому +1

    Shukran habibty

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +1

    Mmm hapa nilipo nashiba kwa kumeza mate tu ,

  • @mayusahussein4721
    @mayusahussein4721 5 років тому +1

    Yummy ❤❤

  • @ashasuleimanabdullah5973
    @ashasuleimanabdullah5973 5 років тому

    MashaAlla

  • @mwanakombosuleiman6161
    @mwanakombosuleiman6161 4 роки тому

    Nimeipenda

  • @halimatajiri2993
    @halimatajiri2993 5 років тому

    Yummy yummy 👌

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 5 років тому

    Mashallah mate yanidondoka

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 5 років тому +1

    MaashaAllah

  • @georgettemassa5490
    @georgettemassa5490 5 років тому

    Nice kwa video shukran. Ila naomba nkuulize kitu kilo nje ya pishi hili. Naitaj kujua kileja kuwa na ladha ya maziwa. Naeka maziwa ya maj na ya unga meng tu but kinakuwa hakitokei ladha ya maziwa so naomba unisaidie ni kitu gan unakuwa unaeka??

  • @justjj9934
    @justjj9934 9 місяців тому

    Umewanunua wamekwisha kupikwa? Hatukuona kuwasafisha, au kuwapika..yaani ready made..

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 5 років тому

    Yummy

  • @aminaabdallah2611
    @aminaabdallah2611 5 років тому

    Asanteee 😘

  • @a.856
    @a.856 5 років тому

    Thx hun😋

  • @fatimabadat31
    @fatimabadat31 4 роки тому

    Assalamu Alaikum. Can you use cleaned prawns?

  • @lailatyabdallah1723
    @lailatyabdallah1723 5 років тому

    Jamn umenifanya nikatafute dakaa kamba maana SI kwa mimate hii inayonitoka

  • @vanodanod5083
    @vanodanod5083 5 років тому

    Nawapenda sana lkn huku nilipo upatikanaji wake ningum sana ila asante dear ikitokea nikawapata nitajaribu kufanya kama wewe

  • @fatmakhamis9484
    @fatmakhamis9484 4 роки тому

    Ao kamba walipikwa mwanzo au walikuwa wabichi

    • @faridifriction8805
      @faridifriction8805 3 роки тому

      walikaangwa siwaona walisha change color to orange wakiwa wabichi huwa hawawi na rangi ya orange