AFANDE SELE AIBUA MAPYA BAADA ya TAMKO la UBALOZI WA MAREKANI, AITAJA BASATA -''NITASIMAMIA UKWELI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 292

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 2 роки тому +21

    I always like your ontological paradigm and rationalism about the world. You are a true panafricanist and one of the rare critical thinker African musicians, God bless and protect you! Respect from Congo🇨🇩

  • @erickmwamsuva198
    @erickmwamsuva198 2 роки тому +24

    Hongera sana afande sele kwa kueleza ukweli. Marekani ndio inayohatarisha usalama wa binadamu hapa duniani maana wanajifanya kuwa kilanja wa Dunia wakati ni majambazi wanaovamia mataifa mengine na kupora rasilimali. Tumeshuhudia Iraq, silya, Libya, afiganistani, Vietnam, congo na mataifa mengi....

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 2 роки тому

      HIVI HAMJAWAHI KUISKIA NYIMBO INAITWA USIABUDU AMERICA

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 2 роки тому +15

    Bigup my lagendery brother Afande sele moro stand-up ukweli usemwe mtanzania nikiwa jijini Nairobi Kenya 🇹🇿💪🙏

  • @revokachira119
    @revokachira119 2 роки тому +6

    Hii ndo Sanaa niloililia Kwa muda mrf. Asante Afande Kwa kurudi

  • @shillatrader160
    @shillatrader160 2 роки тому +17

    Thank you our brother for telling us what is in our hearts for so long,
    BY ....the truth hurts but freedom of expression should be respecte

    • @makaatalia121
      @makaatalia121 2 роки тому

      Sijakuelewa weka kwa kiswahili hapo umemeahisishia mzungu ukamua mtanzani kwa lugha.

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 2 роки тому +14

    Safi sana Afande Sele. Usiwaogope wanasiasa uchwara wa Tanzania.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Nani huyo katika Nchi hii? Jamaa mmoja anaweza kusababisha diplomatic crisis? Ni ufalaa tu! Haikubaliki... Simuelewi mimi! Mtanisamehe!

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому +3

      @@j.c.maxima816 you sound so primitive and stupid, uko pumbafu saana diplomatic crisis gani unaongelea, nani kakuambia uogope kusema ukweli sababu tu ya woga , unajuwa maana ya freedom of speech? Unajuwa maana ya Democracy? Achana na hizo fikira zako za Dunia ya tatu pumbafu wewe

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      @@svt3 Acha tuone kwanza kama huo wimbo utaendelea kupigwa, halafu utaniambia nani stupid kati yangu na ww! Jambo lingine, UKWELI haupo! (The truth doesn't exist!) It's relative! Usitetee kitu ambacho hakipo!

    • @habibndyeshobora6848
      @habibndyeshobora6848 2 роки тому +3

      Acha ujinga juha wewe ,ikipatikana waoga na majuha Wa aina yako ,Yale Marekani ilimfanyia Floyd na mwenendo Wa kesi ile, na Bado hats Sikh za hivi karibuni wameua ,RAIA Wa Congo ,so watu wema na mjuha kina were hamwezi kulaani popote mlipo!!! On a AIBU basi. Ukae kimya!!!!

    • @janet7740
      @janet7740 2 роки тому +2

      @@svt3 umuogezee sauti .Huyu mzee anaogea ukweli kabisa. Only primitives awawezi elewa

  • @saidiamisiwilondja3999
    @saidiamisiwilondja3999 Рік тому

    Mzee watu waliheshimu Jina lako kwakweli wewe ni afande sale ✊✊✊✊✊✊✊hapa Africa bado wanaume tu nao mtoto WAnyoka ninyoka mtoto wakadafi mwafrica uyo musimvuruge akili muziki mnene muziki kabambe salute sana baba kwa kulipiganiya bara letu LA Africa one ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 2 роки тому +9

    Huyu mwamba ana hoja nzito Sana,namkubali Sana 💪💪

  • @rukururukuru7261
    @rukururukuru7261 2 роки тому +8

    Afande ww ndoo mtanzania sasa kwa kweli wimbo nime upenda sana sana Afande

  • @rwenenahomechannel1634
    @rwenenahomechannel1634 2 роки тому +3

    Hongera sana kaka Selle.
    Hakika wewe umenizidi.
    You're a really African Teacher.
    Na kukubali sana.

  • @thurambwoy-official1020
    @thurambwoy-official1020 2 роки тому +2

    Bro I'm proud of you BIG UP, Jah bless you and may you live longer 🙏 ONE DAY AFRICAN WE WILL BE FREE FROM BAD DEMOCRACY 👎 IN THE NAME OF JAH

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 2 роки тому +3

    Hongera Afande sele kwa kazi nzuri huyu wimbo ni kweli tupu. .

  • @nongollohsuleyman9734
    @nongollohsuleyman9734 2 роки тому +1

    Afannde nimekuelewa baba! Bigup, pamoja sana , tusisahau Somali pia

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +11

    UMETISHA MZEE
    UMEUWA SANA MZEE SELE

  • @fpct8ecepacwatotokambi608
    @fpct8ecepacwatotokambi608 2 роки тому

    big up sana msanii wetu Afande sele akika umehimba vitu vya msingi kweli akika Afrika yetu tunahitaji kujifunza mambo kama hayo ili kusonga mbele kwenye mustakabali wetu viva Afrika

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 роки тому +24

    Huyu sasa ndio kio ya Jamii sio wale kucha wana tuimbia tu nyimbo zakuamasisha Zinaa tu.
    Nimegundua kitu eti walimwambia inaaribu diplomasia kumbe ukiwa kibaraka wa mabeberu hauwezi sema ukweli kuwausu ndio mana huyu mama anajaribu kuzima legacy ya mzalendo jpm kuwalinda bwana zake mabeberu

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 роки тому +3

    Upo vizuri sana mzee kaka khakika wamerekani ni kirusi hatari katika hii dunia na yote hii ni tamaa ya kujiweka wao kuwa juu zaidi ya mungine. America ni máfia wa dunia na wala co binamu wabaya na wachafu sana katika maisha yetu

  • @issakangoni7295
    @issakangoni7295 2 роки тому +12

    Halafu wapumbavu utawasikia wakisema bangi mbaya. bangi sio Mbaya ni akili ya mtu. Aminia sana mfalme wangu aendelee kula mmea wala hauna madhara kwa afya yako. Mngepatikana wasanii wa 3 kama wewe Tanzania tungefika mbali sana kimziki. Yani mpaka umenifanya nimkumbuke hayati Justin kalikawe Mungu amlaze pahala pema peponi👏👏👏

  • @deusrobart8181
    @deusrobart8181 2 роки тому +1

    Kutoka Morogoro mpaka Geita nimejiona kwenye kioo cha jamii🙏🙏🙏

  • @marcomayalla5138
    @marcomayalla5138 2 роки тому +1

    Asante Sana afande nakukubali

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 2 роки тому +2

    Hongera sana Mwamba umetuwakilisha yamoyoni ndio maana ya kioo cha jamii tofauti na wale wengine

  • @titosanga9602
    @titosanga9602 Рік тому

    Hongera sana kaka upo sahihi kabisa mungu akutie nguvu katika hiki unachokifanya kama kioo cha jamii!

  • @anordmwemezi5364
    @anordmwemezi5364 2 роки тому +6

    Afande sele wewe unaona mbali sana cjui watu awawazi jmn tuhurumianeni dunia yetu wote jmn

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 2 роки тому +2

    Afande kwakweli we ungekuwa mkongo ungekuwa Mbali sana kweli

  • @ibrahmanoma4179
    @ibrahmanoma4179 2 роки тому +14

    Global na nyinyi wanafiki, Nyi si ndo mliosema hamkubaliani na nyimbo aliyotoa afande sele kuikosoa marekani inakuaje mnaendelea kumfata kumhoji kama sio kumletea unafiki.

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 роки тому +1

      Wameumbuka baada ya kuona Nyimbo imepostiwa na ubarozi wa Marekani.

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 2 роки тому +6

    Ukweli unauma ,washenzi sana hawo ,watukane sana

  • @shukranikasereka716
    @shukranikasereka716 2 роки тому

    I Always apreciate what he says. A man of truth and freedom

  • @renovatrubeni7802
    @renovatrubeni7802 2 роки тому

    Afande sele big up san my lovely star king of TANZANIAN MUSIC. ulichoimba ni ukweli

  • @godsservantrimo9844
    @godsservantrimo9844 2 роки тому +2

    Atleast tunao watu wanaoona mbali...gd job!

  • @sharifhassanaly6951
    @sharifhassanaly6951 2 роки тому +3

    Tuko pamoja afande sele nakufata tokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 2 роки тому +1

    Asante from Burundi 👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪💪🇧🇮🇿🇦 sawa

  • @mahamudaideed6922
    @mahamudaideed6922 2 роки тому +2

    Mungu akulinde maana marekani inakuwazia mbali kwa sasa uwa hawapendi kunyooshewa kidole

  • @iklamkilongoji5097
    @iklamkilongoji5097 2 роки тому +1

    Unaonaga mbali sana mkongwe nakukubali daima...napendaga sana unaposema kua ni mwanahalakati usietumia bunduki.. mashailiyako yapo sahihi ...

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 2 роки тому +1

    Amna Afande sele super sana

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 2 роки тому +9

    ALUTA CONTINUA .BIG UP SELE

  • @paulkambona5852
    @paulkambona5852 2 роки тому +19

    Nakuunga mkono 100 kwa 100 watanzania tuko nyuma yako

  • @issakhan260
    @issakhan260 2 роки тому +1

    Afande sele upo na fikla ndefu saana hongela Allah akupe Maisha malefu

  • @haruniezekiel4888
    @haruniezekiel4888 2 роки тому +3

    Nikiwa Rais wote mtakuwa na kazi njema Sana kuukumbusha ulimwengu ili kutenda haki daima

  • @yasminsalim291
    @yasminsalim291 2 роки тому +1

    Dah broh Nakupenda kwa ajili ya Allah Dah umeongea Kitu Nacho kiwaza miaka mingi wazungu Walitutesa Watakupa uhuru Elekezi Na mpaka Leo bado wanatutawala Utajiri Wa congo Hata uchukue ulaya nzima Haiwezi fikia ila mbwa Weupe Wanafanya waafrica tutengane Tena kupitia mamluki Wafrica wenzetu

  • @phanuelelijha7978
    @phanuelelijha7978 2 роки тому +2

    Fact brother 💪, message sent and delivery 👏👏. Can you make again please from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @williammwamalanga2000
    @williammwamalanga2000 2 роки тому

    AFANDE SELLE HONGERA SANA MWENYENZI MUNGU AIBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO

  • @shadrackmwakalinga6037
    @shadrackmwakalinga6037 2 роки тому

    Congole Afande Sele.Nilikumisi brother

  • @renifridngulukila1463
    @renifridngulukila1463 2 роки тому

    Daaaah! thank you moooooh brother for telling the truth

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 2 роки тому +2

    Eti tutasaidiwa hatutaki misaada sisi nimatajiri tumieni madini tulionao acheni tegemezi na hao wamarekani . Big up Afande

    • @yoenbeats8687
      @yoenbeats8687 2 роки тому

      Aisee we ni mpare wa wapi mbona ni ndugu yangu totally, mi naitwq yoen Mbwambo

    • @yoenbeats8687
      @yoenbeats8687 2 роки тому

      Aisee we ni mpare wa wapi mbona ni ndugu yangu totally, mi naitwq yoen Mbwambo

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 2 роки тому +3

    Dada unaongea vzur sana sana hongera

  • @vinnydee5126
    @vinnydee5126 2 роки тому

    Bro Mungu akubariki sana unaongea point tuu🙏🏻

  • @mutijimacedrick1622
    @mutijimacedrick1622 2 роки тому

    A lutta continua ..samora ainda vivo meu irmao...ongera sana panafricanist

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 2 роки тому +1

    Vive la Tanzanie et Vive l'Afrique.

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +1

    Bro upo sawa,
    Hakuna kulemba maovu 👊🤝👍

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 роки тому +4

    Peace and love ukosahihi anko ukweli unadum milele na milele

  • @Summerbtz
    @Summerbtz 2 роки тому

    All the. Best Suleiman Msindi

  • @elmiaxmed6870
    @elmiaxmed6870 2 роки тому +1

    Uko sawa sana shida tanzania ni wanfiki tunanizam ya uwoga

  • @balozififterubani8195
    @balozififterubani8195 2 роки тому +1

    Afande asante sana tena sana umetufundisha mingi minakupenda sana mina fataka tabiya yako yote niko BENI/DRC

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому +5

    Kazi nzuri sana

  • @rizikizakaria8044
    @rizikizakaria8044 2 роки тому

    Good points afande sele am from India

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 роки тому

    Uko vizuri Sana Afande...safi sana!

  • @mwinyijuma2227
    @mwinyijuma2227 2 роки тому +2

    Tupo pamoja Afande umerudi kwenye nafasi yako

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 2 роки тому +1

    Afande selle nakupenda sana ndugu yangu

  • @boniphacemmassy4554
    @boniphacemmassy4554 2 роки тому +7

    DUUHH SERIKALI YETU INAOGOPA KWA KUWA ITAKOSA MSAADA...
    .
    BASATA NA TRA SIO KOSA LENU NI AMRI TOKA KWA MABEBERU...
    .
    ILA KUMBUKENI TUU " Amelaaniwa amtegemea Mwanadamu huku moyoni mwake Amemwacha Mungu"....ENDELEENI KUWATEGEMEA TUU HAO..!!

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 роки тому

      That is why they still treating you as slave utll now because they obey them like a God

    • @netlity5532
      @netlity5532 2 роки тому

      Nahisi hujasikiliza vizuri ni BASATA na TCRA sio TRA 🤝

  • @josephathanas2065
    @josephathanas2065 2 роки тому +3

    Kazi nzuri Bi Mwa J

  • @kassebo
    @kassebo 2 роки тому +3

    Nimependa ujumbe mzeee umewatupia bonge la ujumbe. Hahahaaaa✍️✍️✍️✍️✍️🇹🇿

  • @haruniezekiel4888
    @haruniezekiel4888 2 роки тому +1

    Niseme tu marasita asilimia kubwa huwa wanaimba ukweli wa maisha harisi mfano bobmaley na lucky dube Hawa wote ni taa zetu pia katika fikra.

  • @bluassumani3979
    @bluassumani3979 Рік тому

    Nakusapoti 100 kwa 100 mwalimu Afande sele, toka DRC Bukavu town

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +6

    Afande sele
    Mzee wa FACT

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 роки тому +1

    Nimekukubari mtumzima mwenzangu✊

  • @calvinlameck1577
    @calvinlameck1577 2 роки тому

    Saf sana afande ww ni icon ya wasanii wte!

  • @lernaxomarco1372
    @lernaxomarco1372 2 роки тому

    Safi sana Afande bana .mimi niko pamoja nawewe kaka

  • @laurentjoseph3143
    @laurentjoseph3143 2 роки тому +2

    Mfalme wa vinaa💥💥🙏🙏🙏

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 роки тому +2

    Msanii wa kweli afande sele

  • @anytime5685
    @anytime5685 2 роки тому +6

    Huu ni ukweli usiopingika NATO na marekani ndio wabaya wa hii dunia

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 2 роки тому +3

    Uhuru wa maoni uzingatiwe,kama afande kasema uongo ktk wimbo wake si marekani waseme amekosea nini kwa hoja?sio ubabe hoja haipigwi rungu Bali kwa hoja iliyobora zaidi,marekani hawataki kuelezwa ukweli.

  • @emmadeprincetv6133
    @emmadeprincetv6133 2 роки тому

    Afande MUNGU akutanguliee sanaa

  • @Allystor
    @Allystor 2 роки тому

    Daah umeongea deep sana kaka . Tusimame kwenye kweli R.I.P JPM

  • @salimmohammad3627
    @salimmohammad3627 2 роки тому +1

    Congratulations sir

  • @petera.mashili694
    @petera.mashili694 2 роки тому +1

    Nimekupenda big up!

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +2

    Yan wew ndugu
    Nikichwa sanaa sana mzee

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому +2

    Uimbwe kwa kiingereza pia itakuwa vzr zaidi TENA muache kumsema bangi bangi ameongea kitu hata wanasiasa hawawezi.

  • @baytumuqqaddas
    @baytumuqqaddas 2 роки тому

    Nakubaliii afange heshima yako

  • @eliaminishembazi520
    @eliaminishembazi520 2 роки тому

    Hakika Afande big up

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 2 роки тому

    Afande selle bag inakuwa uwezo wakufikiria vizur tafuna sana majan ya mihogo,mabonga,bage na majani mbali mbali kula sana aisee usisahau kula matunda sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому

    Marekani ni nchi mbaya kuwahi kutokea dunia hii wana penda uonevu na wana sapoti USHOGA walaaniwe mbwa wao

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 2 роки тому

    Jamaa umetisha sana

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 2 роки тому

    Mungu akuweke miaka mingi utufungue mkuu salutii

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 роки тому +2

    Afande uko sahihi saaana hawa marekani ndo hutuulia Ma Rais wetu wakionesha kuwa na msimamo na maendeleo thabiti bila kuwategemea wao natamani putin awazukie

  • @reyschwarzeneggeranzurunia9105
    @reyschwarzeneggeranzurunia9105 2 роки тому

    safi sana afande sele

  • @adelardnhundesaduka5825
    @adelardnhundesaduka5825 2 роки тому

    Hongera sana kwa hilo

  • @eliekalonji7805
    @eliekalonji7805 2 роки тому +1

    Afande unasema kweli tatizo ni vibaraka vya marekani ila marekani ndio tatizo la Africa

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 2 роки тому

    Kwakweri Afande unaongea fact sana huku Congo nishida sana

  • @thomaskatwila7461
    @thomaskatwila7461 2 роки тому

    Ujumbe huu mzr sana Kwa sisi wazalendo tunao penda taifa letu ila sio Kwa tundu lisu na chadema vibaraka wa mabeberu wapumbavu

  • @johnraymondi8808
    @johnraymondi8808 2 роки тому

    Afande unafanya vizuri sana mashahili mazuri sana wewe ndiyo Simba

  • @andyismailbuanado6703
    @andyismailbuanado6703 2 роки тому

    Vizur sana sana san

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 роки тому +7

    hapa sasa ndi watanzania msio penda ufisad na uhujum ndi mpate pa kushika na kusimama na huyu jamaa acheni uwoga bana mfanikiwe katka inchi zanu zenye utajir wahali ya juu tatizo watanzania muna ujinga fulan mnasemea vumbani simameni kwa wingi simameni kwa umoja msimwache pekeake huyu jamaa anajua haq za watanzania vizur so unganeni nae muweze kupaza saut mkatae haya yanayo endelea kuwarejesha nyuma mkiwa wingi hawawez kuwafanya kitu tatizo nyie mnawachia mmoja tu ndi maana wanamfanya wanavitaka ila mkiwa wingi kama mnavilalamika katka comments zenu bas mtashinda na inchi yenu mtafika mbali kama wakat wa maghufuli alikataa haya mambo ya kumpigia ghot qaafir bana

  • @daytonantwale8175
    @daytonantwale8175 2 роки тому

    Nchi yetu haina viongozi wanaojielewa big up sele

  • @josphndungulu804
    @josphndungulu804 2 роки тому

    Big up Sanaa,

  • @jacobakwilambo2037
    @jacobakwilambo2037 2 роки тому

    Ajengewe mnara Africa 🌍

  • @tazamamaajabuyaulimwengu2786
    @tazamamaajabuyaulimwengu2786 2 роки тому

    Kutengeneza kwa silaha sehemu flan si sababu ya kuhusishwa na machafuko sehemu flan

  • @suleimansiasa9800
    @suleimansiasa9800 2 роки тому

    Lugha mama rekebisha, niaibu kwa mtu mwenye fani kama yko. Hujui kiswahli

  • @luganomasebo6606
    @luganomasebo6606 2 роки тому

    Afafande anasema... Wote.. Wote kimyaaa... Maneno haya yatampata mwenye hekima .... Hapoo... Hapo ulipo...

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 2 роки тому

    Mimi sio shabiki wako sipendi mziki lakini napenda ukweli uliouongea, na serekali pia ijifunze ijuwe inaongoza watu wenye akili aiwaongozi kondoo kwaiyo wangekukataza mziki kwa upande WANGU ingekuwa Sawa lakini sio ukweli unaousema kwasababu ya nidhamu Yao ya woga!! ,Mungu amlaani Marekani na wote anaoshirikiana nao katika kuiharibu hii dunia 🤲

  • @fistonmakasi3803
    @fistonmakasi3803 2 роки тому

    UKO sawa afande nakubaliana n'a wwee /%