Mali ya thamani isiyojulikana imeketea moto katika bweni la shule ya Pentagon migori

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 тра 2024
  • Mali ya thamani isiyojulikana imeketea katika shule ya Msingi ya pentagon usiku wa kuamkia Leo baada ya bweni kushika moto.
    Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu, Philemon Odiwuor Ojuka, alieleza kuwa japo chanzo cha moto huo hakijulikani, inaaminika kuwa ulisababishwa na hitilafu za umeme ambao umekuwa ukipotea mara Kwa mara. Mwalimu huyo alieleza kuwa hakuna mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa katika tukio Hilo. Kwa Sasa shule hiyo imefungwa Kwa muda usiojulikana.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @mercynyaga2053
    @mercynyaga2053 28 днів тому +1

    At leaat the atudents ard safe

  • @bbd359
    @bbd359 28 днів тому +1

    Ohh No
    Pentagon Academy, my former school 😮.

  • @HololPc-dn6eu
    @HololPc-dn6eu 28 днів тому +1

    Asante mungu watoto wako safe🙏