КОМЕНТАРІ •

  • @KAMINATOMUSIC-jg9ie
    @KAMINATOMUSIC-jg9ie 8 місяців тому +8

    Jaman tunao mpenda young killer tuguse link apo kuskiza ngoma yangu mpya kuhusu killer na lunya

  • @naseeriddi4346
    @naseeriddi4346 2 роки тому +142

    Mxodooooki 🇿🇦 Kama unakubal uyu ndio young KING weka like yako ili niamin.

  • @almasially6509
    @almasially6509 2 роки тому +76

    TANGIA MSODOKI ATOKE, HAKUNA MSANII MKALI WA RAP ALIETOKA BAADA YAKE KUMZIDI MSODOKI

  • @blackumojatunaweza165
    @blackumojatunaweza165 2 роки тому +2

    Wewe nimukalisana Mimi sina comment apa lakini Big up ✊✊

  • @issathomas5667
    @issathomas5667 2 роки тому +29

    Tupo tayar kuipokea kazi mpya msodoki kana unamkubal killer gonga like

  • @ukwigana7279
    @ukwigana7279 2 роки тому +1

    Yaani bhana young killer apa cha kwanza umeua biti..limenifanya ntingishe kichwa yaani kama mbele afu mistari ya humo ndo uspime...fanya upige za mabiti makali bro...#oneLoveBongoRap

  • @habibuomary1935
    @habibuomary1935 2 роки тому +3

    Hakuna msanii mwenye akili ya kuandika hivo ni wewe mwenyewe ,wabane mbavu mpaka washike kuruani

  • @FabriceTasi-jp7lb
    @FabriceTasi-jp7lb 6 місяців тому +1

    Rwapa muize yaniingiya sana, ❤

  • @madimj5022
    @madimj5022 2 роки тому +2

    Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu 💣🔥

  • @Goldsteel249
    @Goldsteel249 10 місяців тому +1

    Msodoki mtu wake OG

  • @vittaalphonce4083
    @vittaalphonce4083 2 роки тому +51

    Mdogo wangu fanya hivyo! Watu wanaitaji ngoma zifuatane

  • @Kadesablack
    @Kadesablack 2 роки тому +2

    Hatuchanganyi business na life #1 fan all way from Nairobi Kenya

  • @2116-n
    @2116-n 2 роки тому +32

    "SASA NAWANYWESHA DAWA KWA NGUVU, NIMEWAONA NI WAGONJWA SUGU"🙌🙌🙉

  • @MarthaPaulo-s7z
    @MarthaPaulo-s7z 10 місяців тому +1

    Mbuzi endelea kula nyas

  • @iamadritoh7345
    @iamadritoh7345 2 роки тому +10

    EEEEEHBWANAAAAAAA!!!! GONGA LIKE KAMA UNAMKUBALI HUYU MWAMBA WA MWANZA MWANZA

  • @ourcouple6666
    @ourcouple6666 2 роки тому

    Hiii nikubwaa sana msodoki 🗣🗣🗣LES GOOO 🙌🙌🙌

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 2 роки тому +8

    Wee kuma hawakuwezi ata wakiungana Lunya Bado Sana kufika Moto wako Kaka 🔥🔥🔥

  • @aamovies7425
    @aamovies7425 2 роки тому +1

    nina imani hayo magari hayapo parking ila Petro station yanapanga foleni kwa uhaba wa mafuta hh song of the year msodoki hainaga swaga kabisa #noswaga

  • @ndamaboy2243
    @ndamaboy2243 2 роки тому +15

    Sasa nawanywesha dawa kwanguvu/
    Nimeona ni wagonjwa sugu/
    Tukikosa pilipili kwenye mboga tunaeka upupu/ hahaa
    Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @chidyboytz48
    @chidyboytz48 2 роки тому +1

    uyuu jamaa uyuu jamaa ni MKALiiiii🙌

  • @TonyMkongo
    @TonyMkongo 2 роки тому +70

    Mzee baba umetisha sana 🤘🤘

  • @loserianmollel5400
    @loserianmollel5400 Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥 bonge la ngomaaaaaaaaa

  • @youngchuda1568
    @youngchuda1568 2 роки тому +5

    Mwanangu flani hv tulio jichimbia chaka mbezi mama msodoki siwa boi

  • @bosmutoto4416
    @bosmutoto4416 5 місяців тому +1

    Msodokiiiiiii 🔥🔥🔥

  • @acrambacari4187
    @acrambacari4187 2 роки тому +46

    Daprooo oooh my God what a Beat Young Killer what a flows "anaejitia mwema kw watu ndiyo mbaya" tukikosa pilipili kwenye supu tunaweka upupu

  • @donaldvanjoseph8153
    @donaldvanjoseph8153 2 роки тому +2

    kama unajijua we ni NGOSHA like hapa twende

  • @festopeter1407
    @festopeter1407 2 роки тому +10

    Eeeh bhana 👊🏿 brother young killer umetisha sana yaani Kama umemwelewa ngonga like 👍🏿

  • @Lloydlisapita
    @Lloydlisapita 2 роки тому +1

    Watoto watulie sasa

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 2 роки тому +6

    Time yako ndg tenda kazi nzuri ili tuweze kufurai maisha achia mshipa uwo usijeukabast

  • @TanzaniaGamers
    @TanzaniaGamers 2 роки тому +2

    Master karudi🐾like kwa young killer 100 zinatosha tu

  • @Uyrvanology
    @Uyrvanology 2 роки тому +17

    Flow na Beat za HipHop iloshiba hlf Matured... Gonga like kama umeona hii kitu kwa Msodoki🇹🇿🇹🇿

  • @mengodmengo1645
    @mengodmengo1645 2 роки тому +1

    Kitu Kali

  • @husseinmohammed7657
    @husseinmohammed7657 2 роки тому +2

    Yani mistari yako ndio book la maisha....nachanaga sana mistar Wala siotagi kitambi ,yani kwangu ndio lugha nikiwa kitaa na2mia. Mxoooodoki nakwambia wana masnich wata2lia....✓

  • @yobrake5856
    @yobrake5856 2 роки тому +80

    Number one fan from Kenya 🇰🇪,,,,still waiting 💯

  • @erickMwosya
    @erickMwosya Рік тому +1

    Somo you never fail, man uko more talented,back here wananiita killer wish tumeet for a selfiee......much love from kenya

  • @2116-n
    @2116-n 2 роки тому +82

    "TUKIKOSA PILIPILI KWENYE SUPU, TUNAWEKA UPUPU"🙌🙌🤪🤪

  • @michaelbobu109
    @michaelbobu109 2 роки тому +1

    Sijawah kukupinga bro ngosha👊👊😀

  • @athanaspaul3096
    @athanaspaul3096 2 роки тому +12

    Chuma ya moto sana wanajiita maGOAT kaz wanao maana mwenye nyomi lake karud big u sana homeboi…mwanza stand up🔥🔥🔥🔥

  • @japhetmwangwa2145
    @japhetmwangwa2145 2 роки тому +1

    Hii yapa Kaka ni more than fire ❣️❣️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥taji lako ni swala la muda tu

  • @dushudofficialnurudin9753
    @dushudofficialnurudin9753 2 роки тому +6

    Brother Kilamtu Anajua Kuwa Unajua Sema Unajipoteza Mwenyewe Uyu Ndo Killer Tunayemtaka Sio Kukaa Kimwa Bonge La Ngoma!! 🔥🔥🙌

  • @omaryharuna1305
    @omaryharuna1305 2 роки тому +1

    killer kama killer umeua mzeeeiyaaa!!!!.

  • @wonderkid6295
    @wonderkid6295 2 роки тому +5

    One and only.......... Killer🔥🔥🔥🔥🔥🔥Best rapper yan hakunaaaaa.... Ety ""mbuzi"" yaaan bdoooo xana kwa msodokiii wa moto🔥🔥🔥🔥dondosha nyingneee!!!

  • @menganyimalerachacha4074
    @menganyimalerachacha4074 2 роки тому +2

    Msodoooookiii,haunag swaga bro,wasukuma tujuane Kwa ku like comment

  • @josephatymziray5572
    @josephatymziray5572 2 роки тому +13

    We ndo Unafanya Hip-hop inaskilizikaa🙌🙌🇹🇿🔥🔥🔥🔥

  • @Lloydlisapita
    @Lloydlisapita 2 роки тому +1

    Mzeee🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 2 роки тому +57

    From USA here in Hollywood. Young Killer is the best in rap in East Africa. Releasing song continues only few talented rappers is capable. You're legendary

  • @henrydamian1585
    @henrydamian1585 2 роки тому +2

    Kaka kna mtto mmoja kaleta madharau kisa ka tuzoo fanya kweliiiiiiii

  • @jumajembe7736
    @jumajembe7736 2 роки тому +17

    Msodoki tunasubiria another atomic Bomb broo 💫🔥🔥🔥🔥

  • @hajiLunje-cp6fe
    @hajiLunje-cp6fe 7 місяців тому +1

    heeeeee bwana💥💥💥💥💥

  • @kelvinmradi9020
    @kelvinmradi9020 2 роки тому +140

    In this generation, these young rap fellas will come n go, Buuuuuut..Youngkiller is tha Beast💪🏾

  • @changasmwangalela5796
    @changasmwangalela5796 2 роки тому +1

    Wewe siyo Young tena. Uitwe King killer kabisa.
    Kiukweli umeua sana.

  • @MohammedAhmed-xv2ij
    @MohammedAhmed-xv2ij 2 роки тому +25

    It's good to see you back brohhh......taji lako la uking ni swala la mudaaa👑👑🤴🤴

  • @petermathis1433
    @petermathis1433 2 роки тому +1

    Wewe nimuuaji kweli ushaua tayali jiandae kukamatwatuuuuuu 💯💪✔️🔥🔥💥🇯🇲🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bebehmziiki7144
    @bebehmziiki7144 2 роки тому +4

    I'm nodding over and over meeeeeeern fireeee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 logged in

  • @jacksoncharles6239
    @jacksoncharles6239 2 роки тому +1

    Daah
    Mwanangu huyu jamaa levo nyingine.Yani lymes ni zaidi ya profesa wa Havard

  • @mapstz9046
    @mapstz9046 2 роки тому +11

    FLOWS KALI,BEAT HEAVY,VIDEO INTERNATIONAL.......KILLER KILLED IT.....ngoshas hatunaga swagger kabisa

  • @charlesgodfrey6706
    @charlesgodfrey6706 2 роки тому +2

    Haina mjadala kuhusu nani rapper bora kwa young generation

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 роки тому +23

    They'll come and Go but you'll remain one and only theTalented rapper in our mothers Land

  • @mdeeyoofficial813
    @mdeeyoofficial813 2 роки тому +1

    Nomaaa msodoki

  • @prospergasper1874
    @prospergasper1874 2 роки тому +16

    Wooooooooooooww killer is back 🔥🤙🔥🤙🔥🤙🔥

  • @erishakinshuli1687
    @erishakinshuli1687 2 роки тому +1

    nainjoi mzik mzuli

  • @bouchofundishokesha2759
    @bouchofundishokesha2759 2 роки тому +26

    Young King he's back in the game 💥💯🔙

  • @abdallahmrisho3142
    @abdallahmrisho3142 2 роки тому

    Msodokii the sun we jamaa hataarii sanaa

  • @japheblessin8837
    @japheblessin8837 2 роки тому +6

    Risasi za guns ziko tayari....

  • @donardkisoda9572
    @donardkisoda9572 3 місяці тому +1

    Niko hapa 2024.july na Bado mawazo yangu hayaja haka kwa msodoki sijaona rapper wakunibadilisha mawazo yangu bongo zaid ya msodoki

  • @eliapascal1722
    @eliapascal1722 2 роки тому +15

    The lowkey king💪💪.. Rockcity icon no one like young kller.. He killl every beat

  • @rehaniathumani8281
    @rehaniathumani8281 2 роки тому +1

    Ukijua kuchora haimaanishi hauchoreki...killer ☀️☀️

  • @jevuofficial5266
    @jevuofficial5266 2 роки тому +19

    Appreciate you MWANZA MWANZA 👊
    Only one killer on rapp 🎤🎤

  • @naseeriddi4346
    @naseeriddi4346 2 роки тому +2

    Asante killer hili goma ndio la kumtambia mwanangu De vanny nakubl Sana bro Mxodooooki 🇿🇦

  • @mpcarry3330
    @mpcarry3330 2 роки тому +29

    The waiting is Over 🔥🔥🔥🔥

  • @manaseloramatu8736
    @manaseloramatu8736 2 роки тому +1

    Brou haukoseagi

  • @mussalucas452
    @mussalucas452 2 роки тому +14

    You're a king in this generation keep burning 🔥🔥

  • @dylanngoda8120
    @dylanngoda8120 2 роки тому

    mkali wangu mnouma wengine miyeyusho tuu

  • @bernpe3841
    @bernpe3841 2 роки тому +9

    Big Brother Young killer Msodokiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥💯🙌

  • @unicelebsshow4191
    @unicelebsshow4191 2 роки тому

    Ida madness 🙌🙌🙌🙌

  • @mawazoluchagula8836
    @mawazoluchagula8836 2 роки тому +6

    Killer... Rock City stand up...

  • @naslee1010
    @naslee1010 2 роки тому

    Uyu jamaa noma sana

  • @celebritygossiptv6958
    @celebritygossiptv6958 2 роки тому +31

    *Let us express ourselves through the power of Love, Peace and music ❤️*

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 2 роки тому +1

    Endelea kutulindia *BOOM BAP* yetu msodoki... Jah abless asee🙏🙏

  • @wizmagotv7250
    @wizmagotv7250 2 роки тому +3

    MSODOKI FOR HIPHOP BRUH STILL UNANI INSPIRE KWA HII GAME 💯🔥🔥

  • @hidoxtz3559
    @hidoxtz3559 2 роки тому +2

    ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu😂😂😂killer🔥🔥

  • @naybrema7970
    @naybrema7970 2 роки тому +24

    He’s utterly with no doubt, the BEST of his genre 🔥🔥

  • @peterphilemon8577
    @peterphilemon8577 2 роки тому +1

    killer💥💥💥💥💥💣💣💣

  • @goshakinmusic6257
    @goshakinmusic6257 2 роки тому +17

    Drop drop #Msodokii #DomTown here waiting for it🔥🔥🔥

  • @juliussimba4130
    @juliussimba4130 2 роки тому +1

    Brother umetisha only nakubali San💪💪💪💪🌹tunataka vitu Kama hivyo👊👊

  • @dicksonromy3921
    @dicksonromy3921 2 роки тому +50

    killer never disappoint us 🔥🔥

  • @jerryjrkidume10
    @jerryjrkidume10 2 роки тому

    Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu 💥💥💥

  • @kizz_kido
    @kizz_kido 2 роки тому +7

    From 🇯🇲 i'm so proud of you ,you is best rapa in all time

  • @eibrahimramadhan7053
    @eibrahimramadhan7053 2 роки тому +1

    Kumbe umeliona hilo mashindano yanapotoshwa mshindi amendaliwa washindi wa mchongo😂😂😂😂

  • @yusuphndembela7857
    @yusuphndembela7857 2 роки тому +26

    We need to see killer perform more than that, keep going our boy

  • @JOHcx44
    @JOHcx44 2 роки тому

    Dakika mbili tu kwenye ngoma yako znatosha kabsa kkujua we ni nani🏆

  • @matabsjay0919
    @matabsjay0919 2 роки тому +25

    This guy never disappoint 🌋🌋

  • @johniie3605
    @johniie3605 2 роки тому +1

    Young killer wa dear gambe amerudi Tena.,..🎶🤍🤍

  • @jumadepinbwoy5275
    @jumadepinbwoy5275 2 роки тому +6

    Dope 🔥🔥🙌 🙌... Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tupo🔥🔥🔥

  • @fredadam6295
    @fredadam6295 2 роки тому +1

    2nae mjua ss young king ndo huyo

  • @safitvswahili1753
    @safitvswahili1753 2 роки тому +7

    We still waiting rocky city boy!!! Fonia hood...

  • @erishakinshuli1687
    @erishakinshuli1687 2 роки тому +1

    Asante sana rapa bora

  • @saicarrke12
    @saicarrke12 2 роки тому +3

    Listen to this 10 times since it got on platform ,,,,,,,,,,,,,,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jaydeboy2789
    @jaydeboy2789 2 роки тому +1

    Nani kama wewe mr mwanza mwanza hiph pop iliyokolea hadi raha kuisikiliza haina makelele, yani 🔥🔥🔥🔥

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 2 роки тому +7

    Never disappoint G 🙏💯🔥🔥🔥🇰🇪☑️