WANANCHI WAANDAMANA - WAFUNGA BARABARA MERERENI - KIA kwa SAA 4 - WAMTAKA MAKONDA AFIKE KUWASIKILIZA
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- WANANCHI WAANDAMANA - WAFUNGA BARABARA MERERENI - KIA kwa SAA 4 - WAMTAKA MAKONDA AFIKE KUWASIKILIZA
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Realy i love maasai tribe , wakiamua kudai haki yao wanasimamia mpaka wapate , pili pongezi kwa mkuu wa wilaya huyu mwamba na mwamini sana siyo mbabaishaji
Malalamiko haya kila kukicha,bila kuchukuliwa hatua kuyatatua mwisho wao sio mzuri.wanamuangusha mama Samia kwani yeye hawezi kumulika kila sehemu.
Arusha ongereni kwa misimamo imara
Watanzania niwazuri sana
Wamasai wakiamuaga ngumu sana labda mungu aingilie selikali iwe inatekeleza wanacho ahdi
Jamani mbna nihatari tazaniya ni ichi ya amani
Serekali mpaka watu waandamane ndio mseme mtatatua ?fedha za sherehe zipo kwa hivyo hata za utekelezaji zipo msidai mtatafuta
Sawa mko sahihi jambo litekelezwe mapema kabla maafa hayaja toke
Mlikuwa hamuoni siku zote?
Viongozi wapuuzi sana kwani hawaonagi?
Nashangaa watu wanakazania Makonda Makonda utadhani viongozi hawaoni sjui kwa nini watu wanajitoa ufahamu na kuabudu mtu mmoja
@leokamil6284 ukiwa buelewi kwann anatajwa makonda wakati viongozi niwengi utakuwa huna akili the kabisa.wenye akili wanajua kwasababu wanaona makonda pekee ndie wanaemwamini anaweza kuwadaidia kupata wanachotaka
@EmmanuelMlowe-u1v Kuandika hujui hivyo ni dhahiri huna hata akili ya kujitambua.Elimu elimu elimu
@leokamil6284 Kama ishu nikuandika hata mende anaweza kiandika
@EmmanuelMlowe-u1v Mpuuzi kweli wewe
Nani kasikia mpk Samia aje😂
ninini tena hapa ? viongozi tanzania hii, nini shida?
Kama nchi hii wana inchi wake wote wangelikuwa wa masai yani tungesha piga hatua.... Mfano CAG ilionyesha jinsi Trillions zilivo potea halafu viongozi wanatupotezeshea
Ninyi ndiyo mliomba barabara ya lami. Matumizi yake ninlazima yawe sawa😂
Makonda ni mtetezi wa kuonyesha haki ya watu wanyonge au mnyoge bila kuangalia tamaduni na dini na kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati Hongera sana Mkuu Makonda.
Makonda likiwa niswala la kisheria,hawezi kulitatua.
@hamadsheni8997 nikweli lakini yeye ana paza sauti lifanyike kwa wakati na haraka na jibu lina patikana kwa wakati wananchi wake wana maliza dukuduku kwa wakati na haraka
Chezea maasai society ww…
Makonda ni mtu mzuri sana anawasikiliza wananchi wake
Makonda ni mtu mzuri sana anawasikiliza wananchi wake