Mera performing at matondoni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому +6

    Mungu atulinde Sisi na vijana wetu vitakavyo kuja huyu ameenda mpaka maka Mambo bado ni hya

    • @adriankenyan7938
      @adriankenyan7938 2 роки тому

      KWa Raha zake maisha ya mtu wayaingilia nini? Wewe mwanzo tengeza paa laki uongozeshe ukoo wako kisha uebde ukashifu wengine

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 роки тому +1

      @@adriankenyan7938 Kwa sababu ww sio muislam sasa hujui mafundisho ya uislam na Mila za kislam ndio maana so mm hata ww usiokua muislam Nina hki nije nikufunze nikuelimisha uislam nisipo kujuza na maswali mola wangu atanienda niuliza so kma ww Niko na haki ya kukujuza sembuse muislam mwenzangu?

  • @abdimohammed3564
    @abdimohammed3564 2 роки тому +4

    Matondoni yetu inarudi nyuma kwa starehe nyingi znazotuduwaza hatufikirii maisha ya kesho. Mtu ALLAH amekujaalia umenda mpaka hija unarudia mziki kama mzee Yusuf. In terms of development matondoni iko chini. Na yote yanaletwa na kulala kwa vijana wenzangu lakini iko siku InshaAllah ntaamsha Matondoni.

    • @adriankenyan7938
      @adriankenyan7938 2 роки тому

      Sasa mwataka watu waishi vipi jamanini??? Mina kazi wewe Pia uingiae UA-cam ukiangalia pi haitakaniwi. Jamani mwataka watu waishi vipi mupite mukitishia watu tu na Dini dah

    • @SwabraAbdalla-yf7sg
      @SwabraAbdalla-yf7sg 5 місяців тому

      inshaallah kheri tutaona hayo maendeleo yako

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 2 роки тому +2

    "Daah,wooooow,the lady in white is on fire" Hena pia imempamba,i shall add the one in blue too! Your smiles catches the hearts of millions.Watching from Germany.Mashalla!! Hiyo ndio pwani yetu,zawadi yetu kutoka kwa "Allah (swt) Mumtaz.

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu 2 роки тому +3

    Yasikitisha....ALLAH YUSTUR, if mmbo ni haya kweli kutakua na MWAMKO?

  • @omaraziz3889
    @omaraziz3889 3 роки тому +2

    Meraaaaassss uko juuuuuuu

  • @MohamedMohamed-ks5yc
    @MohamedMohamed-ks5yc 2 роки тому +1

    Nikiwa ndani ya tchundwa nakupata vizuri sana mera mere dost

  • @sidebkenya1918
    @sidebkenya1918 2 роки тому +2

    Safi Sana Mera twende nalo

  • @سالم-ك7ر
    @سالم-ك7ر 2 роки тому

    Hatuko uzunguni mix wanawake na wanaume kisha washikana mikono wakicheza

  • @abdallahalbaury9314
    @abdallahalbaury9314 2 роки тому

    Asantaa

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 2 роки тому

    What is going on here. Can someone explain please. Which country is this.

    • @SO-ef9he
      @SO-ef9he 2 роки тому

      Afghanistan

    • @zulekhayusaf9847
      @zulekhayusaf9847 2 роки тому

      @@SO-ef9he ghai😂😂😂😂😂

    • @jusnierlali4837
      @jusnierlali4837 2 роки тому +1

      Lamu, Kenya.
      It's part of a wedding occasion, where they are shaving and grooming the groom before he goes to get the bride.

    • @fatimaabubakar719
      @fatimaabubakar719 9 місяців тому

      Faza island in kenya. U can call it lamu

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 8 місяців тому

    Sasa huyo alikaa hapo katikati anaenyolewa ndio nani bwana harusi??🤣🤣au vipi?😂

  • @سالم-ك7ر
    @سالم-ك7ر 2 роки тому +1

    Sherehe zetu nzuri lkn hao wanaume wafanyaje katikati ya wanawake kwani hakuna waimbaji wanawake?Tuji tahidini sherehe za wanawake ziwe wanawake pekee ili MUNGU awe radhi nasi

  • @omaraziz3889
    @omaraziz3889 3 роки тому

    Weeeee tondooo kujaaa sasaaaaa

  • @habibabanga1670
    @habibabanga1670 2 роки тому +2

    Alie wako ni wako hata kama uziziie

  • @omaraziz3889
    @omaraziz3889 3 роки тому

    Mamakeeeeeeeeeeeeee

  • @ummuabdsheikh9581
    @ummuabdsheikh9581 2 роки тому +3

    Hizo ni laana wajinga watu wa bara wamechukua wadhifa zote nyinyi mumezubaa mwatokwa na ute
    Wajinga!!! Kuwapa faida nyengine kununua miraa na wao wanchukua faida wanapeleka kwa
    Munaoza

    • @nurukavumbi2477
      @nurukavumbi2477 2 роки тому +1

      Akuna haja ya kutukana. Wakatazeni kwawema ndipo utapata thawabu.

    • @ummuabdsheikh9581
      @ummuabdsheikh9581 2 роки тому

      @@nurukavumbi2477 wameoza mpaka ute wawatoka wacha waambiwe ukweli

    • @kenyamind7225
      @kenyamind7225 2 роки тому

      @@ummuabdsheikh9581 Si lamu peke yake ata kwetu mombasa pia hali moja. Lazma tuelimishane kwa njia mwafaka.

    • @ummuabdsheikh9581
      @ummuabdsheikh9581 2 роки тому +2

      @@kenyamind7225 elimisheni lakini killa mmoja amefunga mdomo
      Vipi? Au nikufurahia ingekuwa sharia ya kiislamu ipo basi moja kwa moja watu hawa wangetiwa adabu ili kuzuwia munkar usizidi kuenea kwa wengine

    • @reemaaldjs3820
      @reemaaldjs3820 2 роки тому +1

      @@ummuabdsheikh9581 ww waona hilo ni watu kutiwa adhabu,huko kwenye dini sudia mbona wauwa wafanyikazi na huku ndio dini imeanza hawaadhibiwi,sio kumuhukumu mtu anae hukumu ni mungu