ABEE SHEM... 1 S 3 : SIMULIZI MAPENZI USALITI, UPELELEZI ,MAPIGANO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 4 місяці тому +6

    Wakwanza🎉🎉🎉❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 місяці тому +6

    ❤❤ wauuw abee shemeji kitu furaha ya mtima roho inapenda sna Asante nyingi kwako musimliaji umetujali u ubarikiwesan tunaipenda ❤🎧🪑🧎💪

  • @ramadhanimchuruza7754
    @ramadhanimchuruza7754 4 місяці тому +6

    Hayahayahayahaya😊

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 4 місяці тому +5

    Hayaaaaaaaaaaaaaa...... !!!! Mambo ya abeeee shemelaaa hewaniiiiiiiiiii😉😉

  • @raayMahmid
    @raayMahmid 4 місяці тому +4

    Asante sana ❤❤

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +1

    Wawooooooookitu ndani ya sim mxkituloho inapenda watu muyeeeeeee D'Oen🎤💐💐💐💐

  • @sunaskitchen2940
    @sunaskitchen2940 4 місяці тому +5

    Hatimae leo nimekuwa wakwanza

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 4 місяці тому +3

    Wow this time D'oen umetujulia sana❤ yani nimsimu baadaya ya msimu bila kuchelewa, salute kwako🥰🥰

  • @ScolaNalle
    @ScolaNalle 4 місяці тому +3

    Asante D'Oen ❤❤

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 4 місяці тому +2

    Namuhurumia sana Ahmed. ..sitaki kuamini baada ya kumuoa Adilait tena atatendwa..maskini ubavu wa Ahmed nikama ulichemshwa supu..Neka golden umeisha wewe . Thanks director

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому +1

      Mi naona Ahmed pumuziko lake ni Aney wengine wakae kwakutulia😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassanbinkondo6234
    @hassanbinkondo6234 4 місяці тому +4

    Pamoj sana tunaanza nayo

  • @tatoo0098
    @tatoo0098 4 місяці тому +3

    Oyaaaaa nipoooooo jomon 😊😅😅

  • @sunaskitchen2940
    @sunaskitchen2940 4 місяці тому +5

    Wakwanza

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas 4 місяці тому +4

    Therapy 😁🥰🥰👌🔥

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 4 місяці тому +2

      George anataka awachukue watoto wake pamoja na mama yao sawa ss hatuna neno . Lakn swali je yusrat atatulia? Maan matatizo yoooooooooote chanzo ni yusrat lile pepo limeondoka halitorud tena au limetulia kwa muda huu tu? 😂😂😂 George asije akawa kaitupa bastola kaenda kuchukua bomu la nyukilia yale ya kule kwa rais wa Korea kaskazin Kim kiduku😁😁😆mi yangu macho👀 na ku comment tu hili move ni shidaaa

    • @SabrinaAlimas
      @SabrinaAlimas 4 місяці тому +2

      @@MYME-u5d 🤣🤣🤣🤣 m naona Ahmedy asimrudie tena yusrat make an namuonea hurumaa kama kwelii vilee daaah ,,,sema yusrat mwanzo nlimpenda sanaa sjui amekuja kuwajee jamanii aaaaaah😕😔🤣

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 4 місяці тому +1

      Mi namuogopa yusrat kam bomu la kutupa kwa mkono 😁😁akiolewa na George labda amuwekee mlinzi kila mahali anapokwenda yusrat bas mlinz awepo lkn tofaut na hapo bwana sameer akitoka huko alipo wakikutana 😄😄wanaliamsha tude ni mwendo wa mipinduko😂😂🤣🤣

    • @SabrinaAlimas
      @SabrinaAlimas 4 місяці тому +1

      @@MYME-u5d 🤣🤣 sema George ana walinzii ko yusrat ataingia cha kiumee we muachee

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 4 місяці тому +1

      @SabrinaAlimas ila mi sikaamin yusrat mjanja mjanja sana half ni kaongo😄😄😄kanaweza kutengeneza jambo ndan ya dk 0 na ukaamini😆😆😆

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 4 місяці тому +1

    Ubarikiwesana kipezi❤❤❤🎉🎉🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 місяці тому +7

    Wakwanza jamani likes zenu shem 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 4 місяці тому +1

      Yaani huyu lisa ni mtu mbaya sana jamani pesa kazikosa Sasà ngoja akanye mandembe jela 😂😂😂😂😂

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 4 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂 ujuaji mwingiii tamaa mbele maut nyuma

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 4 місяці тому

      @@MYME-u5d nikweli tamaa mbaya jamani 🤣🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому +1

      Akafiye jela na mashauzi yake yani huyu Lisa hafugiki kabisa😂😂😂😂

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 4 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣♥️♥️♥️🎉

  • @ramadhanimchuruza7754
    @ramadhanimchuruza7754 4 місяці тому +5

    Na leo je,

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 4 місяці тому +2

    Asateniii ❤❤

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 4 місяці тому +4

    Haya wa mwisho mimi nipeni like zangu 😂😂😂😂

    • @dadasalma2596
      @dadasalma2596 4 місяці тому +1

      😂😂 unakuaje wamwisho wakati bàdo mimi

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 3 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 3 місяці тому +1

    Asante sana bro D Oen na smix media burudani tamu sana

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 4 місяці тому +2

    Nmewapenda

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 4 місяці тому +2

    Ulifunga nyoka dadangu amekugeukia pole Sana Anei 😢 😢😢😢 alafu wamefumaniwa pabaya akuna maekezo jwa kweli ,inauma hioo😞😞😞

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +1

    Neka neka mamaweeeeeeeeumepewa hufadhi wanawake tunahakiri finyu ipuuuuuungoja sasa uwone kama maharage simboga uuuuuuiiiiiiii😁😁😁👁👁

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +1

    Arisa yake yakuwa azarani arico kirima amevuna bado Yusrat wangu Ehmed masikini😭😭😭😭

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 місяці тому +1

    Hamedi siku zote anaongozwaa na hasira ufungwee buree kila hasiraa...bora huyuu neka wamefumaniwaaa hafai kabisaa huyu dada..mama yusrat limekushuka shuuuu

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 місяці тому +1

    D'oen sijapentaa😔😔 jamani hapo kwenye fumanizi hujatuambia tuseme kimeumanaaa.

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 4 місяці тому +2

    Yusrt utakufa kifo kimbya sana 😢kwa matukio yot uliyo yafanya kwa Ahmed

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 4 місяці тому +1

      @@Rais__772daughters Tena sana maan amemkatili sana Ahmed hata kama Ahmed amecharuka mara nyingi

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 4 місяці тому +2

    Na ni kweli mapishi ya Ahmed ni matamu 😂😂😂😂njoooni ocy tuone mapishi ya Ahmed yavurugwa huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣