MOSHI | Kilimanjaro the best drone footage ever captured 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @KamugishaGideon-kh8zi
    @KamugishaGideon-kh8zi 3 місяці тому +4

    Mji wa Moshi naupenda sanaaa❤❤❤

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  3 місяці тому +2

      Hakika ni moja ya miji mizuri na misafi Tanzania

    • @KamugishaGideon-kh8zi
      @KamugishaGideon-kh8zi 3 місяці тому +1

      @@AziziMsuya Ni kwel ni mji msafi na panachangamka

  • @AziziMsuya
    @AziziMsuya  5 місяців тому +5

    Thankyou guys for watching , don't forget to subscribe🙏

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 4 місяці тому +4

    Moshi pazuri sana

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  4 місяці тому

      Kabisa, na ni moja ya miji misafi Afrika ya Mashariki pia.

  • @tarantaaran
    @tarantaaran 4 місяці тому +3

    Thank you Azizi, brings back a lot of beautiful memories. Left Moshi in 1966 🙏

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 2 місяці тому +1

    Wow! The Motherland

  • @ayoubshoo
    @ayoubshoo 3 місяці тому +2

    Home town

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi Місяць тому +1

    moshi n dubai ndogo❤

  • @KamugishaGideon-kh8zi
    @KamugishaGideon-kh8zi 5 місяців тому +3

    Nami mwezi wa kumi na moja nitatembelea maeneo ya moshi

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  5 місяців тому +2

      Karibu sana kwenye mji msafi Tanzania nzima. wenye watu wacheshi mno. Huku kama mawingu yakiwa vizuri utaweza kuona kilele cha mlima Kilimanajaro

    • @KamugishaGideon-kh8zi
      @KamugishaGideon-kh8zi 5 місяців тому +1

      @@AziziMsuya
      Thanx bro

  • @Curiodol
    @Curiodol 4 місяці тому

    This is nice 🥰

  • @emperorwabugiri
    @emperorwabugiri 4 місяці тому

    I spent 2 weeks in Moshi,it was a beautiful venue to travel

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  4 місяці тому

      For sure. Welcome again

  • @clintonshangali6909
    @clintonshangali6909 5 місяців тому +1

    Nice

  • @karimallymrisho1565
    @karimallymrisho1565 5 місяців тому +2

    Nice

  • @KaziDepartment
    @KaziDepartment 4 місяці тому

    Bora kuliko Mbeya

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  4 місяці тому

      Mbeya ni jiji angali moshi bado ni mji😅

  • @magazijuto7991
    @magazijuto7991 5 місяців тому +4

    huu mji mbona kama unastuck? Naona mabati yanakutu, maghorofa mengi yasioisha etc. Wachaga tufanye kitu

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  5 місяців тому +1

      kwetu sijui kwanini hatushushi magorofa.. yewomi!!

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 4 місяці тому

      kwahiyo moshi hapo kila mtu ni mchaga???

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  4 місяці тому

      @filamupictures9349 hapana WAPO mpaka wazungu wageni na makabila yote Tanzania😅

  • @Steve-z6b1q
    @Steve-z6b1q 3 місяці тому +2

    Ivi kwanini moshi hawaitangazi kuitwa jiji mbona ni mji mkubwa sana kuliko mbeya city

    • @costamafie2588
      @costamafie2588 3 місяці тому +1

      Siasa ndugu yangu.

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  3 місяці тому

      Hata sielewi. Mbeya bado sijafika. Nitakwenda nikachukue madhari pia ili tujionee wenyewe

    • @AziziMsuya
      @AziziMsuya  3 місяці тому

      😅😅😅

    • @Steve-z6b1q
      @Steve-z6b1q 3 місяці тому

      ​@@AziziMsuyaok bro nitasubili

  • @KamugishaGideon-kh8zi
    @KamugishaGideon-kh8zi 5 місяців тому +3

    Mji wa Moshi umebadilika jamn wa Tanzania sio Kam una astuck Bali ni mji mkubwa kwa wachaga OG