Mashaa Allah Durus ni nzuri tunastafid kwakweli, Jazaka Allah khayra,! Ushauri; Bila shaka tunajua unazo durus nyingi za kuwasilisha katika Mujtamaa lakin kama mfatiliaji wa duruus zako hususan hii ya Tajweed, naomba teua walau kila siku 1 katika wiki uwe unawasilisha darsa hii ili katika siku hiyo watu washughulike na muendelezo, maana mfumo huu durus zinachelewa mpaka watu tunasahau.. Namuomba Allah atujaalie mwisho mwema ninyi pamoja nasi, Na awasamehe madhambi yao ndugu zetu wote waliokufa wakiwa waislamu. Baraka Allah fiykum, na {Allah ndie mjuzi zaidi}
Shukran
Darsa maalim wangu zinachelewa sana, kama kuna udhur tujuulishe maalim
Baarakallah fiyk! Kwa kweli tunajifunza na kupata maarifa makubwa sana ktk kukisoma kitabu cha Allah kwa ufasaha kbs.
Baraka allahu fiykum
Nabarikiwa na somo lako
Jazakallahu khayr
Maa shaa Allaah Barakallaahu fiiyk
Mashaa Allah Durus ni nzuri tunastafid kwakweli, Jazaka Allah khayra,!
Ushauri; Bila shaka tunajua unazo durus nyingi za kuwasilisha katika Mujtamaa lakin kama mfatiliaji wa duruus zako hususan hii ya Tajweed, naomba teua walau kila siku 1 katika wiki uwe unawasilisha darsa hii ili katika siku hiyo watu washughulike na muendelezo, maana mfumo huu durus zinachelewa mpaka watu tunasahau..
Namuomba Allah atujaalie mwisho mwema ninyi pamoja nasi,
Na awasamehe madhambi yao ndugu zetu wote waliokufa wakiwa waislamu.
Baraka Allah fiykum, na {Allah ndie mjuzi zaidi}
In shaa Allah
Jazaka Allah khair
Shukrani
shkran mwalim Allah akulipe kher lakn dars zinachelewa san sijui tatiz nin kiupand wako
In shaa Allah tutajitahidi kutochelewa