MIRAJI | AFCON TUNAFUZU |YANGA TUMEMNYWESHA POMBE DEREVA WAKATI TUKO SAFARINI😀|HALI YA MZEE CHEMBELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 16 днів тому +4

    Pole sana mzee chembela m.mungu akupe afuen inshaallah

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 16 днів тому +3

    Mzeewetu mungu akufanyie wepesi urudi kwenyehaliyako ya kawahida.

  • @MADAHAYOHANA
    @MADAHAYOHANA 16 днів тому +5

    Mungu akusaidie upone mzee wetu !

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 16 днів тому +2

    Pole mzee chembela Allah atakupa wepesi 🙏🙏🔰🟢

  • @VenchaJr8
    @VenchaJr8 16 днів тому +1

    Chagamba we ni kiungo mchezeshaji maiki 😅zaidi ya Deborah broo una jua sana mzee baba ila maiki ikae sana kwa mwanngu miraji mara1 ndiyo naenjoy miaraji ana vitu sana🌍👌🤸🙏

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 16 днів тому

    😂😂😂....Pole sana Mzee Chembela
    Big up sana MIRAJI kwa hiki ulichokianzisha, Big up sana wana Stesheni.., Big up Sana CHAGAMBA wewe ni mtu wa Kuigwa..no line FINES mko Tofauti mno.❤❤❤

  • @DottoPastory-u3z
    @DottoPastory-u3z 16 днів тому +2

    Pole sana mzee Mungu atakuponya

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 16 днів тому

    Pole mzee chembela mimi ndugu yako chande lule nikiwa dubai mungu ukujaalia afya njema upone kwa haraka wasalimie kisugu saidi wa kigamboni mandumba tito mulo beka rastar na bila kumsahau twalibu West

  • @VenchaJr8
    @VenchaJr8 16 днів тому +1

    Leo chaganga miraji aja tema madini sana ulikua chagamba una tembeza sana white sima sio mbaya yote kwa ajili ya mzee chembela apate faraja inshaallah Allah atampa nguvu na utimama wa uzima inshaallah 🙏

  • @NaomyNathanael-i2d
    @NaomyNathanael-i2d 16 днів тому

    Chagamba naomba namba za miraji nataka awe mume wangu nime mpenda sana huyo kaka❤

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 16 днів тому +1

    Hongera taifa star

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 16 днів тому

    Mzee chembela on fire 🔥 😂😂

  • @SalumMagambo
    @SalumMagambo 16 днів тому +2

    Mzee chembela😅😅

  • @Kenmazengo
    @Kenmazengo 15 днів тому +1

    Chagamba leo umeenjoy kumuhoji milaji mabega leo yamepata ahueni chunga sana Kuna siku yatakuja kuchomoka😂😂😂

    • @FinestInline
      @FinestInline  13 днів тому

      We jamaa unaona mbali sana familia 😀😀umejuaje?

  • @MuniKano
    @MuniKano 16 днів тому +1

    Hey brot
    I'm in Las Vegas I always watch your show 😅
    But tell the camera man, unaoji mtu inabidi aaa Zum so we can see clearly....

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 16 днів тому

    POLE SANA MZEE WAKIBUYU😂😂😂😂

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 16 днів тому +1

    Wazee wa yanga wana amin uchawi kuliko mpila hahahaha

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 16 днів тому

    Nakubali

  • @JohnSichone-y7e
    @JohnSichone-y7e 16 днів тому +11

    Changamba nakushauli milaji uwe unamuhoji akiwa ameka utakuja kunisukulu baadae kuhusu mabega yako😂

    • @gb-one6435
      @gb-one6435 16 днів тому +1

      😂

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 16 днів тому

      😂😂😂.. Anamtandika vibao 🤦‍♂️.. Lakini mpaka Sasa aspopigwa vile vibao mabega yanawasha anaenda kumtafuta miraji balaa linaanza😂..
      MIRAJI NA CHAGAMBA watu wa maana kabisa 😁✊

    • @hatibhatib5760
      @hatibhatib5760 15 днів тому

      Hatar

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 16 днів тому

    Family mko wapy Sunday tuna enjoy huku

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 16 днів тому +2

    Leo nimefurahi sana kumuona mzee chembela loo nilikua mnyonge sana ila leo nimefurshi mimi nipo pemba tena simba ila napenda sana mzee wsnachangsmshs stesheni

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 16 днів тому +2

    Hapa najitahindi kutoka Goma Congo 🇨🇩🇨🇩 kukuya saidiya taifa langu la pili kupata ushindi Benjamin mukapa niko jiyani nduguzangu watazani twende sote kuisapoti timu yêtu

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 16 днів тому

    Kweri milaji sisi atuvipendi vyakwetu. Dhalau nyingi sana kwa wazawa

  • @HappyBlackberries-tq4ey
    @HappyBlackberries-tq4ey 16 днів тому

    Ndio mzee chembela niko nayeye kwa hiyo kauli yake viongozi wetu wa yanga wame potea sana mno kufukuza Gamindi kwa wakati tuliomwo yani najisikia vibaya sana.

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 16 днів тому

    Akinyukwa mechi mbili anabaki huko huko na begi lake😂

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 16 днів тому

    Natmn tar 19 kipa asikae camara wa simba ili tumuue vizur Guinea..

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 16 днів тому +1

    Pombe na soka

  • @MohamedHaji-i4k
    @MohamedHaji-i4k 16 днів тому

    Natowa wazo mechi ije ichezwe zanzibar

  • @deogratiouswipson8448
    @deogratiouswipson8448 16 днів тому

    Nmeikubal interview ya leo sana 7bu mmepiga kitu kachumbali yan mmegusa star's mmegusa yanga mmegusa simba na nkichek hapo kuna mashabiki wa timu zote mbili

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 16 днів тому

    Biashara ya kwenda Afcon Morocco imeisha jana usiku. Timu yetu ya Tz. haiwezi kuifunga Guinea tarehe 19 ng'oooo!!!. Tugange yajayo lakini kwa haya hatuwezi tena, sisi mpira unachezwa mdomoni siyo kiwanjani.

  • @husseinsuleiman7924
    @husseinsuleiman7924 16 днів тому

    Miraji na chagamb nie wa2 ndio huwa mnafany mm nafatilia mchezo huwa mnaongerea soka amna makando kando

  • @GemeloMabula
    @GemeloMabula 16 днів тому

    Namba ya simu iliopo kwenye matangazo ya niyakampun auniya chagamba

  • @NaomyNathanael-i2d
    @NaomyNathanael-i2d 16 днів тому

    Na usipo nipo naenda kuku loga

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 16 днів тому

    Dah fei toto mtu wamana sana

  • @mathiasnyangaka5358
    @mathiasnyangaka5358 16 днів тому +2

    Hongera taifa starz