Waandishi wa Habari mnavamia tu taaluma za watu kwa ajiri ya njaa..... kwanza Huyo IBRA ana hit gan mi najiulizaga sipati jibu....Huyo bado hajulikan jmn acheni unafiki. .... Fanyeni kazi kwanza umaalufu unakuja tu wenyewe
Ifike mahali waandishi wa habari msiwe mnapenda content za uchonganishi... sas unamfwata ibraah unamuuliza habari za diamond kwann interview yako isimuhusu yeye ibraah na muziki wake?
Kweli. Ibraah ft Joeboy .wawa bonge la ngoma
Chiziiii Big time Niga
Waandishi wa Habari mnavamia tu taaluma za watu kwa ajiri ya njaa..... kwanza Huyo IBRA ana hit gan mi najiulizaga sipati jibu....Huyo bado hajulikan jmn acheni unafiki. .... Fanyeni kazi kwanza umaalufu unakuja tu wenyewe
Sasa wew umemjuaje ?
Unaijua dharau wew?
Chuki zimekujaa😂
Waandish wa habar hapo ndio mnafeli Sasa diamond hapo anafata nn
Fanya ufaulu wewe
Wanakosaga vyakuongea bro 😂
Ifike mahali waandishi wa habari msiwe mnapenda content za uchonganishi... sas unamfwata ibraah unamuuliza habari za diamond kwann interview yako isimuhusu yeye ibraah na muziki wake?
Wasenge tu
Uyu mnafki inamana ajui au zarau