Machawa wachawi munaomuombea mabaya Harmonize mupo? Nyoo na hapo semeni hana pesa mjuwe imekula kwenu Harmonize mbele zaidi na nakuombea kwa mwenyezi mungu uwe salama wakati wote. Aamiin🙏😍
Hiyo ni kazi ya editor. Director yeye ni muongozaji tu wa video. Kuna camera man yeye kazi yake kushoot. Video ikiisha director anampelekea editor na kumuelekeza jinsi unavyotaka
Umeuwa sana broo umefanya video inahelewe sgory hatakama mtu hujaambiwa yenyewe inajieleza wewamotoo sana kumbe #harmonize msanii mkubwa lakini wanaosumbua nihawa ma director #kenny umeupiga mwingi sana #rahaaaaa
Mwanangu Harmonize upande wa pili watu wote taabani
kazi mzuri 😘💯🎉🎊
director kenny hii ngoma umeua sana , ngoma video imekuja na radha yake tofauti kbsa
Ladha na sio Radha point of correction next time utakuwa umejifunza
One of the best director in EA
director kenny is one in a million.....big up
number one
Kwani aliama wasafi??
@@kbrown7233 mda sana upo dunia gan wewe😜 😁😁😂😂
Mziki mpya wa Mzee Yusufu wazua gumzo.
👇......
ua-cam.com/video/z_YD7DoV6Gg/v-deo.html
@@sifatiiman eti dunia gani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ilikuwa Kali sana my Big brother 🇨🇩🇨🇩
Director on steroids..uko juu sana mwana kazi safi umeachia🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The best director Africa nzima,,,ubunifu wa kimataifa kwenye hii ngoma,,umetisha sana mzee baba
big salute to you kenny you are making good magical moves.win till the end
Tanzania nzima #Director ni mmoja tu #Kenny
Machawa wachawi munaomuombea mabaya Harmonize mupo? Nyoo na hapo semeni hana pesa mjuwe imekula kwenu Harmonize mbele zaidi na nakuombea kwa mwenyezi mungu uwe salama wakati wote. Aamiin🙏😍
Mungu atazidi kumubariki mutoto wawatu hana ubaya na mutu waache wajichanganye wenyew
Umetisha sana kenny good job jah blees u
Respect 👌👌👌👌👌 harmonize and Mabantu
Nakubali Sana Kenny unyamaaa mwingiii
Nikazi kubwa 😮😮😮😮💕💕🥰🥰
Umetisha mzeeebaba
Big up sana Mr Kenny🔥🔥
I like the chemistry
Harmonize nakukubali sana pamoja na director Kenny hii Ngoma mmeua
Kazi nzur sana kenny hongera
Kazi nzuri
harmonize nii fundi
Director wangu kazi nzur bt mi napenda upost jinsi ulivyo edit maana iyo editing nimeipenda sana.
Hiyo ni kazi ya editor. Director yeye ni muongozaji tu wa video. Kuna camera man yeye kazi yake kushoot. Video ikiisha director anampelekea editor na kumuelekeza jinsi unavyotaka
@@jumajuma6612 najua bt kuna director anaeshoot ana edit pia. Yani anafanya kazi zote tatu. Kuongoza kushut na kuedit
@@directormwarabu ndio lkn sio Kenny
@@jumajuma6612 other directors wanajua kuedit
WOW nakubari saan kabisa,♥️♥️♥️♥️
👉🙏🙏👈🏻💥forever
Jeshii
Nakukubali Sana Kenny hope one day tutafanya kazi pamoja bro kwa nakuombea Sana uendelee
Uyo mzee bonge noma sana nakubal
Nmekubali🔥🔥
Mungu akubariki ...Kazi yako njema Sana bro Kenny
Harmo is great
Hongera sana kaka
umekuja na utofauti mwingine,jambo zuri sana hili .......brother
Behind the scene ziwe ndefu bhnaa
Nomaaaa kenny
Kwa Angles nimekutiii
Super kibonge a.k.a kaka mkuuu, tumekumis Zanzibar 💪
KRNNY NAKUBALI WEWE MKALI🔝🔥🔥
Good work bro let's keep going🔥🔥😘
Nakubal sana brother...
DK baddest 🔥🥳🥳
Mwenyewe unajijua ukiwa kwenye kazi zako. Great job bro
Big Time🛑
Nakubali san kaka Director Kenny
Umeuwa sana broo umefanya video inahelewe sgory hatakama mtu hujaambiwa yenyewe inajieleza wewamotoo sana kumbe #harmonize msanii mkubwa lakini wanaosumbua nihawa ma director #kenny umeupiga mwingi sana #rahaaaaa
Uko-vizuli-jeshi-ongera-sanaaaà-kazi-mzuli
Mziki mpya wa Mzee Yusufu wazua gumzo.
👇......
ua-cam.com/video/z_YD7DoV6Gg/v-deo.html
Director Kenny 💥💥💯
Nakubariiiiiii director can
Kenny 🔥..na Jeshi
Forq sure Kenn your outstanding
Noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫡
Aminia kaka
Kaka upo vixuri nakukubali toka umeondoka kwa Mondi yaani anatoa video mbovu sana
This os craY love
🔥🔥🔥🔥
Amaizing
Mbon hujaweka pti2
Teacher konde uyo💪💪
Nakubali my brooh
Wcb macho wazi
Dragon man 🐉🔥
Diamond kapoteza vichwa vitatu pale wcf atajutia maisha hamo kenny reivani
Nimemuona mwanangu mgogo from Buguruni
Konde gang fc
Luckyvoice
Lucky😂
Kenny we ndo king wa ma drkt ote
Muda wa kuvua iy hatuna
Safi Sana keny director
Naigiza nambie shingapiiio
Top
Courage sana derecta kenny
Mungu abark kz yko broo Kenny
💛💛🧡🧡💛💛😍💚💚
Kenny tulia kwa tembo na uzidi kuongeza ubunifu kupitia uwezo wako ndg yangu..,ushauri tulia kwa harmonize
😂😂 atulie wap ? Kwel ww hupend kenny ase sas hy mjomba chumar atamfikish wap
Kazi safi
Kuniposti shingapi broza
Gdwork director
U Kenny ww ni proffsional
Good
Big up Kenny
director kenny ni level za tg omori hana mpinzani hapa bongo🔥🔥🔥
Mziki mpya wa Mzee Yusufu wazua gumzo.
👇......
ua-cam.com/video/z_YD7DoV6Gg/v-deo.html
Kenny kaza brother
Super director +255🇹🇿🇹🇿
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
iko poa
Kwelii
Bba kimbooo
Kenny 🔥🔥🔥
Nimemuona Ken
🤳🤳👍👍👍👍
Ok ok
Ayooooo keny
Nice work bro Kenny wanted to work with you bro
Salute.it’s not an easy job.
Big up bro🦾♥️🏆💯
Wale walio kuwa nasema Range ni za uongo hivi kweli hawaibiki
✊✊✊✊
mond ana nn adi kenny kasepa
Atar
#LjayKitchen #FriedGoatIntestine #utumbowakukaanga #Ljaystunner
Yawya
Kunitangazia post shingap braza