HAJI OMAR AWAJIA JUU ACT-WAZALENDO KUGOMEA UTEUZI WA RAIS MWINYI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 60

  • @salimamourhamad8607
    @salimamourhamad8607 Рік тому +5

    Ww nahuyo mteuliwa niwauwaji tu, hamfai kuwemo uongozoniy Acha kuzugawatu ww haji Omar khery rohozawatu kupoteya na ww nimuhusika

  • @suleimanbinshubei4790
    @suleimanbinshubei4790 Рік тому +3

    Baada ya kurud kwa mola wake bado anashadidia maasi duniani maskin Allah tupe hatma njema tusije tukaishia kama Hawa

  • @sultanmohammed4157
    @sultanmohammed4157 Рік тому +4

    Huyo ni hasidi na na katika wa hifadhina.

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Рік тому +4

    Hebu acha unafiki wako Muuwaji namba moja weye. Mwanga wee

  • @mohammedabdallahalazri3238
    @mohammedabdallahalazri3238 Рік тому +4

    Anafurahia huyo, anapoona kama kuna matatizo, yeye anatamani yaharibike

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +3

    Wanafiki siku zote wamejipiga mihuri nae ni mmoja wao alaysa llahu biahkamulihakimin fasayakfika humu Llah wahuwa samiul Aalim ndio jibu lao pumbavu kama hao

  • @abdulghani8197
    @abdulghani8197 Рік тому +3

    Kwaio hzo sheria na pingamizi kwanini zinahusu chama kimoja tu hem naomba majibu

  • @massoudsultan6149
    @massoudsultan6149 Рік тому +1

    👈 Laysa lahaa minduuni Llahyy Qaashifa

  • @marezbytreaty786
    @marezbytreaty786 Рік тому +2

    Yaani hawa nao wanaona hawawezi kuteuliwa kama hawajawa wanafiq yaani mpka leo wana mawazo mgando wao wapo kweny unafiq tuuuhh huku nchi mnaiweka pabayaa kwani lazima muwe wanafiq hii nchi nyie ndo mnasababisha iwe haaishi migogoro kwasababu sio wakwelii

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Рік тому +2

    Jiulize weye mbona wengine hatuulizi. Kwa maana hawana tatizo lakini Faina aloleta maafa lazima tuseme. Unauliza upuuzi

  • @swahibulfalak4378
    @swahibulfalak4378 Рік тому +2

    Njaaa huyu nae

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 Рік тому +2

    Laana za Allah ziwe juu yako muuwaji Nduli mkubwa wee

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +1

    Alaysa llahu biahkamulihakimin inatosha kwa watu kama hao

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Рік тому +1

    Tatizo sio uteuzi. Huyo alikua muuwaji mwenzio na ndie aliyepanga madhambi yote 2020. Mwinyi kasema anafukia makaburi lakini anamrejesha mchima makaburi. Hafai Faina wala weye. Tokea lini ccm wafafata sheria?

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 Рік тому

    Wewe ni kelbu muuaji kama Faina ila tuna muonba Allah augeuze USO wake kwenye sikio.lako kama alivyo mshenzi mwenzako sefu Ali iddi halafu akupe maisha marefu kama salimi mpaka ule mavi Yako mwenye we muuwaji mkubwa wewe funga Domo lako urudi kwa mola wako kwa uchafu ulioufanya Zanzibar

  • @juma2979
    @juma2979 Рік тому

    Dr mwinyi huyu sio mtu mzuri ucmpe cheo chochote atakuharibia

  • @suleimanbinshubei4790
    @suleimanbinshubei4790 Рік тому +1

    Jamaa anatafuta kiki apate nafac tena

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 Рік тому

    Bwana Haji rais huyuhyu ndie anaetaka kuleta wawekezaji Tumbatu serikali nihihii lkn ulipinga hadharani sasa nihalali kumchagua Faina lkn niharamu kupeleka wazungu Tumbatu?nakushauri rudi kwa Mungu iangalie akhera yako ushakula good time ushafanya mengi tulia siasa haikufai tena .

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Рік тому

    HUYU JAMAA NI MSHENZI MKUBWA a´iku,a q´io gozq vi´osi vya SMZ kutesa WAZANZIBAR hafai ku,a karibu na serikali yoyote.

  • @ufugajitv8139
    @ufugajitv8139 Рік тому

    Wapemba bwana j

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 Рік тому +1

    Haji Omar kher we mpuuz tuu hujielew we nimwehu

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 Рік тому

    Allah ndiye atakaye kuhukumu wewe roho nyingi bumezitoa

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 Рік тому +1

    Sasa huyo ndio alie tuua unadhania atasemaje tafuteni watu wakuwahoji sio hao chenga za ngano

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому +1

    Waovu kilasiku wanateteana

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 Рік тому

    Au utapewa nafasi wewe pumba tu unasema nini mbele ya wazanzibar muuwaji fitna mzabizabina na hasidi mkubwa kama weye siwakujitokeza ukazungumza utumbo kama huo

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Рік тому

    Huko jimboni kwake kwa sababu tu alikua na cheo aliwaengua wote akajibakiza peke yake,,mimi ningelishangaa sana kama angetamka kinyume na hayo anayotamka ,,hawa watabaki waovu tu kwa nchii hadi kiama,,

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому

    Ww kumamako usituone ss ni wajina tutakuja kuua wote mpuuz ww ww muuaji mkubwa mshenz mkubwa ww

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 Рік тому

    Pumzi tu izo ndiozinazo kuhangaisheni ipo siku allah atazizuia kama ndio mnaxo ringia

  • @themerseyside1467
    @themerseyside1467 Рік тому +1

    Mimi nasikitishwa na ndugu nwandishi wa habari.
    Anashindwa hata kuuliza maswali kama... Kwanini Faina aliengua wagombea ambao hawana kasoro?

  • @frontdeskantoniogardenhote1295

    mwizi hakubali mwizi mwenzake kuitwa mwizi

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Рік тому +1

    Hahaha visiwa vinauzwa took took tu much

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 Рік тому +1

    Anatetea tumbo na dhulma

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 Рік тому

    Katu sikio la kufa halitobolewi haka kajamaa kanajisahaulisha ila katawajibishwa siku yake yaja

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 Рік тому

    Huyu ndo adui namba 1

    • @raiza.6920
      @raiza.6920 Рік тому

      Wewe amekufanyanini hata unaemuita adui

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 Рік тому

    Mm najiuliza, kwanini huyo Mkurugenzi wa Uchaguzi anatetewa sana na ccm. JIULIZE!!!!

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

    Ni nani asiejua huyu muuaji aliewauwa Wazanzibari kupitia vikosi vya SMZ!

  • @vanessapita8787
    @vanessapita8787 Рік тому

    Utapewa nafasi tena uwauwe waliobakia umefurahi

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Рік тому

    Anatafuta KK kwa Mwinyi.

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 Рік тому

    Hawa CCM wameishiwa Sasa ni Udiktekta tuu wakae madarakani kwa Nguvu za jeshi na tume ya uchafuzi.

    • @w4058
      @w4058 Рік тому

      Hawana Sera wala ilani ile nyimbo sawa sawa sie tushikamane na kamba ya Allah

    • @raiza.6920
      @raiza.6920 Рік тому

      Acheni kucomment ujingaa huyo munazani hayo madaraka ya baba zenu munavotaka mfanyiwe

  • @jumasaid3228
    @jumasaid3228 Рік тому

    Asante Sana kwa kuwelewesha watu

  • @mohammedomar2788
    @mohammedomar2788 Рік тому

    Eti haoni tatizo la faini kweli kuwa na macho sio kuona na kuwa na masikio sio kusika,Haji Omar huoni Wala husikii ingawa una macho na masikio inashangaza,wewe kweli huoni tatizo la uchaguzi uliopita ambao Faina alikuwa mkurugenzi ukishapigwa muhuri kweli huwezi kutubu

  • @abdulghani8197
    @abdulghani8197 Рік тому

    Kuanzia buyu had nyamanzi maeneo yot kachukuwa yeye sasa cjw unazan hatumfaham kiufup ndio hao hao

  • @abdulghani8197
    @abdulghani8197 Рік тому

    Sasa huyo kahojiwa au katarisha tu uropokaji wake mbona cfaham halaf hyo lazma aongee hvo anataka tena uteuzi amalize mali za serikali

  • @shaameshaame7093
    @shaameshaame7093 Рік тому

    Ndiyo kwa wewe hana kasoro Faina kutokana na maslahi yako ,ACT wanamkataa kwasababu sio muadilifu na pia kasababisha mauwaji kwa kuzarau haki.na Rais wetu kesha sema watu wasahau yaliyopita,mbona anamrudisha huyu huyu,je ndio watu watasahau yaliyopita?

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 Рік тому

    MUNAONGEA UPUUZI MTUPU NA MUNAFANYA MAMBO YAKIPUUZI MTUPU ROHO CHAFU

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 Рік тому

    Huyu anajipendekeza ili apatiwe tena nafasi kubwa kama aliyo kua nayo

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 Рік тому

    Ccm mwenzio huyo na anakusaidieni kuiba majimbo na kutuibia

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 Рік тому

    Na wewe unasema nini . Wewe sio katika kundi la mauaji.

  • @mwigaadam1179
    @mwigaadam1179 Рік тому

    Nyamaza ww mchafu wa wa nyoyo na mstendo

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 Рік тому +1

    ALLAAH akupe mwisho kama wa SHARUUN LAANATU LLAAH

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Рік тому

    kwani uyo raisi ni mungu.ata useme.haifai kujadiliwa? haya ngoja tuone act hawamtaki washasema sasa tuone nani.zaidi

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому

    Utumbo mtupu ... akakojoe akalale hana mpya ... njaa tu zinawataabisha

  • @abdulghani8197
    @abdulghani8197 Рік тому

    Kuanzia buyu had nyamanzi maeneo yot kachukuwa yeye sasa cjw unazan hatumfaham kiufup ndio hao hao