🛑FRIJI BOVU AWAWASHIA YANGA MOTO, WAJIFUNZE KWA SIMBA NAMNA YA KUCHEZA MECHI ZA CAF, GAMOND EFFECTS
Вставка
- Опубліковано 30 січ 2025
- FRIJI BOVU AWAWASHIA YANGA MOTO, WAJIFUNZE KWA SIMBA NAMNA YA KUCHEZA MECHI ZA CAF, GAMOND EFFECTS #azamfc #football #footballclub #globaltvonline #live #millardayo #simbasc #simba #wasafi #yanga
Yanga ni watoto Sana kwa Simba! Chukua hiyo itakusaidia mbele ya Safari. Siyo Maneno yangu ni Maneno ya mtaalamu Friji bovu, napenda kumuita mzee wa JVC 🎉🎉🎉
Upo sahihi brother wachambuzi wengi wa nchi hii niwamchongo
Devdi Pasco uko vizuri sana mm unanifurahishaga sana uchambuzi wako chukua hiyo itakusaidia sana mbele ya safari
Nakukubal sana kaka
Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga hawana timu mzuri ispokuwa wachambuzi wa mchongo na vyombo habari ndio wanawapa sifa ambayo hawastahili
Duuuuuh aiseee, mungu ni mwema yanga ingeshinda tusinge kunywa maji hapa tz
Kwakweli 😅😅😅
Kwakwel
Ungekuwa tabu mijini
@@SetMohamed-i9y jana mji kimya
We siulisema yang ndio kila kitu na Simba kapotea siniwew
DAIMA MBELE MWIKO NYUMA💚💚💚💚
Kweli kakak simba ndo baba laooo
UBAYA UBWELA😂😂🎉🎉🎉
Kapoteza kwao gemu moja dhidi ya Alhilali
Kocha amna na wachezaji wazee
BRO UPUGUZAGE KAMDOMO KUONGEREA MAMBO AMBAYO HAYA JATOKEA
Yanga bhana pamoja na kelele zooote hata kipoint kimoja cha caf hakuna!!!
Hahahahaha leo raha sana utopolo hoi sana Simba ndo babalao
Wewe mshamba tu umesema YANGA nafasi yatano haya sasa
Frigi bovu Leo umepasua pasua mawe🎉🎉🎉
We ni mjinga sn,Huna unalolijua zaidi ya ujinga
Ukweli mchungu huu
We mjinga sana.. before game yanga uliisia sana.. after game unajibadilisha kama kinyonga.
Acha ujinga.. fyuuuu
Walianza pamoja frij bovu we we usiwe mwaongo bhna
Tanzania haina wa chambuzi ni friji bovu2 ndio nakubali
Friji bovu ww mnafiki uriwasifia kuwa wao Bora wajifunze nn acha upimbi shoga ww
Wamemchezesha Boka akiwa amefiwa na Baba yake. Dhambi
❤
Gusa achia twende tukanywe supu
Hahahhahahahahahahaaa!😂 Eti mwaka robo ya kwapi hayo
Ng’ombe waliondaa kwa supu wachinje tu wapoze machungu, daaah.
Nyuma mwiko wanaroho mbaya sana hawathamini utu wa mtu! Boka kafiwa na baba yake lakini chakushangaza kachezeshwa duuh! Hii timu niyasiasa au kikundi cha wahuni kuanzia uongozi mpaka wale machawa wao!
Utopolo wamezoea mtelezoooo nyuma mwiko mwaka boro😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Yaan mnafiki akiwa analenga kupindua kauli yaan anapata taabu
Hiyo ni laana ya kamdomo
Wew jamaa ufai
We ni mnafiki 😂
Friji bovu hpo umezingua kwamba alhilali kaona mayokeo ya alger na yanga ndio nawao wakacheza Tim zote zimecheza mda mmoja kaka
Hapo ni kweli
Acha upuuzi walicheza mda mmoja
friji waambie ng'ombe wapeleke kwa mganga wao😂
Yanga hajifunzi kwa mtu yeyote hivyo wataendelea kusota.
Kiburi kinawaponza
Nanyinyi media munapenda kurusha ujinga
Wambie mbwa hao
Yanga mbwa hao😅😅😅😅😅
Friji takatakatu
Hile ng’ombe ambayo walikuwa nahanda kwajili ya supu waambieni waenda kumlizia kwa mganga ambaho walikuwa wamemchukuwa
Ulisema lazima yanga anafuzu je
Kweli wew ni firiji bovu yaani lililo oza
🤣
Usitofautishe ligi ya mbuzi na na mabigwa
Unateseka ukiwa wapi kima wewe iyo mabingwa uko wapi wewe kwani
So alikamwe voo ni alikomwe😂😂😂
😂😂😂 nimekupenda bure mzanzibariano wewe😂
😅😅😅
yanga kujifunza ndio hawataki utoporoooooo kwisha
Kwel wewe friji bovu mechi zimechezwa mda mmoja
Wana simba tuna wasubili tumetoka sawa tunawasubili ligi kuu mbwa nyie
Hatuna cha kujifunza kwa simba. Maana hata wao walipoingia robo fainali mara nne hawakufanya hivyo mfululizo. Waliwahi kutolewa raundi ya kwanza katikati hapo. Simba hawawezi kuchukua kombe. maana yanga tena hawana tena mashindano ya nje. Wanawasubiri tu Simba wawapige kama ngoma
Jishkilie ww mara 6 mfululizo ukiacha moja tu yasaba
😂😂😂😂😂😂😂😂 utopolo bhna mnajuaga kujitekenya na mnacheka wenyewe 🐸🐸🐸🐸🐸🐸
Kama hutaki basi😮😮😮😮
We pimbi tulia simba hii cyo kama uwazavyo akili mgando wew, simba ni moto wa kuotea mbali
Huna akili wewe, Simba hawakuingia mfululizo fyuuuuuu
Sasa gamondi wa nini 😂😂😂😂 yaani yanaongea tu kwani yanga ni lazima ashinde??? Hata mc Alger waliutaka mchezo stupid
😮😮😮