Ndio maana wapinzani wanasema hii nchi inaitaji ukombozi wakwelii kutoka Kwa wakoloni wausi makabulu weusi ccm makonda Asante Kwa kazi yako njema hata chadema wasingeweza hio kazi nzito
Maana Makonda sio CCM umeongea vizuri lakini ukajisahau kuwa unaemsifu ni hao hao wanaanzisha tatizo wanatuma mtu wao kuchezea akili za watu kuwa anatatua.Fikiria tena kwa makini
Hapo Ni uenezi tu Uraisi utatisha mdogo wangu, Mungu akupa watu, usimuache Mungu nyenyekea maana ukengengeufu unakufuata mpaka kitandani hivyo kitabu Cha torati kisitoke kinywani mwako uamkapo na ulalapo,utokapo na uingiapo kila iitwapo leo.
Pokea salamu na gwaride hiyo ni haki yako na heshima unastahili, watanzania wanakiona ni mkombozi wao na chama cha Mapinduzi wanakiona chama chao kama kimekuwa kipya
Kweli kama makonda upo Iringa mtoe afisa Elimu wilaya nitajua wewe kamanda wa Bwana ningepewa nafasi niongee huyo dada angejiona hana maana ya kuwepo hapo hana msaada
@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Wanatoa maoni kwa mmoja wa gurupu lililowatengenezea hizo shida?wewe kwa akili yako umeona hizo ndio shida za mtanzania wa hali ya chini?.au viongozi wanafanya shida ya mtu wa hali ya chini mradi wa kubaki madarakani .fikiria kwa akili sio kwa matukio ya michezo ya kujipatia ulaji
@@emmanuelmlowe-ew7gx Na Elimu duni upeo hakuna, wajinga wengi kuliko waerevu.Hawajui hii ni kesi ya ngedere kumpelekea nyani .Hivi tujiulize viongozi walioteuliwa wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu wapo wapi?.Je baada ya mashtaka yote ya wananchi kwa Makonda hao walishtakiwa wamefanywa nini?au viongozi husika wa hiyo Mikoa wamefanywa nini?je hao Polisi walotajwa wamefanywa nini ?wote bado wapo kwenye nyadhfa zao je kutakuwa na mabadiliko kweli baada ya ziara hizi na waliotajwa wataendelea kuwepo?.Ukweli ni kwamba hakuna kwa hivyo hii ni kudanganywa wananchi ili waichague tena CCM ni ulaghai tu Watanzania hatujitambui kabisa
@@emmanuelmlowe-ew7gx Mimi sio mwanachama wa chama chochote, lakini kiuhalisia CCM wapo kwa maslahi yao binafsi na familia zao kwani miaka 62 ya uhuru pamoja na rasilimali zote tulizonazo bado maisha yanazidi kuporomoka kwa hivyo utawasifia kwa ubora upi kero nchi nzima. Mtanzania mwenye upeo hawezi kustahili kuona viongozi wanatumbua maisha na wapambe wanapewa viposho vya kuwashabikia mapapa .
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Pongezi sana
Mungu awatangulie na akusimamie MAKONDA❤ maana nchii imefika Papaya samia alijisahau sanaa
Ndio maana wapinzani wanasema hii nchi inaitaji ukombozi wakwelii kutoka Kwa wakoloni wausi makabulu weusi ccm makonda Asante Kwa kazi yako njema hata chadema wasingeweza hio kazi nzito
Maana Makonda sio CCM umeongea vizuri lakini ukajisahau kuwa unaemsifu ni hao hao wanaanzisha tatizo wanatuma mtu wao kuchezea akili za watu kuwa anatatua.Fikiria tena kwa makini
Hapo Ni uenezi tu Uraisi utatisha mdogo wangu, Mungu akupa watu, usimuache Mungu nyenyekea maana ukengengeufu unakufuata mpaka kitandani hivyo kitabu Cha torati kisitoke kinywani mwako uamkapo na ulalapo,utokapo na uingiapo kila iitwapo leo.
Safi sana makamanda
Hao jamaa wa gwaride kama hawajaiva 😂😂
Safi makonda
Huyo anaye ongoza gwalior ilifaa awe jaiva
Tupo pamoja makonda tengeneza nchi Mungu akupe Maisha marefu
Makonda uraisiiiiiiii ni asubh tuuuuuuuuu
Hawa wenyeviti wa ccm wa mikoa watafutieni kofia mpya yeeeee jamani
Pokea salamu na gwaride hiyo ni haki yako na heshima unastahili, watanzania wanakiona ni mkombozi wao na chama cha Mapinduzi wanakiona chama chao kama kimekuwa kipya
Kabisaa
Ndo kusema
Weifa Za Tz Pasua Kichwa Tunashindwa Kuona Habari Za Viongozi Wetu Vizuri Kwanini Intaneti Mbovu Ulaya Kwetu Soko
Umeiua chadema live
Kama vile ccm inaaga vile kwa kumtumia makonda
Aibu imewataka ata mikutano saivi mnaona aibu kufanya
Chadema chali makonda juu
Kimebaki nini sasa hapo..mpeni kura.
Kweli kama makonda upo Iringa mtoe afisa Elimu wilaya nitajua wewe kamanda wa Bwana ningepewa nafasi niongee huyo dada angejiona hana maana ya kuwepo hapo hana msaada
Solomon Jackson ccm inaaga inaenda wapi au unamhemuko wa wivu? Huoni kama anaviweka vyama vya upinzani katika wakati mgumu
Solomon nichadema wao waende Kuandamana UN makonda anapiga kazi
Atakayepigiwa kura ya uraisi ni makonda ama
Jishii la chama mhhh 🤔
He can be a future president!!
Absolute
Akili za watanzania ni mbaya kuliko za kichaa
@@leokamil6284wewe ndio kichaa pumbavu wewe, yani hutaki watu watoe maoni yao, wafanane na wewe pumbavu wewe
@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Wanatoa maoni kwa mmoja wa gurupu lililowatengenezea hizo shida?wewe kwa akili yako umeona hizo ndio shida za mtanzania wa hali ya chini?.au viongozi wanafanya shida ya mtu wa hali ya chini mradi wa kubaki madarakani .fikiria kwa akili sio kwa matukio ya michezo ya kujipatia ulaji
@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Mimi mpumbavu wewe ni sifuri kichwani kwako mbumbumbu mzungu wa reli huna upeo huna hekima siwezi kukujibu zaidi 🚮
LISU AKIONA HV NUSU APASUKE
Ata njaa inawauma
Njombe mmetutenga mbona hamjapita 😂
Bado jiandaa tu
🎉
Nashida na makonda nipo moro
Mananga hao
Sijui nani katuroga watanzania?
Ukimwangalia makonda unaaibika wananchi tz wamemkubali
@@emmanuelmlowe-ew7gx Wengi hawajitambui wala hawajui wanakotoka wala wanapokwenda upeo ni hafifu vichwani mwetu
@@emmanuelmlowe-ew7gx Na Elimu duni upeo hakuna, wajinga wengi kuliko waerevu.Hawajui hii ni kesi ya ngedere kumpelekea nyani .Hivi tujiulize viongozi walioteuliwa wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu wapo wapi?.Je baada ya mashtaka yote ya wananchi kwa Makonda hao walishtakiwa wamefanywa nini?au viongozi husika wa hiyo Mikoa wamefanywa nini?je hao Polisi walotajwa wamefanywa nini ?wote bado wapo kwenye nyadhfa zao je kutakuwa na mabadiliko kweli baada ya ziara hizi na waliotajwa wataendelea kuwepo?.Ukweli ni kwamba hakuna kwa hivyo hii ni kudanganywa wananchi ili waichague tena CCM ni ulaghai tu
Watanzania hatujitambui kabisa
@@leokamil6284 Inamaana nisawa nawale walioenda kuandamana UN au
@@emmanuelmlowe-ew7gx Mimi sio mwanachama wa chama chochote, lakini kiuhalisia CCM wapo kwa maslahi yao binafsi na familia zao kwani miaka 62 ya uhuru pamoja na rasilimali zote tulizonazo bado maisha yanazidi kuporomoka kwa hivyo utawasifia kwa ubora upi kero nchi nzima. Mtanzania mwenye upeo hawezi kustahili kuona viongozi wanatumbua maisha na wapambe wanapewa viposho vya kuwashabikia mapapa .
Poor timing on salute. Scarf shu'd be under the color not on top. Take these group back to the training and learn how to do it. Not impressed
Haijalishi sana imetakiwa wapi hata ingeweza begani nia na maana ni kitambaa cha heshima. Makonda gombea urais ushinde asubuhi
Makonda piga kazi chadema wakaandamane UN
Kimebaki nini sasa hapo..mpeni kura.