Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimempenda sana kwenye last card mungu ampe misha mazuri
Nora nimempenda sana kwenhe last card uko powa
Naomba niombe Jimbo Nora kwaajili ya kaka yangu
Nampenda sana Norah anajua sana ❤❤😂
Norah ni mpolee sana
Norah nakupenda bure mdogo wangu mungu akusaidie kuinua kipaji chako zaidi,uko vzr kwakweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nora yuko vizuri sana ana kipaji kizuri sana nimempenda bure xxx nakusubiria kwa hamu uniokolee kp wangu.
Upo vzr sana nola mungu akupe nafas zaid na kiogoz wako kp na zebu mungu azid kuwatuza
Jamani nora kama jimbo lipo wazi na mimi pia lipo wazi nakutaka jamani ❤❤❤❤❤❤
❤❤😮😅
Weweeeeeee watu wa Simba mauwa kwa norah❤❤❤❤
Last card ndio umecheza karata zako vilivyo
Mungu akujalie Nora uko vizuri sana dada ❤❤❤❤
Wewe niisha kuona kwa wamangushi
Norah nakupenda Sana bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nora umesema kuongo mbona nilikuona Kwa wamanguzi🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ila uko vizuri Sana Mungu akufikishe mbali
Umenifurahisha Nora kumbe ni mnyama ❤❤❤❤❤❤
Norah yaniwewe huna baya nakupenda sana mama by nao
Love from Chadia official to 🇧🇮 norah nakupenda Sana dadangu
Norah Mungu akubariki na akujalie kla la khery In Sha Allah uzdi kuwa mzury na kipaji chako kiwe juu
Agent xxx ni hatari sana ❤❤ much from Mtwara
Norah aisee nimekukubali san kweny series ya last card hakika umeucheza kama zidane Nakupenda san dar norah
❤❤❤
Nipewe connection......tafadhali.....
Nakupenda sana nohan
❤❤❤mependa apo kwenye chama dada norah yaani mnyamaaaaaaa
Aliwahi kushiriki kabla movie ya wamangushi
Norah ikiwa unapenda Simba ni mchezaji gani wa Simba anayetoka nchini kwetu Burundi. Halaf last card XXX Agent umenifurahisha Sana
Hongera sana Norah nimekupenda
Pongezi Norah...
Waooooo mmi mwenyewe napeinda sana simba
Tupo pamoja🎉🎉🎉
Mbna last card mnatoa vipande Moja Moja jamn mnatutesa et
Norah to the last card u made my day
Tunakupenda ❤❤ sana Nora wetu xxxxxxxxx
Ubarikiwe Sana Nora huna baya kipenzi
Agent xxx😅😅 last card next part mtuleteye jaman
Oya watazamaji huyu sio mtangazaji Hana professional
Kwanini somtanga zaji
Bado sana hana kiwango
Anhaa kumbe
Kwa kweli ata mimi nimeona ilo
Mbona nilishawai kukuona wanangushi ,,bint nyoka mbona unatu danganya ssa❤😂😂
Binti nyokq hakuonekana ni sauti 2 iliskika
Norah nakupenda
Norah mungu akuzidishie mashallah
Naona kma arishaga wait kuigiza
Cutest over thinking 😻😻 much appreciated U kipnz
Hahahahaaaaa. Yaani mafollower wapo makini
Norah mdogo angu unajua sana tena Sena nomba usifate mikumbo ya ajabu utapotea m nakushauli usivae vibanda wazi kama icho kinachoonyesha tumbo nnje we vaa nguo zenye maadili ya kitanzania utafika mbali mdogo angu
Norah uko sawa❤❤❤❤
Alicheza vizuri sana.
Mungu aongeze kipaji chako zaidi norah
Ameicheza vizuri kwa last card❤
mm nimependa last card mama
Dada nura umrembo mashaa Allah 🎉🎉🎉 jicho la udha lisikuone
Safi Simba tupo pamoja ❤❤❤❤❤
Hongera sana Norah ❤❤❤
Hki nakupenda sn Norah kwa kzi yko nzr hk ulinifuraisha hpo kwa kiasi mbya uyu
Napenda sana uyo dada kuliko vi2 vyote love you nolah❤❤
Dada nora upo vizur sana mimi nichabikiyako kutoka Moçambique
Ametufulahisha saaaaana katika sana last cars tumemupenda sana
barikiwa sana norah
Nakupenda sana noral
by the way huyo mtangazaji anatukosea sana
Nakupenda pia Noroh nakuombea
Kweli sha Norah
Ñorah kwenya last card aliweza nampenda sana naomba hiyo nafac ñorah
Very intelligent girl,keep on the good work
Much love norah❤
Hongera Sawa norah ❤❤❤❤
Nakupenda sana nora napenda unavyo igiza
Mungu akusaidie unajua mpaka unakela
Nora mungu akubarki
hiyo move norah umefanya vizuri pia na wahusika wengine,,naendelea kuwafuatilia kutoka Kenya
Hongelen sana na move yenu
Una jitahid sana Nora mwaka wa pili sasa lakn una fanya vzur sana
😮ongera sana Nora nimependa Kaz yak❤
Kazi nzuri norah
Agent x x x weweee
Big up for you norah
Big❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda sana nasubili move tam kama last card ❤
Norah nakupeda sana🇺🇬
Nakuona😅
Mbona uyu dada anaye oji mbona kama vile anamfanana kp😅 au macho yang
Pia macho yangu yanaona hvoo
Dada yake
Umeshaona media ni ya kp $ zebuu 😂
Kwel wamefanan
Unanifrahisha sana Nora last card
Naro nakupenda sana jinsi ulivyo cheza karata zako kwa last card
Norah anajuwa sana❤
Mbona tulimuona kwa wamangushi jmn NORAH
Hakuepo
Alikuepo kwa wamangushi anglia vizuri
Wala hakuwepo
Norah Kaz nzur nakupenda sana❤️❤️🥰
Wamangushi mbna ulikuwepo na ulitumia jina la ZindunaUkakaribisha Zebuu mjini na ukamsizilisha mpaka asubuhi
Nadhan amesahau cz ninamkumbuka kama zinduna
Huyu siye zinduna wa kwenye wamangushi kama umeangalia last cad yamwisho yule dada aliyempa zebu bahasha ya dawa ndiye zinduna..
Hakika kweny last card final umependwaa❤❤❤. Songa mbele Norah wangu chambu cha Suraji
Niko hapa Nora, Kenya miaka 22 nakuitaji, kimausiano❤
Norah nilikuona kwa mangushi likua wajiita zenduna kule kwa mdada ambako zebuu alikuwa amenda kumtafuta kp hayo ni yapi kwakwely uko juu norah
Nora anakipaji kwa kweli ❤❤
Nakupenda sana❤❤
Ulianza na wamangushi bhana
Wangwani kp ❤❤❤
Uko vzri noraaa. Penda ee Binti mwenye sura ya upole
Unyama mwingi norah ❤❤❤❤
Uko vizuri nora
Norah wewe watching you live from Kenya naeza tuma makaratasi yangu kwako
Norah ❤❤❤❤❤
Poa xana Norah nawakubali sana
Weeee nolaaa ya kwazaaa ilikua binti nyokaaaa
Ongera norha
Norah nakupenda saaana
Vizur sana nora
Nakupenda noraaa nimezidi kupenda baada ya kujua ur a simba ❤❤❤❤
Nimempenda sana kwenye last card mungu ampe misha mazuri
Nora nimempenda sana kwenhe last card uko powa
Naomba niombe Jimbo Nora kwaajili ya kaka yangu
Nampenda sana Norah anajua sana ❤❤😂
Norah ni mpolee sana
Norah nakupenda bure mdogo wangu mungu akusaidie kuinua kipaji chako zaidi,uko vzr kwakweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nora yuko vizuri sana ana kipaji kizuri sana nimempenda bure xxx nakusubiria kwa hamu uniokolee kp wangu.
Upo vzr sana nola mungu akupe nafas zaid na kiogoz wako kp na zebu mungu azid kuwatuza
Jamani nora kama jimbo lipo wazi na mimi pia lipo wazi nakutaka jamani ❤❤❤❤❤❤
❤❤😮😅
Weweeeeeee watu wa Simba mauwa kwa norah❤❤❤❤
Last card ndio umecheza karata zako vilivyo
Mungu akujalie Nora uko vizuri sana dada ❤❤❤❤
Wewe niisha kuona kwa wamangushi
Norah nakupenda Sana bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nora umesema kuongo mbona nilikuona Kwa wamanguzi🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ila uko vizuri Sana Mungu akufikishe mbali
Umenifurahisha Nora kumbe ni mnyama ❤❤❤❤❤❤
Norah yaniwewe huna baya nakupenda sana mama by nao
Love from Chadia official to 🇧🇮 norah nakupenda Sana dadangu
Norah Mungu akubariki na akujalie kla la khery In Sha Allah uzdi kuwa mzury na kipaji chako kiwe juu
Agent xxx ni hatari sana ❤❤ much from Mtwara
Norah aisee nimekukubali san kweny series ya last card hakika umeucheza kama zidane
Nakupenda san dar norah
❤❤❤
Nipewe connection......tafadhali.....
Nakupenda sana nohan
❤❤❤mependa apo kwenye chama dada norah yaani mnyamaaaaaaa
Aliwahi kushiriki kabla movie ya wamangushi
Norah ikiwa unapenda Simba ni mchezaji gani wa Simba anayetoka nchini kwetu Burundi. Halaf last card XXX Agent umenifurahisha Sana
Hongera sana Norah nimekupenda
Pongezi Norah...
Waooooo mmi mwenyewe napeinda sana simba
Tupo pamoja🎉🎉🎉
Mbna last card mnatoa vipande Moja Moja jamn mnatutesa et
Norah to the last card u made my day
Tunakupenda ❤❤ sana Nora wetu xxxxxxxxx
Ubarikiwe Sana Nora huna baya kipenzi
Agent xxx😅😅 last card next part mtuleteye jaman
Oya watazamaji huyu sio mtangazaji Hana professional
Kwanini somtanga zaji
Bado sana hana kiwango
Anhaa kumbe
Kwa kweli ata mimi nimeona ilo
Mbona nilishawai kukuona wanangushi ,,bint nyoka mbona unatu danganya ssa❤😂😂
Binti nyokq hakuonekana ni sauti 2 iliskika
Norah nakupenda
Norah mungu akuzidishie mashallah
Naona kma arishaga wait kuigiza
Cutest over thinking 😻😻 much appreciated U kipnz
Hahahahaaaaa. Yaani mafollower wapo makini
Norah mdogo angu unajua sana tena Sena nomba usifate mikumbo ya ajabu utapotea m nakushauli usivae vibanda wazi kama icho kinachoonyesha tumbo nnje we vaa nguo zenye maadili ya kitanzania utafika mbali mdogo angu
Norah uko sawa❤❤❤❤
Alicheza vizuri sana.
Mungu aongeze kipaji chako zaidi norah
Ameicheza vizuri kwa last card❤
mm nimependa last card mama
Dada nura umrembo mashaa Allah 🎉🎉🎉 jicho la udha lisikuone
Safi Simba tupo pamoja ❤❤❤❤❤
Hongera sana Norah ❤❤❤
Hki nakupenda sn Norah kwa kzi yko nzr hk ulinifuraisha hpo kwa kiasi mbya uyu
Napenda sana uyo dada kuliko vi2 vyote love you nolah❤❤
Dada nora upo vizur sana mimi nichabikiyako kutoka Moçambique
Ametufulahisha saaaaana katika sana last cars tumemupenda sana
barikiwa sana norah
Nakupenda sana noral
by the way huyo mtangazaji anatukosea sana
Nakupenda pia Noroh nakuombea
Kweli sha Norah
Ñorah kwenya last card aliweza nampenda sana naomba hiyo nafac ñorah
Very intelligent girl,keep on the good work
Much love norah❤
Hongera Sawa norah ❤❤❤❤
Nakupenda sana nora napenda unavyo igiza
Mungu akusaidie unajua mpaka unakela
Nora mungu akubarki
hiyo move norah umefanya vizuri pia na wahusika wengine,,naendelea kuwafuatilia kutoka Kenya
Hongelen sana na move yenu
Una jitahid sana Nora mwaka wa pili sasa lakn una fanya vzur sana
😮ongera sana Nora nimependa Kaz yak❤
Kazi nzuri norah
Agent x x x weweee
Big up for you norah
Big❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda sana nasubili move tam kama last card ❤
Norah nakupeda sana🇺🇬
Nakuona😅
Mbona uyu dada anaye oji mbona kama vile anamfanana kp😅 au macho yang
Pia macho yangu yanaona hvoo
Dada yake
Umeshaona media ni ya kp $ zebuu 😂
Kwel wamefanan
Unanifrahisha sana Nora last card
Naro nakupenda sana jinsi ulivyo cheza karata zako kwa last card
Norah anajuwa sana❤
Mbona tulimuona kwa wamangushi jmn NORAH
Hakuepo
Alikuepo kwa wamangushi anglia vizuri
Wala hakuwepo
Norah Kaz nzur nakupenda sana❤️❤️🥰
Wamangushi mbna ulikuwepo na ulitumia jina la Zinduna
Ukakaribisha Zebuu mjini na ukamsizilisha mpaka asubuhi