Aah diara fundi sana wa kupokea tobo yaani kama bikizee tu hata hivyo namshukuru sana Mungu kwa kukubali ombi langu maana ile ngebe ya kale kazezeta imekatwa sawasawa.sasa ombi langu kwa Mungu wetu ni baraka tele kesho ili wenye uwanja wa mkapa kufuta ile najisi waloitia wale mafala installation.
Mpila mmecheza viziri sema aikuwa bahat yetu Leo lakin kikosi kimeludi vizuri sana 😊
Kagomaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂
KIWEWE CHA TABORA BADO KINAWATESA 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Aah diara fundi sana wa kupokea tobo yaani kama bikizee tu hata hivyo namshukuru sana Mungu kwa kukubali ombi langu maana ile ngebe ya kale kazezeta imekatwa sawasawa.sasa ombi langu kwa Mungu wetu ni baraka tele kesho ili wenye uwanja wa mkapa kufuta ile najisi waloitia wale mafala installation.
Viongozi wote Yanga wajiuzulu wampe timu Mzee kagoma
Ahhh mambo ya tobo nitoboe..😂😂😂😂😂😂
LAANA YA GAMONDI KIPARA 😂😂😂😂
Binge la toobo
😂😂😂😂😂😂😂😂