Majina ya hamisi ni mengi,kuna hamisi mashairi na hamisi charahani.... Ruto kadhaalika kuna Ruto managing director kenyaports authority na kuna Ruto Raisi.
@@AshaMbeyu Hassante Ukizikiza vizuri shairi hilo utapata KIBWAGIZO,,,cha sema (MD) WETU NI RUTO,MWENGINE PHOTOCOPY. HALISEMI...(RAISI) WETUNI RUTO,MEENGINE NI PHOTOCOPY. RUTO NI WENGI KIPENZIE SAWAE....NA HATA MBALI NA HIVYO TUSIMTEGEMEE MWANAADAMU SIMKAMILIFU TUMTEGEMEE ALLAH.
Uko vizur
Naheshimu maoni yako ila hapo kwa Ruto,daa! 😮
Nakubali
Shukran
Kongole🎉
Mashaallah
TabbaraqAllah
Mashairi yako supa ila hapo kwa roto 😂😂sikuungi mkono kaka
Majina ya hamisi ni mengi,kuna hamisi mashairi na hamisi charahani....
Ruto kadhaalika kuna Ruto managing director kenyaports authority na kuna Ruto Raisi.
@@hamisimwagarashi9501 sasa wewe unazugumzia Ruto yupi 🤣
@@AshaMbeyu Hassante
Ukizikiza vizuri shairi hilo utapata KIBWAGIZO,,,cha sema (MD) WETU NI RUTO,MWENGINE PHOTOCOPY.
HALISEMI...(RAISI) WETUNI RUTO,MEENGINE NI PHOTOCOPY.
RUTO NI WENGI KIPENZIE SAWAE....NA HATA MBALI NA HIVYO TUSIMTEGEMEE MWANAADAMU SIMKAMILIFU TUMTEGEMEE ALLAH.
😭