Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Pole sana kpz changu Allah akuifadhi najua unavyo jisikia
Pole sana mdogo wangu,mungu akutie nguvu ktk kipindi iki kigumu.
Napenda wasanii mnavyoshirikiana... Pole daa Zuu.... Allah akupe subra na usiache kumuombea dua
Poleni sanna,good actor fred,lv bn watchng many movies he acted,upto now Tandi
Poreni sana dungu zangu kazi yamungu haina makosa tumuombee mungu🙏🙏🙏😭😭😭😭
Poleni sana Sana ndugu wa Mr . Fredy ayo ni mahandiko ya mwenyezi Mungu mahana mahandiko Yana twambia hakika utakufa.
Pole sana jaman sote n njia yetu moja hakuna anaweza kukwepa hii mauti😢😢😢😢
Poleni sana kwa msiba ila jamani tupunguze taarifa ka. a hizi mitandaoni mwenzetu amesha tangulia mbele ya safari alafu ss tunafanya kama maigizo😊
Polee Sanaa 😢 unaongea Kwa hisia Sanaa zilizojaa huzunii
Hey naomba namba yako
zulpha unaongeya pointy kabisaa.poleni sana
Poleni sana wasanii, pole sana mwanetu Zulfa umepata machungu san, Mungu akutie nguvu sana👏😭😭
Pole Zulfa, Allah atakupa subira.
Pole sana dd,
Pole sasa dada zuu mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Ameeñ
Pole mwanangu mungu akujaza Nguvu
Pole sana dada kwa kumukosa. Kaka
Pole sana nakuelewa zulfa Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Dah! Pole sana
poleni sana sana.
Dah pole sana zurfa kwa maumivu ayo
Zulfa sio zurfa
Yaani mbona wanaongozana Sana hivi mwaka huuu Daaaah
Pole sana dd,RIP
Fredi hakufa Kwa mapenzi ya mungu wameon kijana wa watu ameshakua muigizaji mzur
Tujue kifo kipo ni lazima tujiandae.istoshe Mungu yupo tusipeleke fikra zetu kwengine
Poleni sanaa Mungu awakumbate kwa faraja zake.
Bongo movies wanauana sana😢 wanaoneana vijicho msininukuu vibaya na wala sio kama naamini kwenye ushirikina
Sauti ya Zulfa kama ya Zuchu
Poleni sana, wasanii mpo vizuri kusaidiana kwenye shida.
POLE SANA ZULFA
Daah😭
Umeongea ukwl inshaallah
Pole sana
Poleeee Zulfa Mungu akutie nguvu
Duh inauma saana 😭😭😭😭
Pumzika kwa amani Fred
mbona msiba hauna watu wengi kama wa Tessa na pia haupo live kama misiba mingine........Na huyu wa maelezo kwenye screen mda wote ni nanni kwakwe
Watanzania wanaua wasanii😢😢😢kwa mauzauza yao😢😢
polee sanaaa zul-fa tumuombeee t
Wasanii mrudieni mungu
Rip
Jamani mimi naomba namba za zulfa
hakikaa hliiii ni pigoo kwa wasaniiiii woteee
Pole sana my dear 😭😭
Unaniliza sana daah inauma ujue
Naomba niwe lafiki wa huyu dada Zurfa 10:12 10:12
Kweli kabisa
Jakaya hakuna huduma ya matibabu ya moyo mahana kila mtu anae enda hapo lazima Afe
Rip fred kiluwa
Poleni san
R.I.P mwamba
Wamemwonea wivu tu mkaka wa watu kajipata
Aise
Yaas I mbona wamenhozana hivi mwaka huuu Daaaah
pole sana
Rest in peace
Huyu jamaa ni yule kwenye mzani wa mapenz
Ndioooooo
Mbona kwenye energy drink mmepakata
Kweli wamezingua , anyway labda ni issue za kibiashara ila ilikuwa ujumbe mzuri Kwa vijana wengi sana tunaitumua hizi Energy drink bila kufaham Hali zetu za kiafya

Yaani mbona wanaongozana Sana hivi mwaka huuu
Daaaah

Yaas I mbona wamenhozana hivi mwaka huuu