Hakika umenena, nimejipanga kwanza :-kuhakikisha kuwa tunatunza kumbukumbu Pili tunahimiza vizazi hadi vizazi kuwendeleza utamaduni wetu kwa kuandaa "AMABHACHA" upya
@@maswi_magige Sawa kabisa omweto. Tukipata DVD itapendeza na itateka soko la utamaduni wa asili. Wamasai hawana lolote zaidi ya kuvaa mashuka. Wakurya tupo juu. Hamasisha michezo ifuatayo: 1. Ritungu (ibirandi, ekegogo) 2. Isuru 3. Mieleka 4. Entona 5. Orokano Wasanii wafuatao wamenikosha sana 1. Koroso 2. Magensi na Nyamaiya 3. Taisamo
Msanii mwingine mahiri sana ni Ghati wa Nyabara. Huyu mama natamani kumwona kwa macho. Nashauri majina ya nyimbo yazingatie lugha fasaha ya Kikurya, mfano Mburuguku, Iritingo sio ritungu au litungu
Utamaduni wetu Wakurya bado unaheshimika na una nguvu sana. Ujumbe unaotolewa hapo ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba. Sure, lazima toserete weito
Hakika umenena, nimejipanga kwanza :-kuhakikisha kuwa tunatunza kumbukumbu
Pili tunahimiza vizazi hadi vizazi kuwendeleza utamaduni wetu kwa kuandaa "AMABHACHA" upya
@@maswi_magige Sawa kabisa omweto. Tukipata DVD itapendeza na itateka soko la utamaduni wa asili. Wamasai hawana lolote zaidi ya kuvaa mashuka. Wakurya tupo juu. Hamasisha michezo ifuatayo:
1. Ritungu (ibirandi, ekegogo)
2. Isuru
3. Mieleka
4. Entona
5. Orokano
Wasanii wafuatao wamenikosha sana
1. Koroso
2. Magensi na Nyamaiya
3. Taisamo
@@chachamarwa1082 ok sawa ndugu endelea kushare ili kwanza channel ipate kibali cha kusimama kama kampuni tutaheshimika
Msanii mwingine mahiri sana ni Ghati wa Nyabara. Huyu mama natamani kumwona kwa macho.
Nashauri majina ya nyimbo yazingatie lugha fasaha ya Kikurya, mfano Mburuguku, Iritingo sio ritungu au litungu
@@chachamarwa1082 Asante sana nisigejua kama usingeongea ninakushukuru sana
Safiii
weiiiii, huupuuu..
Ndio tata ghat leta amag,ana