#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 783

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 роки тому +17

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @athmanimaulidi6224
      @athmanimaulidi6224 2 роки тому +1

      Ok

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 Рік тому

      Mtume mhamedi hakubagua wewe umeyapata wapi? Maubaguzi hayo kupa mtu gari siokosa wewe unagawa nagari wapi wemtoto acha pepo

    • @rukiamkwayo6302
      @rukiamkwayo6302 Рік тому

      Fitina tuu mashehe gani wamewapa mahalo wasanii unajua kusoma sio fimbo ya kuwapigia wenzio mungu hajakataa mtu kumsaidia mwenzie nyie mliosoma dini mmetoa wapi katazo la mtu kumpa kitu mwenzeke acheni hizo sema mm najua fitina na choyo ndio kinawaumiza nyie mliosoma

    • @rehemabakari7425
      @rehemabakari7425 Рік тому

      Jamani amekua

    • @emmanuelmachibya35
      @emmanuelmachibya35 Рік тому

      No comment

  • @SakinaSadik-j3l
    @SakinaSadik-j3l 8 місяців тому +4

    Mashallah tabarakallah Allah akuhifadhi Sheikh Ramadhan

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +13

    Mtoto ana busara sana. Mwenyezii Mungu akulinde insha Allah🤲🤲

  • @assaabdulla1031
    @assaabdulla1031 2 роки тому +55

    Assalam Alaykum sheikh mtoto Ramadhan Allah akuzidishie karama zake na akufungulie milango yote ya kheri nakuomba sheikh ramadhan uniombee DUA inshaallah

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      Amiin Yarabby 🤲

  • @henryj3304
    @henryj3304 2 роки тому +18

    Hongera sana mtoto mzuri. Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu sana yenye amani furaha na baraka tele.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 роки тому +3

    Sheik ramafmdhan nakupenda kwa ajili ya allah
    Alafu ma sha allah anajua kumshukuru allah alhamdulilahi
    Allah atujaalie kizazi chemba

  • @Silaji57Warambo
    @Silaji57Warambo 6 місяців тому +1

    Mashaallah✅ Allah amzidishiekher uyosheikh mtoto napia Allah namuomba amuepushe nahasadi mbarimbari 🤲 AMIIN

  • @africatourguidezanzibartan2034
    @africatourguidezanzibartan2034 2 роки тому +10

    Mungu azidi kukufungulia njia mdogo wangu hii Karama kutoka kwa Allah sw, yani hadi machozi yamenitoka kuona ndugu zetu wa kristo wameonyesha moyo mkubwa kumuombea shekh wetu, alhamdu lillah rabil alamina.

  • @bekhaphdprince6347
    @bekhaphdprince6347 2 роки тому +30

    Assalamu Aleykum,,, So happy ,,, I love ALLAH,, I LOVE Prophet MUHAMMAD,, I LOVE Islam,, I LOVE All MUSLIM Around the World.

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому +1

      Luv u too for islam till firdaus

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому +59

    Mtoto anajibu kwa hekima na uelewa mkubwa!! Mungu azidi kumtunza....

  • @abdallahsalem8499
    @abdallahsalem8499 Рік тому +2

    Mwenye-Ezi-Mungu amuhifadhi amtiye katika himaya yake Yarab🤲 na amzidishye elmu Yarab🤲

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 2 роки тому +28

    Mashaallah mtoto huyu Allah Amjaalie umri mrefu wenye manufaa makubwa inshaallah

  • @hurumajosephat6333
    @hurumajosephat6333 2 роки тому +4

    Acheni Mungu aitwe Mungu yeye humpa atakaye Mwenyez Mungu amlinde Mtumishi wake Amina

  • @zubedakiula6454
    @zubedakiula6454 Рік тому +4

    Manshallah mwenyezi Mungu amuepushe na shari za kila namna na amjaalie maisha marefu.

  • @ariesfire9230
    @ariesfire9230 2 роки тому +7

    Mashaallah Mashaallah Mungu akuhifadhi, akulinde na akufungulie Miangaza ya kheri. Akujaalie umri mrefu Allah akudumishe kwenye hali hio hio amin amin amin

  • @assadysuleiman7830
    @assadysuleiman7830 2 роки тому +8

    Daah huyo shekh yuko vzr sana, mungu aendelee kumpa uhai inshallah

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 Рік тому

      Mnasifiaga tu hata shehena mnakazi sana, mnajua sana kuhukum wkt kaz ya kuhukum ni MUNGU pekeake na sio binadam, ety unakuta dini zinahukum binadam akikosea hiv afanywe hiv unamuhukum vip binadam hujamuumba ww, iyo kaz tumuachie alietuumba ndo atugawie ujira wetu na sio xx kwa xx

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 6 місяців тому +1

    ❤❤❤Maa Shaa Allah, Allah akutangulizie kheiry kwa kila jambo lako na akuongoze kwa nyia zilizonyooka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 Рік тому +2

    Ya Allah nakuomba umuongoze huyu mtoto fii Dunia na Akhera (Allahumah Amin yarabi)

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 роки тому +12

    Mungu akutunze uwe mwenye kuleta mawaidha bora naamini katika umri wako mpaka utakapo kuwa mzee kuna wengi watamjua Mungu nakuwa watu wema.Maana utakuwa umewahudumi watu wa lika zote. kwauhalisia kabisa kutokana na umri wako.

  • @albertpike5893
    @albertpike5893 2 роки тому +8

    Huyu mtoto Mashallah !
    Tumuombe Allah atujalie watoto wema

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 8 місяців тому +1

    Ma Sha Allah nakupenda mtto omari hunahakiri na busara naomba mola anijarie watto wangu wawe na hakiri na hekima kama we mtto mzuri

  • @lilianatieno3852
    @lilianatieno3852 Рік тому +2

    Mungu baba mwenyezi Mungu amzidi kumlinda, naona kipindi hiki nikiwa upende huku za Kenya.

  • @armelsalimirako4676
    @armelsalimirako4676 2 роки тому +4

    BURUNDI tena ,wee mtoto mbona mchimbuwaji zaidi allah akbar .walio sikia burundi ikiongelewa gonga like hapa

  • @rahyarahya590
    @rahyarahya590 2 роки тому +4

    Burundi nchi yangu Adi mtoto anaijua subhanallah sheikh ramadan Allah akujaaliy uendeley ufike Mbali una kipaji kikubw sana amiiiin kwa dua

  • @alfredibrahim7085
    @alfredibrahim7085 2 роки тому +9

    Dogo yupo vizuri sana Mungu ampe maisha marefu

  • @salama1113
    @salama1113 2 роки тому +38

    Mungu akulinde na husuda za waja🤲🤲

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 Рік тому +3

    Nimemupenda uyu mtoto Allah akunilindie sheikh

  • @oscaroscar2555
    @oscaroscar2555 Рік тому +7

    Mungu tu akulinde ukue katika hekima na msimamo huo huo mungu akuongoze naakulinde mana dunia inamenge🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 2 роки тому +8

    Mwenyezimungu anajidhihisha kwavitendo .Subhanallah

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +11

    MAASHALLAH shehe mtoto🌹🌹🌹 allah zaid kuviokoa vizaz yet TAKBIR ALLAH AKBAR

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 Рік тому +2

    Allah Akbar, subhana llah ndiye muongozi katika njia iliyo nyooka. Na saalo Llah azidi muuogoza njia hiyo

  • @tabuyahya6481
    @tabuyahya6481 Рік тому +2

    Mashaallah m.mungu Amuongoze zaidi na zaidi Aamiin 🤲 inshallah

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 Рік тому

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AMLINDE MTOTO WETU AMUEPUSHE NA MABAYA YOTE HAPA DUNIANI NA AKHERA NA VIZAZI VYETU ALLAH AVIJAALIE WAWE KAMA HUYU MTOTO INSHALLAH NA WAZAZI WAKE ALLAH AWAJAALIE MWISHO MWEMA INSHALLAH

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 роки тому +4

    ManshaAllah! Hakika umeongea ukweli mtoto ukisoma kitabu cha Mungu unaonekana mweh ila ukiimba album nzima ya msaan unapewa kipaumbele na kutambulika. YaAllah tukuzie watoto katika tabia za kukupendeza🤲

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 2 роки тому +25

    Mashallah....kweli huyu mtoto Mungu yupo nae

    • @ashahassan1877
      @ashahassan1877 2 роки тому

      Masha Allah masha Allah Allah akukuze mtoto wangu nakuzaa Mara Saba Allah akuondoshee hasad mtoto mzuri

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب Рік тому +7

    Alafu anajibu Kwa hekima na uelewa mkubwa mashallah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 роки тому +1

    Ma sha allah sheikh ramadhan
    Ana jibu kwa hekma ma sha allah
    Alafu alhamdulilahi anajua kumshukuru allah alhamdulilahi
    Allah akuzidishie umri mrefu na taqwa

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 2 роки тому +8

    Anajibu kwa utaratibu mzuri sana anaeleweka,,, Mungu amlinde tu.

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 2 роки тому +6

    Hongera San mtt natamani Mungu anipatie mtt kama huyo mwenye kuipenda dini natamani sana mtt

    • @saidkhery9011
      @saidkhery9011 2 роки тому

      Hakika.lakin kuna siri kubwa sana katika uumbaji.kumbuka kasema roho zoote ziliumbwa siku moja tu.
      Roho zote za wanaadamu hujirudia rudia katika miili.mwili wa huyu kijana una roho ya moja ya manabii walio pata kuishi miaka mingi tu iliyopita

    • @yusramadodo8269
      @yusramadodo8269 2 роки тому

      Napenda sana mtt mwenye kuijua dini pia namuomba sana Mungu anipatie mtt mwenye upeo wakuipenda dini na mwenye kusali dunia ya sasa vizazi vyetu vimeharibika sana matt wetu asilimia kubwa wameharibikiwa San napenda San mtt muelevu na muelewa kwanza nampa hongera mzazi wake wa huyo mtt kwanzia mama baba wanamalezi bora

  • @fat-hummary6704
    @fat-hummary6704 2 роки тому +5

    Mashallah! Allah Akbar
    M/mungu yupo ,na Dini ni Uislamu ! Na ishara zote anatuonesha! Tujirudi kwake Aliyemmoja na wala hana Mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa.

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      Wallahi maneno yako mazima ila watu hatuzinduki sisi

    • @barakayekonia7468
      @barakayekonia7468 2 роки тому

      Yesu ni njia kweli na uzima

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 роки тому +8

    Hizi ndio hekima za ALLAH AZZA wa JAALAH humrehem na kumuongoa amtakae.ALLAH AKBAR.

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 Рік тому +1

    Mashaa Allah mashaa Allah mola amlinde na kumuhifadhi huyu genius ni hazina ya taifa mashaa Allah

  • @nasirmohamed6329
    @nasirmohamed6329 2 роки тому +8

    Mashallah shekhe mtoto mungu akukuze uwe mtoto mwema uwapende wazee wako Amin yarabbi

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому +11

    MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah pia na wazazi shukrani sana

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 2 роки тому +14

    Masha Allah Alhamndulillah Mwenyezi Mungu azidi kukupa kipaji baba yangu

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 2 роки тому

      Allahuma Aameen Yaarb Alaameen na jamii wa Islaam 🤲

  • @motasimali9053
    @motasimali9053 2 роки тому +2

    Mashallah mashallah kama mwanagu wakike na yeye alivyokuwa mdogo alipenda sana dini nazidi kumuombea aendelee zaid na zaid nawatot wengine wenye upeo wa kuipenda ndin ya Allah allah awajalie waendelee zaid na zaid

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 роки тому +5

    Kila dini ni sahihi mbele za Mungu tatizo kupata watu sahihi. Mimi mkristo lakini huyu mtoto ana karama ya Mungu ........ Ni kiongozi sahihi Kwa dini yake, Mungu amjalie maisha marefu

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 роки тому

      Hakuna kila dini ni sahihi kwa Mwenyezi Mungu(Allah). Mwenyezi Mungu(Allah) alileta dini moja tu na ni uislamu na si maneno yangu ni maneno ya Mwenyezi Mungu (Allah) mwenyewe katika kitabu cha Quran. Anasema dini ya haki ni dini ya uislamu na anayetaka dini isiyokua ya ya kiislamu basi ni mwenye kupata hasara. Na akasema dini ya kiislamu ndio dini niliowapendeleeni iwe ndio dini yenu

    • @muksinsaidi4892
      @muksinsaidi4892 2 роки тому +1

      ibrahim alivunja masanam bila kujali wenye nayo watamfanya nini..na masanam ilikua ni ibada na dini za watu ktk nchi.. so akuna kila dini bali ipo dini sahihi..

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      Hata yesu katika biblia anasema "utafuteni unyenyekevu" pia amesema yeye ni mnyenyekevu...unajua neno unyenyekevu kwa kiarabu??? ni "islam"

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 2 роки тому

      Amini

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 роки тому +11

    Dada hongera sana allah akujalie alhamdulilah

  • @swahibuabdallah8971
    @swahibuabdallah8971 2 роки тому +3

    Maassha allah Allah ampe kila hitaji la moyo wake na ampe umri mrefu aendelee kutoa daawa

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      Aaami.
      Ila nina wasiwasi, mashaka na khofu kubwa baadhi ya Wasanii (Wenye imaan ndogo ya Kiislamu) watamchukuwa Sheikh Ramadhan na kumpachika Cheo cha Usharifu ili wapige hela kutoka kwa wenye shida /matatizo mbambali ili waombewe Dua na Sheikh Ramadhan.
      Kuombewa Dua sio tatizo bali tatizo ni kufanya Utapeli kupitia kipaji/kipawa cha mtoto.
      Hivyo mzazi/wazazi kuweni makini sana msimkabidhi kwa Matapeli/Watu wa dili.
      Allah amuhifadhi

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 2 роки тому +1

    Mashallah Allah awakinge na hasad na shari za ibilisi na binaadam na Akustawisheni ktk njia ya sawa, familia yenu kwa ujumla

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 2 роки тому +4

    Mashaallah mola azidi kukufanyia wepesi uzidi kufanya daawaa Allah akulinde na hasadah

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +10

    Mashaalah asante sana uongozi wa GLOBAL TV

  • @mamafau9806
    @mamafau9806 2 роки тому +17

    Mashallah Allah azidi kumkuza mashallah ni mtoto mwenye kipaji kikubwa sanaa

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 2 роки тому +105

    Hiki ni kipaji sana Mungu mpe maisha marefu sana huyu mtoto

  • @hawaa2296
    @hawaa2296 2 роки тому +4

    Mashaallah tabaraka Allah amzidishie elimu akupe afia njema

  • @ashuraash3680
    @ashuraash3680 2 роки тому +8

    mashalla mungu azidi kukuongoza kwenye mambo mema amini labilala mina 🤲🤲

  • @gaudinantengo4317
    @gaudinantengo4317 Рік тому

    Mungu mwema sana mpe ufahamu Mara dufu Asante mungu kwa kutufunulia na kutupa maono maisha mrefu kwake

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +9

    Maashallah tabarakallah Ramazani. 💕💕

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 2 роки тому +1

    Huyu atakaye kwazika hapa kw ajili y ujumbe anayofikisha inamaana kua yuasema kweli n kama ujuavyo ukweli sikuzote inaumaa, mashaAllah MwenyeziMungu atuongoze sote

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 2 роки тому +4

    ما شاء الله تبارك الرحمن
    Allah a.mzidishie Elmu amuondoshee husda za majini na binaadam

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 2 роки тому +11

    Mungu Jamani amepanda mbegu yake Hongereni wazazi

  • @YunitaHalimSyach
    @YunitaHalimSyach Рік тому +4

    Assalamu'alaikum Sheikh Mtoto
    Semoga Allah Memberi mu Umur yang panjang dan Kesehatan selalu
    I Sending Thousand Love ❤ From Jakarta Indonesia🇮🇩 To You 🌺💐

  • @yusufmarjan8881
    @yusufmarjan8881 2 роки тому +2

    Jazakallahul kheir Allah amzidishiye elimu yenye manufaa Insha Allah (Ameen)

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 2 роки тому +1

    Mwenyezi mungu akujariye baraka nanuru kubwa kubwa isharaa baraka tere

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب Рік тому +3

    Mungu akupe Maisha marefu na uweekichwa na sii mkia

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +12

    Huyu mtoto ni ana kipaji cha Ajabu...!... maashallah

  • @rashidkipingu7358
    @rashidkipingu7358 Рік тому +15

    Ewe MOLA Mjaalie mtoto huyu muongozo mzuri asitoke katika njia zako

  • @zeinabathman4969
    @zeinabathman4969 2 роки тому +1

    Mshllh tabarakallah minaa waminkum mashallah jicho la husda lisikupate mwanangu mshllh waminshari hasidin idha hasad

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 2 роки тому +4

    Alhamdelilah 🤲 Blessings
    Allah akuhifadhi na shari zote Akipe kheri na wazazi wako Duniya na kesho Akhera Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 2 роки тому +14

    Mashaallah mtoto mzuri mungu azidi kukuongoza 🙏

    • @zuuhshemdoe344
      @zuuhshemdoe344 Рік тому

      Mashalaah Alaaah Azidi kumlinda shekhe wetu

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 2 роки тому +9

    Mashallah mwenyez mungu akupe maisha marefu shekhe Ramadhan

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day 2 роки тому +6

    Allah atujaliye Mwisho Mwema wa Islam wote Dunia nzima na wasio Wa Islam

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 2 роки тому +8

    MashaAllah Allah shekheh mtt

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 2 роки тому +7

    ManshaAllah sheikh Mtoto Allah akuhifadh mawaidha yko kwa kweli nimeyapenda Allah akuzidishie ilmu yarab

  • @sinarahaissa7927
    @sinarahaissa7927 2 роки тому +2

    Shekh allah akuwekee wepesi katika kufikish ujumbe wa Allah (s.w)

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 2 роки тому +5

    Ramadhan nakupenda kwa ajili ya Allah. Shekh mtoto

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 10 місяців тому

    Ma sha allah
    Sheikh ramadhani Allah akubariki na akuhifadhi

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 2 роки тому +1

    Mashaa Allah kumbe mnaasili ya kwetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 2 роки тому

    Sema nafundishwa namasheikhe nawaalimu sheikh sio makarama unahifadhishwa alhamdu lillahi mie nashukuru anae kusomesha,waalimu zako!

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +2

    Mashallah Habiiiby Ramadhan Allah akuzidishie mdog wangu kipaj I chako😥🤲Kwakwel wanangu wakikuona hawafaham kiswahil but wanapenda wanacheka😀tuu ukisoma Qur'an wanafurah sana Mashallah Mashallah Mashallah Wazaz jitahid in zaid na zaid huyu siku zambelen ATAKUWA ulamaa mkubwa wa Tz kutokuwa na hofu peke yake ni kipaj jaman me hapo ukinieka unihoj shoga yangu natetemeka adi mikoj itatoka😂ما شاء الله جزاكم الله خير 😍😍😍😍😍😍😍😍🤲😘❤️

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 2 роки тому

      Hahaha 🤣 mikojo tn

    • @bintsalimalbimany287
      @bintsalimalbimany287 2 роки тому

      @@abduomar8438 😂😂wee mim Kuzungumza mbele za watu Sinaufasaha nako😩😂

  • @easy-muchwa8175
    @easy-muchwa8175 2 роки тому +2

    Huyu mtoto ni kama watoto wengine ambao wazazi wao wamewasimamia kwa ukaribu ktk jambo lolote lile liwalo.watoto wote wana kipaji kama hicho tatizo ni usimamizi.watoto wanakua kwa kuiga vitu vilivyowazunguka na wanavyovisikia zaidi.
    Ushauri wangu kwa wazazi tuweni karibu na watoto wetu tuwaongoze ili wafanye MAAJABU ktk njia zile tunazotaka wapite.INAWEZEKANA SANA..
    Hakuna UPAKO ni maelekezo na ufuatiliaji tu tangu siku ya kwanza..
    MAMBO ZA FAMILIA

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 2 роки тому +1

    Ma shaa allah namuombea mungu sheikh mtoto mungu amlinde na amjaalie elimu na amruzuku fahamu in shaa allah

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 роки тому +1

    MASHALLAH MUNGU AKUPE UMLI MLEFU NA SISI PIA MUNGU ATUPE UMLI MLEFU

  • @lindaruhinda9168
    @lindaruhinda9168 2 роки тому +20

    Mimi ni mkiristu Ila huyu mtoto mashalahaaa

  • @Tadjiliwamahaba
    @Tadjiliwamahaba 2 роки тому +2

    Ahsante mungu mjalie mtunzi wa Muhammad

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +4

    Mashaa الله tabaaraka لله. الله akuifadhi.

  • @aminahtanjania4868
    @aminahtanjania4868 2 роки тому +9

    Manshallah mungu akupe heri shehe mtoto inshallah

    • @فاطمهخميس-ظ6ف
      @فاطمهخميس-ظ6ف 2 роки тому

      Allah akulide namabaya shekh ramaza niombee mm naumwa nakichwa Sana Sana Sana namba dua yako inshaallh

  • @RutexNalex
    @RutexNalex 2 роки тому +1

    Mi nimkristo lakini nimependa Sana huyo mtoto ,ningependa awe alifanyia Dua kwa Hawa ndugu zetu wakiarabu,Allah awapatilishie mioyo ya utu

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      Mioyo ya Utu sio iwe kwa Waarabu tu, Waarabi ni Kabila na ni Watu/BinAdam kama mimi nawewe nk.
      Umemsikia Sheikh Ramadhan amezungumzia kuhusu Burundi..., Je, Burundi ni ya Waarabu?!
      Mitume na Manabii wote Asili yao wametokea Uarabuni na hakuna hata mmoja ambaye Asili/Nasaba (Ukoo) wake ni Marekani/Roma-Italy/Uingereza (kwa Wazungu)
      Historia/Asili ya mitume na manabii inatosha kwa asokuwa Muislamu (Mkristo) akifuatilia kwa kina kwa lengo la kuielewa ukweli, haki na batili basi ataiwacha Batili/Uwongo (Ukristo) na atifuwata Kweli na Haki na atasilimu na kuwa Muislamu.
      Wacha Ujinga wa kurithi

    • @RutexNalex
      @RutexNalex 2 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 no Nina sababu yakusema hivo pliz pray for them mostly Saudi arabia

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 2 роки тому +5

    Manshaalla mungu akuongoze shekhe

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 роки тому +1

    Ma sha allah
    Sheikh ramadhan
    Allah akubariki na akuhifadhi

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 Місяць тому

    Masha Allaah Allaah akulinde nawazaziwako py

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 роки тому +3

    Mashaallah Mungu azidi kukuongoza shekhe mtoto

  • @zbidamtotowamama2650
    @zbidamtotowamama2650 2 роки тому +4

    Nae yuko nakipaji kweli mashaAllah

  • @fatumasaidi497
    @fatumasaidi497 2 роки тому +17

    Nakupenda sana mwanangu mungu akujalie sana

    • @albertpike5893
      @albertpike5893 2 роки тому

      Is he your real son ?? Thank Allah for such blessings

  • @husnasaidhusna1951
    @husnasaidhusna1951 2 роки тому +15

    Watu watakuwa hawaendi kuabudu Mungu atakua wamefata kitu hata hivyo sio vzri huyu mtoto anaongea vzli tu Allah bless you son long life

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 роки тому

      Watu watakua hawaendi kumuabudu MUNGU bali watakua wanafata vitu, we huoni bora hao wanaenda kwa kivuli cha wanashida na ndo maana wanasaidiwa, na atakaesaidia mbele za MUNGU huyo ni msafi ye kasaidia kwa moyo wake mmoja, huyo alieenda kuzuga anaabudu kumbe kafata vitu MUNGU ndie atakae mpa ujira wake, we dada nikuulze!! kati ya alietoa lengo kusaidia coz kaenda mtu anashida na yy ni kiongozi wa watu akatoa, na aliesaidiwa kisa kasema shida zake kumbe kadanganya hana MUNGU wala wala hakua na shida ya mpk kaenda kanisani kuomba msaada, mwenye makosa hapo ni nani alietoa ama aliedanganya anashida akasaidiwa?

  • @zaujiaahmed8803
    @zaujiaahmed8803 2 роки тому +6

    Subuhanallah Allah Akbar Mashaalah ♥️

  • @stephenmuchiri5820
    @stephenmuchiri5820 2 роки тому +1

    Hapo kwa mauno ndio nimekwama 😂😂😂😂🙌🙌🙌.....ila mtoto una kipaji mashallah Mungu akuzidishie inshallah uendelee hivi hivi....nimependa kwa kuwa kila unachokitaja unamtanguliza Allah na unaamini kuwa yeye ndio amekuezesha..yany ana akili nyingi sana huyu mtoto kama mtu mzima hivi...he's is a genius wallahi!!

  • @omarijawadu4047
    @omarijawadu4047 Рік тому

    Mashaa Allah kijan safi Allah akuthinitishe ubak katik Haq

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 роки тому +2

    Allah Akbar Manshaalla hakika huu mtoto Kuna Umungu ndani yake.mitoto mingine myaka tisa Bado inajikojolea .
    Lakini Burundi leo amani yako sema alikutana nawasiokuwa waaminifu nawalio kosa Maadili wako Kila inchi

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 роки тому +1

    mashaAllah mashaAllah mashaAllah mungu awajalie wanangu wawe Kama shehe mtoto