SAKATA LA MADADA POA LAWAIBUA LHRC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лип 2019
  • Ni baada ya kupostiwa kwa video zilizokuwa zikiwaonyesha wanawake wanne wakiwa wameshika mabango yaliyowatuhumu kuwa malay*, na huku picha hizo zikisadikiwa kupigwa na Askari kutoka kituo cha Polisi Kigogo, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому

    Ccm.wezi.wa.mali.za.nchi.wamuwaoni.????

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 років тому +1

    Kuna wanaume malaya mbona hatusikii wakinyanyaswa? Hao wanawake wanafanya umalaya na nani siyo wanaume? Yaleyale aliyosema Bwana Yesu, "Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe". Nafsi ziliwasuta wote na waliondoka mmoja mmoja. Wanaume wangekuwa siyo malaya umalaya wa wanawake ungekoma!!!!! Wanaume wanauendekeza umalaya. Hao wangekosa soko ungeisha tu!!!!

    • @PendoMatemba
      @PendoMatemba Місяць тому

      Happy mapolisi wanawatumia madadapouwa kujichumia peas, unadhani kwanini, wanapokamatwa wanaambiwa watoe laki ndiyo waachiwe. ,