meet brian family and dollo live..vita ya mwaka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • meet brian family and dollo live ..vita ya mwaka

КОМЕНТАРІ • 114

  • @RhodahAbuga
    @RhodahAbuga 3 місяці тому +8

    Hata bible inasema kama adui ameona makosa na anaomba msamaha kubali sababu ameona makosa msamehe sahau yaliyopita na msirudililie

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 3 місяці тому +15

    Kumbe director yetu ni best raper

  • @Teresamoraa-pg9kn
    @Teresamoraa-pg9kn 3 місяці тому +9

    Wacha kuita ita wengine kwa ndollo alipokea pesa hiyo iliiza

  • @msoniehumbled7703
    @msoniehumbled7703 3 місяці тому +12

    Dollo’s not a bad person, he got provoked. One thing I like about Dollo, he realizes the mistake he made by high-jack Champee. He's remorseful. Dollo Mungu anakupenda sana, turn around and confess your sins. He will me you as white as snow.

    • @SalomeMpanda
      @SalomeMpanda 3 місяці тому

      Yani mnavyo muintatain huyu dolo na ujinga mpaka mnaboooooo c mbaya angemtesa vile champeee na hakuwa na hatia na mauchawi yake

    • @Kelvinkevohshow
      @Kelvinkevohshow 3 місяці тому +1

      Kuna picha za watu wenye wanatafutwa na DCI juu ya crimes za maandamano na picha ya ndollo iko hapo 😢😢

  • @eseymsoo821
    @eseymsoo821 3 місяці тому +6

    Dollo even if they will not for give, God will forgive coz you are willing to make.
    Dave bring peace Dollo need to make a change pliz.

  • @njugunamary
    @njugunamary 3 місяці тому +4

    Dave Sasa tuongee ukweli ulikuwa unataka pesa za ndolo zipotee, ati alikuwa anataka pesa zake na kifua, hata ww sio mzuri, ulichukua mtoto bila mpango, pia bila kufikilia justice Kwa ndolo, hukuita hao walihusika na hayo, mujue venye pesa za ndolo zitapatikana, ndolo alikuwa anafikia pesa zake, na diyo alifanya hayo, Dave understand ndolo na uforgive ndolo Wacha hayo

    • @FanisAtieno
      @FanisAtieno 3 місяці тому

      Dave hananga understanding

    • @Khadija-t6r
      @Khadija-t6r 2 місяці тому

      Ndovo hana ukweli hata kidogo ata hio pesa anadai ni ya haramu, aliuza organs za watu innocent ndio akapata huo utajiri

    • @Khadija-t6r
      @Khadija-t6r 2 місяці тому

      Ndovo hana ukweli hata kidogo ata hio pesa anadai ni ya haramu, aliuza organs za watu innocent ndio akapata huo utajiri

  • @Allygibison
    @Allygibison 3 місяці тому +4

    It’s true dave ni wa kupinganisha watu , but Ndollo wewe grow up and please behave like a human being. Ndollo has deleted Jane’s number

  • @RozinaNgina-rb9un
    @RozinaNgina-rb9un 3 місяці тому +5

    Ata Jane alipewa pesa

  • @verahNofficial
    @verahNofficial 3 місяці тому +3

    Kama Ndolo anataka msamaha, arudishe pesa za Doctor na mama Joyner and Dave aitishe Stella, Mirriam, Fred and Tom.

  • @AnnNjoroge-z9s
    @AnnNjoroge-z9s 3 місяці тому +6

    Dollo aki wewe uko naroho safi mungu atakuokoa na utakua pastor

    • @lucylight9341
      @lucylight9341 2 місяці тому

      ​@rahmasaid2350 kwa kweli ndolo ni mtu wa roho safi BUT akiwa na hizo manyororo za uchawi lazima unyama ukae ndani yake. But kama anaeza ombewa kama daktari then anaeza kuwa mtu wa maana sana duniani. Hope one day ndolo will give Christ a chance in his heart

  • @janetMuhonja-s7v
    @janetMuhonja-s7v 3 місяці тому +4

    Dave wacheni Dollo aokoke forgive him

  • @vostinekirapa6942
    @vostinekirapa6942 3 місяці тому

    Kitu cha kwanza inafaa mujuwe usipo samehe ata Mungu atakusamehe na akuna Dhambi ndogo wala kubwa

  • @AGNEST-f9n
    @AGNEST-f9n 3 місяці тому +1

    Glory to God Doctor,God protects his people from magic powers

  • @mamayaohappyhappy1316
    @mamayaohappyhappy1316 3 місяці тому +4

    Ndollo lazima uachilie maisha ya wengine ndio upumzike hii ma cases na utubu bila hivo masaa ndio imebaki coz pesa zenye unadai ni za mafigo za watu hutawai pata amani wewe uchukue jukumu ufikirie utubu

    • @Khadija-t6r
      @Khadija-t6r 2 місяці тому

      Kweli kabisa, ata za watoto wadogo imagine, na ati anaomba msamaha

  • @njugunamary
    @njugunamary 3 місяці тому +1

    Ndolo usijali, kila jambo, linalo fanyika liwe zuri ama mbaya Lina sababu, so move on usijali venye kuko, okoka then ufanyiwe totally deliverance, na pia usisahau watu ni WA aina nyingi wengine ni WA gumu kuliko hardcore, pia God have more creators,😎😎😎

  • @doreengatwiri6374
    @doreengatwiri6374 3 місяці тому +3

    Am happy that Dollo has realized his mistakes. Before God you have apologized and am sure you will change and accept Jesus Christ as your personal saviour

  • @familytube2376
    @familytube2376 3 місяці тому +2

    Una shidwa na waliyo kula pesa yako una longa wenye hawa kukula pesa yako kufa wewe

  • @FanisAtieno
    @FanisAtieno 3 місяці тому +1

    Ndolo angekua mmbaya hangerudi kwa ofisi yako Dave, uko na mdomo sana dave ungeacha daktari na ndolo wamalizane wenyewe haunge ingeililia ata

  • @verahNofficial
    @verahNofficial 3 місяці тому +1

    Dave na kale katoto mliokoa na Tom kwa ile unfinished building?

  • @janepaul2133
    @janepaul2133 3 місяці тому +3

    Dabe you are so pride, shukisha hasira chini, one day kitakuramba juu uko na mdomo sana

    • @eseymsoo821
      @eseymsoo821 3 місяці тому +1

      Very true

    • @FanisAtieno
      @FanisAtieno 3 місяці тому

      @@eseymsoo821huyu haezi shukisha hasira zake

  • @damarisnjerunjeru399
    @damarisnjerunjeru399 3 місяці тому +7

    Making peace and forgiving is the right way
    Bravo guys
    But please,,be kind with Dollo,, he's coming back to his senses

  • @michaelsiamini7060
    @michaelsiamini7060 2 місяці тому

    Dave, mbona unarefusha Mambo ya Ndollo kuwa marefu, just shorten the story na kumsamehe Ndollo, cause ametubu tayari,

  • @philisodeke6861
    @philisodeke6861 3 місяці тому +1

    Ndollo don't force things ,tena your not sure with what you want

  • @njugunamary
    @njugunamary 3 місяці тому

    Mm Dave najua shida hata si hao wamama ni pesa inakuuma, bado ndolo hajapata justice, justice Kwa wote unataka diyo ndolo afugwe, coz aliitisha pesa siyo mzuri, kwako lazima uchibue , kwanza ungemalizana na mshamaha wa ndolo alafu ushugulikie hao wamama, hata time ya cucu charity tulikuwa tunaku advice, but ukapuuza ungemusaidia but hutakangi mafans wakuanie, sawa endelea kazi yako kukikauka unasema guys nifanye Nini, na kuona wengine ni wenye thabi, sasa unaona ndolo anafaa kuuliwa ati ni mchawi ww kazi yako nimeamini mungu, na sikatai hata jesu alikuwa sababu ya hao watenda thabi kama, hakukuwa hangekuja, you must change ww Dave alla!!!🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫😎😎😎😎😎😎😎😎

  • @sylivianamutosi9264
    @sylivianamutosi9264 3 місяці тому

    Ukweli Dave ndolo amesema ukweli kuongoka alasimishi muntu nikupenda kwamuntu dave wakati mwingine nyamaza

  • @njugunamary
    @njugunamary 3 місяці тому

    Mm naona ndolo alifanya hivyo Kwa makasiliko, guys understand ndolo, na pia anataka kuwa Free na kila mtu, hata sisi wakenya tumsamehe ndolo na tumuombee mungu, aweze kubandilika na ku repent 34:14

  • @linetmwende01
    @linetmwende01 3 місяці тому +1

    Sasa Dollo juu unasema ulikuwa unanunulia mwanamke wako mtoto juu hapati....mbona basi ukaficha mtoto chini wa kitanda,,,,usibebe watu vibaya ivo

  • @ambuyampundubanda9419
    @ambuyampundubanda9419 2 місяці тому

    SD are you scared of eating grass? Why are you being manipulated by Ndolo? Keep him out of the studio please. After each meeting he tries to find a way of incriminating you. Be realistic even though you want content this is being non professional.

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 3 місяці тому

    Dave nimefulahi kusikia yawale wamama na kulikuwa na mtoto kijana bado

  • @janetMuhonja-s7v
    @janetMuhonja-s7v 3 місяці тому

    Please Dave wacha hao wenye unasema wakuje Ndollo mwenyewe apambane na hao but sameha Ndollo

  • @michaelsiamini7060
    @michaelsiamini7060 2 місяці тому

    Senior Dave, ikiwa Ndollo ame realise makosa yake, na kuomba msamaha, mbona inakua soo hard kumsamehe, , the only way out, ni kumsamehe

  • @christinemasinde1571
    @christinemasinde1571 3 місяці тому

    I wish to tell the Brian's move out of that house, deal with Jane kabisaa she is a thorn in the flesh,saidieni Ones asihangaike.Move to a better location with your family

  • @Eunicemajuma-dz3vz
    @Eunicemajuma-dz3vz 3 місяці тому

    Aki mimi sipendi funguweni mioyo yenu plx mtoe msamaha dola amenyekea sana bt wakikataha mungu asha kusamehea miziko kwao wenyewe

  • @janeotiso552
    @janeotiso552 3 місяці тому

    Senior dave ndo utapiga naye every ebsode?
    Unatubo

  • @nancynasimiyu6773
    @nancynasimiyu6773 3 місяці тому

    Sameha ndollo Dave, hatarudi Kwa uchawi tena

  • @JosephineKageha-qx7ut
    @JosephineKageha-qx7ut 3 місяці тому

    After hii episode naona ndolo akiokoka ju ukimsikiliza vinzuri hana makosa ju alijirudia amekubali makosa yake so msameheni

  • @EvalyneKinyua-h6q
    @EvalyneKinyua-h6q 3 місяці тому

    Guys kueni na roho ya kusamehee ndolo is ready for forgiveness

  • @Eunicemajuma-dz3vz
    @Eunicemajuma-dz3vz 3 місяці тому

    Mbona nikama watu waulimwengu wanajua kuhusu sheria yamungu kuliko watu wamungu, ni laxima usamehe ili mungu asame nawe mtu akiomba msamaha msifurute mambo msamaha ni msamaha plx msamehe ndolo

  • @FanisAtieno
    @FanisAtieno 3 місяці тому

    Kwenda uko Dave bibi yako alikidnapiwa na Fred

  • @serahbonareri3377
    @serahbonareri3377 3 місяці тому +1

    Mbona unashinda kuleta dollo for sure Dave be careful

  • @FanisAtieno
    @FanisAtieno 3 місяці тому

    Dave wewe ni mmbaya, ata mama Joyner ali forgive Brian na ndolo aki omba msamaaha msameheni

  • @WINROSEMUGO
    @WINROSEMUGO 2 місяці тому

    Davie c ukam embu utufanyie loyalty test

  • @JosephineKageha-qx7ut
    @JosephineKageha-qx7ut 3 місяці тому

    Akiomba msamaha msamehe ju mungu anawenza

  • @petermaina1951
    @petermaina1951 3 місяці тому +2

    Dave, regardless of what dollo has done you're supposed to host a balanced show

  • @JustoNyaribo-go9hp
    @JustoNyaribo-go9hp 3 місяці тому

    Muulize alifanyaje juu y Tom nfred?

  • @shikusteve
    @shikusteve 3 місяці тому

    Just forgive Ndollo and forget just that

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 місяці тому

    Hii kucheka hii, ndolo ajaacha kitu kweli hapa?

  • @KajujuIsabella
    @KajujuIsabella 3 місяці тому

    Doctor ameongea ukweli

  • @benjuma8941
    @benjuma8941 3 місяці тому +1

    Dave why are you messing up this family of Daktari? Your greed for content is reaching a very annoying and unprofessional stage, grow up and learn some lesson and be listening.

  • @Khadija-t6r
    @Khadija-t6r 2 місяці тому

    Na watoto wenye waliua na stella pia

  • @Princessamor97
    @Princessamor97 3 місяці тому

    Dave a nasikia uchungu na gari yake

  • @tabithawanja2137
    @tabithawanja2137 3 місяці тому +1

    Wewe chari yangu dollo I need you ❤

  • @DaghyDaghy-qy3jz
    @DaghyDaghy-qy3jz 3 місяці тому +1

    Dave anatafuta content mumuwache na domo yake na proud kitamuramba tena

  • @gloriatevin2800
    @gloriatevin2800 3 місяці тому

    Huyu ndolo aende aozee jela

  • @UfJf-nw1bi
    @UfJf-nw1bi 2 місяці тому

    Hi Dave. Tuna kupenda sn

  • @JustoNyaribo-go9hp
    @JustoNyaribo-go9hp 3 місяці тому +1

    Kuna mchawi mwiñgi Jane dada brian

  • @marymutemi9863
    @marymutemi9863 3 місяці тому

    Dollo is the bright upstairs

  • @AnthonyMollel-s1x
    @AnthonyMollel-s1x 3 місяці тому

    Deve unakiherehere sana lazima ulongwe

  • @Maryndukumutua
    @Maryndukumutua 3 місяці тому +1

    God bless this team a lot of stress god give them piece of mind

  • @Kaninis3
    @Kaninis3 3 місяці тому

    Bt dave wacha kukimbilia watu waombane msamaha juu ujui roho zao ugewapea ata kama n one month ama 2mnth

  • @msoniehumbled7703
    @msoniehumbled7703 3 місяці тому

    Follow I'm so proud of you. Remember about Peter in the Bible. Alikana Yesu mala tatu but at the end of the day he became an Apostle of Christ. Na maanisha human is to human being.
    So Daktari just forgive Dollo since he’s very remorseful and God will bless y'all.

  • @kipkiruicheruiyot7684
    @kipkiruicheruiyot7684 3 місяці тому

    Dave chunga sana uyo dollo,wakati anakunywa maji Kuna vitu utupa kwa mdomo kwanza kabla akunywe maji....izo vitu ni dawa anakuroga ama kukumbaza ndo usijielewe

  • @meshackkariuki7554
    @meshackkariuki7554 3 місяці тому

    Yote kumi kama dollo anapata anacho taka ata wengine wahudumiwe bira uoga

  • @msoniehumbled7703
    @msoniehumbled7703 3 місяці тому

    Follow I'm so proud of you. Remember about Peter in the Bible. Alikana Yesu mala tatu but at the end of the day he became an Apostle of Christ. Na maanisha human is to human being.
    So Daktari just forgive Dollo since he’s very remorseful and God will bless y'all.

  • @davidsabai
    @davidsabai 3 місяці тому

    Dave huyo Dollo pamoja ni MTU mbaya Sana Tena Sana Ila linajua mengi na NI MTU anadili na makarao wakubwa na anaonekana kuwa na mtandao mkubwa pia linajua uganga na haliogopi kitu linajiamini Sana lisngalie kwa makini

  • @RhodahAbuga
    @RhodahAbuga 3 місяці тому

    God has power on every thing wote mtabadilika mmjue God

  • @msoniehumbled7703
    @msoniehumbled7703 3 місяці тому

    Daktari is talking a point. Huyu Dollo might end up being a pastor. Follow is talking with a fact.

  • @CatherineGathukumi
    @CatherineGathukumi 3 місяці тому

    Kwani ndola hakushikwa? So this dcio was faking he has come to arrest him

  • @janetMuhonja-s7v
    @janetMuhonja-s7v 3 місяці тому

    Doctor forgive Dollo ameomba musamaha usibebe dhambi zake

  • @tabithawanja2137
    @tabithawanja2137 3 місяці тому

    Iko sawa kabisa

  • @njugunamary
    @njugunamary 3 місяці тому

    This world have more creators,🤫🤫🤫🤫🤫

  • @CathrineKamuma
    @CathrineKamuma 3 місяці тому

    Ndollo ako sawa

  • @annkamau8415
    @annkamau8415 3 місяці тому

    Haki mungeshamehea dolo juu asaomba msamaha juu roho xenu mukose kumusamehe mungu asamusamehe dave bona hutaki hawa watu wamusamehe musamaha nikitu ya maana

  • @annewanjiru499
    @annewanjiru499 3 місяці тому

    Dollo is a not bad man, because he is will to forgive

  • @AnthonyMollel-s1x
    @AnthonyMollel-s1x 3 місяці тому

    Deve huna kingine zaidi ya ndolo

  • @joemoki6534
    @joemoki6534 3 місяці тому

    Dave brain ni nani

  • @Princessamor97
    @Princessamor97 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂 ndolo you will not kill me today

  • @wenslausLuvembe
    @wenslausLuvembe 3 місяці тому

    Dave unaongea sana..patia doctor nafasi pia yeye

  • @AnnNjoroge-z9s
    @AnnNjoroge-z9s 3 місяці тому

    Dave nyamaza

  • @PandukaShows
    @PandukaShows 3 місяці тому

    Daktari lips Mali ya dan

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 3 місяці тому

    Asante kuona doc ako poa

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 3 місяці тому

    Nice song by director

  • @JustoNyaribo-go9hp
    @JustoNyaribo-go9hp 3 місяці тому

    Ikosawa

  • @wenslausLuvembe
    @wenslausLuvembe 3 місяці тому +2

    Dave uko kama ndolo unaongea mingi sana

    • @Allygibison
      @Allygibison 3 місяці тому

      He’s become pathetic hakasikilizi 😂😢

  • @trizamusyoka4950
    @trizamusyoka4950 3 місяці тому

    Huyu Mzee amekapitia mungu amkubuke

  • @Isaac-ke2re
    @Isaac-ke2re 3 місяці тому

    Doc naona uko smart walai

  • @familytube2376
    @familytube2376 3 місяці тому

    Siyo jivo joo wana ambaka msamaha

  • @familytube2376
    @familytube2376 3 місяці тому

    Jifuze kuomba msamaha

  • @JustoNyaribo-go9hp
    @JustoNyaribo-go9hp 3 місяці тому

    Sauti

  • @ZainabuChepngetich-bu5ls
    @ZainabuChepngetich-bu5ls 3 місяці тому

    Napenda dollo anaomba msamaha sana

  • @AnneNgugi-g8z
    @AnneNgugi-g8z 3 місяці тому

    hy davè

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 3 місяці тому +1

    Dave punguza mdomo and give Dr chance to talk‼️

  • @joemoki6534
    @joemoki6534 3 місяці тому

    Dave brain ni nani please

  • @eyuvetkake3805
    @eyuvetkake3805 3 місяці тому +1

    Waoooo director hi5