BALAA KIKAO KIZITO CHA MANARA NA WAFANYAKAZI WAKE / MOTO UMEWAKA / VIEWS MILIONI 12 NIWAPE ZAWADI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • TAZAMA MWANZO MWISHO KIKAO CHA C E O WA MANARA TV NA WAFANYAKAZI WAKE WA MANARA TV KATIKA KUJENGA JINSI YA KUZIDI KUFANYA KAZI NZURI ZAIDI YA KUWAHABARISHA WATU NA KUSHIKA CHART ZA NAFASI ZA JUU KWENYE TOP TEN YA MEDIA ZINAZOTAZAMWA ZAIDI TANZANIA
    #manaratv #diamondplatnumz #hajimanara #manara #harmonize #zuchu

КОМЕНТАРІ • 27

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm Місяць тому

    Kazi nzurii sanaa Manara TV very Super bland in East Africa!!❤❤❤❤❤📺🙏🙏🙏🙏

  • @vinny.morales
    @vinny.morales Місяць тому +1

    Hongera sana brother Manara🎉

  • @Wallacenyusi3326
    @Wallacenyusi3326 Місяць тому +1

    Congratulations Manara tv

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 Місяць тому +3

    Walipe vizuri tu ndio dawwa ya kuwa juu

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 Місяць тому

    Hongera Chief

  • @immanuelzawadi
    @immanuelzawadi Місяць тому +1

    Saf sana brother

  • @user-jt5we5hg4v
    @user-jt5we5hg4v Місяць тому +2

    Safi manara

  • @user-mn3yd7jg3q
    @user-mn3yd7jg3q Місяць тому

    Mnajtahid ila kwa Millard ayo na wasaf mtanyoosha mikono na apo crawn inakuja

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 Місяць тому

    Grown up kwa kazi 😅😅 Tanzania mnatia aibu

  • @habari254
    @habari254 Місяць тому

    Safi sana Haji Manara !

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc Місяць тому +1

    Sasa kila taarifa Ni Manara Na zaylisa views zaongezeka vp😂

  • @giztony2009
    @giztony2009 Місяць тому

    Kila taarifa manara na zaylisaaa

  • @GeorgeKomba-lr9ss
    @GeorgeKomba-lr9ss Місяць тому

    Jibu swali...maelezo meeeengiiiiii

  • @alkhudhertarek976
    @alkhudhertarek976 Місяць тому

    Mambo yakukombezwa km ayo ndo siyapendag

  • @bernadking3835
    @bernadking3835 Місяць тому +1

    Kumbe kuhangaika kote na zai anatafuta views 😂😂😂😂

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b Місяць тому

    Bila kuizungumzasimba mjini utapakimbia uliambiwa ukweli ukajizimadata leo weye umeitaja maana bilahivo umekwisha

  • @mandujaro
    @mandujaro Місяць тому

    Me nakuunga mkono kwa juhudi zako tu za kupambana hongera ila unanikera pale wana simba unapotuzodoa 😂😂

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 Місяць тому

    Nzia no. 4 inawezekana ila hiyo 1 mnahitaji miaka 10 na wengine labda waache kufanya kazi mwa weledi.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Місяць тому

    MZEE MAGOMA KASEMA UKWELI WEWE NIMDUDU LIALIA UNAIPENDA SANA SIMBA😂😂😂😂😂

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 Місяць тому

    its official thingss sio kila kitu watizamaji tujue mnato siri ya kambi its unfair and unproffesional labda kama ni waandish uchwara mi na diploma au degree yangu ya journalism nakuachia office yako..upuuzi

  • @atoshortsx
    @atoshortsx Місяць тому

    Shingapi😂youtube inawaingizia?

  • @allylibaku5233
    @allylibaku5233 Місяць тому

    nyie viazi boss nachotaka kujua kuanzia tareh moja ad 16

    • @BestLife486
      @BestLife486 Місяць тому

      Amna kitu wanajua wote hao hahaha

  • @fridayjkajange1247
    @fridayjkajange1247 Місяць тому

    😂😂

  • @bernadking3835
    @bernadking3835 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Місяць тому

    😂😂😂😂

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger Місяць тому

    APO KWENYE UA-cam MMETUKATA MAMAMAMAE