Unacholisema ni kweli,wachezaji ndiyo hawahawa wamekuwa wakitupa furaha.HONGERENI WACHEZAJI WETU,TUNAWAPENDA SANA WACHEZAJI WETU.TULIENI MSIWE NA HOFU MECHI BADO NYINGI SANA,POLENI KWA KAZI MLIYOIFANYA💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💛💛
Mpira kufungwa ni sehemu ya mchezo, na dakika 90 ndizo zinazoamua mshabiki wa kweli ni yule anayeishi na kupokea matokeo ya aina ye yote upo vzr kaka yanga bado ni boraaaaaa na maajabu yapooooo bado ni asubuhi sanaaaaaaaaaaaa
USHAURI WANGU MIMI MCHUNGAJI ISAAC LUCAS MBAGO KWA WANANCHI WENZANGU! TUTULIE KWANI UBINGWA NI WETU NA TUSI ANZE KUJI GAWA MAPEMA, KWA MARA YA TATU: LAZIMA KI ELEWEKE NA HATUTA KUBALI NA TWENDE KWA KUWA HESHIMU WAPINZANI WETU, NA TUCHEZE SOKA LA KASI
Timu haina nidhamu ! Angalia tu ata jana yani unaona kabisa wamezalau mechi alaf kadili y muda unavyokwenda wanaamin et hawa tutawafunga tu hahaha 🤣 ! ila ngoja tuone ya mbelen
Ni kweli kabisa tuwe na mshikamano,Yanga OYEEEEE 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Umeongea point kaka daima mbele nyuma mwiko❤❤❤❤
Wewe kijana mashallah upo vizuri kwakweli unafaa sana
Umesema kweli bro
Uko sahihi mwana yanga shikamane kabisa
Unacholisema ni kweli,wachezaji ndiyo hawahawa wamekuwa wakitupa furaha.HONGERENI WACHEZAJI WETU,TUNAWAPENDA SANA WACHEZAJI WETU.TULIENI MSIWE NA HOFU MECHI BADO NYINGI SANA,POLENI KWA KAZI MLIYOIFANYA💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💛💛
Umeongea point kaka....
Verry goood nimeipenda hii yanga moja mbele daima nyuma mwiko
Mpira kufungwa ni sehemu ya mchezo, na dakika 90 ndizo zinazoamua mshabiki wa kweli ni yule anayeishi na kupokea matokeo ya aina ye yote upo vzr kaka yanga bado ni boraaaaaa na maajabu yapooooo bado ni asubuhi sanaaaaaaaaaaaa
Ni kweli saiv tuungane tuwape moyo wachezaji wetu ligi bado madhaifu yaliopo nadhani viongoz wameyaona watayafanyia kazi daima mbele nyuma mwikoooooo 💚💛
Daima mbele nyuma Mwiko tuko pamoja 💚💛💚💛💪💪
Mm nipo cape Town hapa Asante Sana brother wewe ni mtukweli mm naipendasana yanga
ukosawa kamandaaa na tuko pamoja yangaa oyeeee
Big up bro
Huyu shabiki wa kweli kama mimi. .Madrid wamefungwa na Barcelona 4-0 na bado wameshikamana
Yanga foreverrr umoja ni nguvu💚💚💚💚💚✅✅✅
Sawa kabisa
Safi Sana kijana,Mungu azidi kukupa Moyo wa hivyo! Hongera na Yanga yetu lazima irudi kwenye mstari wake mzuri
Tabora?
Unajuwa kuongea vizuri naipenda yanga shabiki wa damu💚💛
Safi sana wanayanga nawakubari ingekua wale wengine marusi balaa
Pamoja sana big up 🎉🎉🎉🎉 daima mbele nyuma mwiko
Cc ni yanga nawachezaji ni wetu natunawapenda sana naubingwa tutawachukuwa💚💛
Herri wetu tunampenda na tunatamba nae mwana yanga anaejielewa kijana mdogo maarifa mengi uyu unatakiwa uwe una muhoji daily ❤
Wakumbuke Ihefu ilitupiga wakabeba ndoo tena redkadi majeruhi ulinzi watarudi siku chache
Wanayanga hongereni sana
Uko sawa br
Safi sanaaaaa uko sahihi kaka
Umenena vyema katibu wa kahawa
Cha msingi tushilikiane kuwapa moyo wachezaji wetu siyo kuwakatisha Tamaa , yanga mbele nyuma mwiko
Safi Sana bro tupo pamoja Mimi yanga kindaki ndaki mpk card ninayo🇬🇷🇬🇷🇹🇿
Asante baba mwenye akili lazima amekuelewa aso nazo ndo kama kolo wakidungwa wantaka kuhama nchi
Uko vizuri sana ndg tupo pamoja
Big up sanaaa wana YANGA baabkubwa
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🥰🥰🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥
USHAURI WANGU MIMI MCHUNGAJI ISAAC LUCAS MBAGO KWA WANANCHI WENZANGU! TUTULIE KWANI UBINGWA NI WETU NA TUSI ANZE KUJI GAWA MAPEMA, KWA MARA YA TATU: LAZIMA KI ELEWEKE NA HATUTA KUBALI NA TWENDE KWA KUWA HESHIMU WAPINZANI WETU, NA TUCHEZE SOKA LA KASI
For sure tunatakiwa kuungana
UNAAKILI SANA ASANTE SANA KWA UKOMAVU MKUBWA
Safiiiiii sana tupo pamoja💛💚💛💚💛💚
Mwacheni kocha wetu ni hao waliokoswa na Mashujaa Hadi dk 1 nyongeza
Mnajitambua sana
Iyo powa sana wananchi
Huyoo mwandishii nae mwehuu panya road
Simba watashuka tuu namba tatu yao
Kweli brow
Safiii xana kijana
Ingrkuwa Sim a ndo kavungwa wangesha hamia Sishel😂😂😂😂
Tupo pamoja nyuma mwiko
mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri umeongea ukweri kamada wetu uko sawa kabisa tuko pamoja
Pamojaaaa sanaaaaasa daima nbmele nyuma mwikoooooooooooooooo wanao shangilia tuliwapiga 5 hataleo washangilie lakini mikia hawana akili tuta wapasua Tena
Hafadhali mmelijua hilo kuwa hakuna wa kumlaumu huo ndio uwezo wa timu na Viongozi kwa sasa. Muendelee hivi hivi kuwa hakuna tatizo😂😂😂😂
wew dogo nipe namb zako upate haki yako
UTOPOLO mnajitekenya na kucheka wenyew 😂😂😂 lkn kipigo kinaendelea, SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪 na ubaya ubwela ❤️💯❤️
Du Yanga timu kubwa hitetereki hata ikifungwa
Tutaumia pamoja na tutafurihi pamoja
Timu yetu niyawatu wenye akiili timamu sio ya wahinii hatuandamani, hatuweki ahadi kuvunja viti wala kuhama ligi na ubigwa
Kujifariji,muhimu,wanga,africa
Fact
Hao waandishi wauliza maswali ya kishabiki mwambie huyo mwandishi uchwala yanga hatufanani na Simba wanaopaniki wakifungwa na kufukuza makocha
Kweli mshikano ndio nguzo yetu
Mbona kama mnalazimishana hamna furaha?
yanga oyeeeeeeee achaneni na hao madunduka wanaoshangilia mpaka wengine wamevunjika minguu na boda uko iringa saivi wanaugulia maumivu
Saaaaan
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
umesema ukweli wanainch tuwekitu kimoja
Mke aliyekuzalia mtoto rais halafu akizaa kilema unfukuza??
Mnajipa moyo NYIE wabovu
Endelea kuficha uozo utakatwa mguu
Nimekuelewa sana wewe ni shujaa sana ndio mpira wamejua kuwa nyuma hakuna beki wakatumia njia iyo
Tupopamoja sana
Umeongea vema
Pamoja saaaaan🎉🎉🎉🎉
Wanya supu haoo
Unae sema timu haina ni dhamu, je wewe unayo?? Kaa kimya
Timu haina nidhamu ! Angalia tu ata jana yani unaona kabisa wamezalau mechi alaf kadili y muda unavyokwenda wanaamin et hawa tutawafunga tu hahaha 🤣 ! ila ngoja tuone ya mbelen
😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu
Tukopamoja
wew dogo nipe namb zako upate haki yako