Yaani 4 ever bwana misosi huna baya kipindi hcho chanelten kuna kipindi kinaitwa mziki moto moto dah watapiga nyimbo zote nikizikosa za bwana misosi nakuwa bowad sana one love brada
Nani anakumbuka EATV na STAR TV kuanzia saa 9(Tisa) mpaka saa 10(kumi) zinapigwa ngoma za Bongoflava Tu. Iyo Intro tu ilikuwa sio poua aisee daah good old days 2000’s
Misosi alikua kichwa kinoma sana kipindi hicho mungu akubariki sana bro
Sheria itungwe wakongwe mripwe mafao yenu mritisha sana amapyaaono mnasiki vitu ivii
OG bongo fleva... Bwana misosi hongera kwa hii kazi nzuri bado inaishi mpaka leo 2024
hatari
ROY MADE IT
Dadeki huu wimbo niliutafta kinoma ujue. nakumbuka Enzi zangu za utoto😢😢
Amini misosi ilikua kichwa kingine
Yaani 4 ever bwana misosi huna baya kipindi hcho chanelten kuna kipindi kinaitwa mziki moto moto dah watapiga nyimbo zote nikizikosa za bwana misosi nakuwa bowad sana one love brada
Bwana misos fundii mmoja iv mkali sanaa
Daaaah nakubali Sana hii kazi kitambo mpaka sasa
Huu wimbo naupenda sana, sichoki kuusikiliza
Safi sana..... Bw Misosi flow na mistari ya maana halafu Sumalee vocals balaa.....
Mipango ya Mungu tu lakini Sumalee kwa sauti hata Chibu haingii
19.10.2024 tulikotoka mbali xana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Madini yalikuwa mengi sana kwa wasanii wakongwe, Heshima kwenu @BwanaMisosi.
Asante sana 🙏
Wakongwe ndio waliimba
Nani anakumbuka EATV na STAR TV kuanzia saa 9(Tisa) mpaka saa 10(kumi) zinapigwa ngoma za Bongoflava Tu.
Iyo Intro tu ilikuwa sio poua aisee daah good old days 2000’s
Noma hiyo mzee,nakumbuka old sklool.😊
Bwana msosi babu rudi kwenye suma lee alikua anaua sana kwenye kiitikio
Nani ako apa 2023... Ngoma kali hii
G 2 records....rip Loy
Zamani ndio Kuna nyimbo sio sasa hv wanainba mabata madogo madogo
Hii ngoma ni mwoutwoo 🔥
Heshimaa kwenuuuuu mjii hata mikoanii basii. Morogoro msitusahauu
UNAISKIA HIYO TEGA SIKIO KWA MAKINI AU VIPI.....
Hatar still naisikiliza
Nikiangalia kosota inapolipa wasanii ishu ilianzia hapa hongera misosi ulitoa mtazamo wa wazi Sana thanks bro
Safari ni ndefu
These jams were like in the late 2000's
Daaah👊👊👊👊
No wonder kwa phone yangu nimejaza old school
Karibu tena kwenye game
Nimekumbuka 😢
Kakaaaa,
fire fire fire!!
Long time ago
💯🔥
@@bwanamisosiHatarii Sana..Respect na Upendo kutoka Zambia🇿🇲