Siku zote nasemaga sifa ya mwanamke ni hekima busara na msimamo na sio maumbile au sura huyu dada ni muwazi na mpenda amani lkn ndo hvo anaetafuta hapati mtu sahihi na anaepata haoni km kapata mtu sahihi ndo dimond na zari iko hvo ila kapata sasa mtu wa maisha yake dimond atulize komwe ataxhezea hao sio zari huyu dada alihitaji apate mtu wa kumuongoza maana anajielewa na mungu atamsimamia zaid afuate ktk misingi ya dini yke kashapata stara azini ana mume wake harandi mengine ni kumuombea kwa Allah tu❤❤❤
Nikwanamke ambae anahekima sana sana na sikuwai shuhudia mwanamke mwenye hekima kama huyu na nimwanamke mwenye kujielewa na anaejua kujieleza sana sana!!!alafu ni muwazi sana sana,wanawake wenge jifunzeni kwa huyu mwanamama.
Sioni chakujifunza kwake labda kulea watoto peke yake ndy nitajifunza lkn adabu hana wala heshima mbele ya watoto wake anatoka na vitoto akiwa uchi anachezewa kwenye swimming live wee hapana
Aamiin Imenifariji saana ,Allah amfungulie zaidi ili aiishi Qur'an kwa kuielewa maana na kujiepusha na yaliokatazwa na kuyadumisha yalio mema na kuwa miongoni mwa waja wema hapa duniani na waja wema akhera Aamiin... awafundishe na kuwarithisha wanawe na kizazi chake AAMIIN 🤲🏻
Zari una akili umefanya makosa kuwa na Diamond! Diamond hana hekima na hana heshima. Yeye kwa nini anamuongelea Zari kwa mwanamke mwingine! Zari you are a star ⭐️
Tatizo sio lake Allah ashatuambia mwanamke ana chochote mbele ya mwanamme ni ujinga tu walionao na kujiona wao wajanja wanaweza kila ki2 wengine c unawaona kwenye mitandaoni wanalia amonize kawakusanya.
@@hajjiomary2383 wewe naye ni wewe ni tombombo limbukeni, ‘’ eti mwanamke yuko chini ya mwanaume ns kasema? Hiyo mawazo ni ya matombombo kama wewe! Round tupishe ukoo!
Hata yule anayekubali diamond kuongelea juu ya mama tiffah hayuko kamili sababu mbona zari na ametembea na wake wangapi???na kati ya wale wake nani ajielewa hata zaidi ya diamond mwenyewe???
Wacha wakuponde zari mm nakupenda sana kiukweli❤❤❤yaani wacha wakwite bibi au Babu lakini wakubali wakatae wewe ni mfano wa wanawake upo vizuli na na ni mzuli mashalla nasema tena nakupenda sana zarine🥰👄💋🫦💄
Zari nampenda. Huwa ana deal vizuri na situation. Point zake anazi raise vizuri. She reminds of myself. Lakini ananikera pale anapojigamba mimi tajiri wakati ugomvi haukuwa wa tajiri au maskini. Na kutukana watanzania hapo ndo namchukia. Kawatukana sana na kuwadharau watanzania . Lakini vinginevyo nampenda tuu
Karibu Zari tunakupenda . Jiadhali tu na familia ya mashetani maana huyo diamond anataka akuharibie ndoa . Sisi tunakupenda na mwambie mmeo tunampenda .
Kwa wale walotembea sana na kukubwa nawanawake wenye akili tofauti ,lazima wakubali kwamba huyu nimwanamke wa aina yake namwenye uwezo wa akili na utulivu wa akili .na nimwanamke anaependa watoto wake sana ,wape wanawake wanaopenda wanaume kuliko watoto waliowazaa ,wapo tar kutelekeza watoto na kwenda kwa wanaume wengine.narudia huyu nimwanamke wa aina yake,sio kwasababu anahela nonono wapo wenye hela na wanatelekeza watoto na hawapendi watoto,huyu nimwanamke wa aina yake cv ya zari inamfanya apendwe na wengui awe mwanaume au mwanamke mwenzake Hongera Zari.
@@annasolomon9855 wee mpuuzi na huna haya wala hujui vibaya haya mwenda uchi huyo na Qur'an wapi na wapi katumia tu kwa kuwa watu wanafanya kaogopa kutaja mahari akachambwa unakasirika nini na mtu mwema huonekana na mbaya kwa matendo
Alaf waja musikaae kuhukumu watu unaweza ukajiifadh kumbe kwaajir tu y waja wanao kutizama n ukawa n mambo y kishetan kuna wat weng wanavaa nkabu kw ajir y watu n sio mungu unavaa nkabu n unaingia gest. Jaman tuache ukumu watu kila mtu anachohtaj kaona kipo sahh kwake.
Anayemuelewa huyu dada gonga like hapa ! I like you mama tiffa ❤
I just admire her n how she is matured to understand things.. big up zarina🎉❤
Wabongo mnapata nguvu ya kumchukia huyu mwanamke wapi?
She's so great and such a vibe.
Wamwache huyu mama aishi maisha yake,ana kila kitu anawazidi sana ndo maana wanamnanga,mi naona she is a good woman bana.
Well spoken na anajielewa wangejifunza kutoka kwake sio kumponda na anawapenda wabongo anawapa nafasi ya maswali so professional
Lol
Anajielewa mno kwa kiaso ambacho watu wengi wana akili ndogo hawawezi kumuelewa
Cku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
Zari you a wonderful woman full of confidence and you have golden heart ❤️
Zari si Phenomenal. I love her too bits❤❤❤
Yaan hata ukiwa na mabaya hekima inakufunika your so good woman ❤❤❤❤
I just love Zari ❤ much love from Kenya 🇰🇪
Mama tee akeee ❤❤❤❤❤ mwanamke anayejiamini na kujipenda maashaallah
Zari always beautiful
Very happy ♥️♥️♥️🌹🌹 nakupenda sana Zarinah una hekima Sana na busara
She's pretty, love her ❤
Zari uko vizuri nakupenda sana huna majivuno km wabongo m
Wow,,, Qurani I like that wapi likes za the boss lady we r islam watching from Ethiopia
Siku zote nasemaga sifa ya mwanamke ni hekima busara na msimamo na sio maumbile au sura huyu dada ni muwazi na mpenda amani lkn ndo hvo anaetafuta hapati mtu sahihi na anaepata haoni km kapata mtu sahihi ndo dimond na zari iko hvo ila kapata sasa mtu wa maisha yake dimond atulize komwe ataxhezea hao sio zari huyu dada alihitaji apate mtu wa kumuongoza maana anajielewa na mungu atamsimamia zaid afuate ktk misingi ya dini yke kashapata stara azini ana mume wake harandi mengine ni kumuombea kwa Allah tu❤❤❤
Maashaallah Qur-an tunaipenda..na tutazidi kuipenda...pia dada yetu Zari tunakupenda
Zari the boss lady nakukubali Sana ur blessed
Zari Your my role model....Nakupenda
MashAllah my darlings zari and shakib may Almighty Allah bless you both barakalah feek
Nikwanamke ambae anahekima sana sana na sikuwai shuhudia mwanamke mwenye hekima kama huyu na nimwanamke mwenye kujielewa na anaejua kujieleza sana sana!!!alafu ni muwazi sana sana,wanawake wenge jifunzeni kwa huyu mwanamama.
Kabisa
Well said ndomana wanamchukua yeye wanawacha wa kibongo
Hujawahi ona mwanamke mwenye hekima kama huyu among the celebrity ama wanawake wote?
Hakuna M/ke mwnye Hekima Kwangu mm zaid ya Mama yngu Mzazi Alhamdulillah
Sioni chakujifunza kwake labda kulea watoto peke yake ndy nitajifunza lkn adabu hana wala heshima mbele ya watoto wake anatoka na vitoto akiwa uchi anachezewa kwenye swimming live wee hapana
Kwa kitendo Cha kuiheshimu Quran mungu akupe jambo kubwa zaidi duniani na akhera mama TIFFA
Aamiin Imenifariji saana ,Allah amfungulie zaidi ili aiishi Qur'an kwa kuielewa maana na kujiepusha na yaliokatazwa na kuyadumisha yalio mema na kuwa miongoni mwa waja wema hapa duniani na waja wema akhera Aamiin... awafundishe na kuwarithisha wanawe na kizazi chake AAMIIN 🤲🏻
BIG BOSS wangu naomba mahari yangu iwe Quran ❤
Hahahahah Mimi na wewe tena 🤣 ukitaka msafahu inshallah utakuta nimekuwekea dollari katikati ya masahafu Kwa MAPENZI yangu inshallah ♥️♥️♥️♥️
Kutaka quran na huisoma bc😂😂😂
@@ngumbaohalimah65 naisoma my wangu
Kiswahili ya Zari is very improving Yan, good gal, good mama
She's so lovely 😍 mashallah
Fantastic, yuko poa na anajieleza vizuri 🥰🥰🥰
Zari wewe ni mwanamke mzuri wa sura mpaka moyo Munqu akutunze MAMA
Mama tee love ming ming guys nampemd huyu mwanamke ❤
Zari una akili umefanya makosa kuwa na Diamond! Diamond hana hekima na hana heshima. Yeye kwa nini anamuongelea Zari kwa mwanamke mwingine! Zari you are a star ⭐️
Kojoa ulale
Tatizo sio lake Allah ashatuambia mwanamke ana chochote mbele ya mwanamme ni ujinga tu walionao na kujiona wao wajanja wanaweza kila ki2 wengine c unawaona kwenye mitandaoni wanalia amonize kawakusanya.
@@hajjiomary2383 wewe naye ni wewe ni tombombo limbukeni, ‘’ eti mwanamke yuko chini ya mwanaume ns kasema? Hiyo mawazo ni ya matombombo kama wewe! Round tupishe ukoo!
Hata yule anayekubali diamond kuongelea juu ya mama tiffah hayuko kamili sababu mbona zari na ametembea na wake wangapi???na kati ya wale wake nani ajielewa hata zaidi ya diamond mwenyewe???
waohhhhh love unahekima Sanaa zarii nakupendaa
In shaa Allah hio quran itakuongoza katika njia ya Allah my sister in faith
I like all of her. Confidence and everything
❤️❤️🥰😍😍huyu lady ni mwelewa afu mrembo
Uyu ni mwanamke na nusu ❤❤❤❤❤❤❤
Duuh zari mwanamke confidence nyingi nimekupenda bure.
Wow zari nimependa ulivyo ongea❤
Masha Allah chochote unachofanya lkn bado unakaa na dini yako Allah akulinde kwa ilo
Zari is a mature and sensible woman. I like her alot.
Ila Zari anajua kujibu maswali na confidence
Zari ndagukunda cyane ❤guhura nawe byaba ar impano ikomeye kuri jye
Wacha wakuponde zari mm nakupenda sana kiukweli❤❤❤yaani wacha wakwite bibi au Babu lakini wakubali wakatae wewe ni mfano wa wanawake upo vizuli na na ni mzuli mashalla nasema tena nakupenda sana zarine🥰👄💋🫦💄
Nampenda sana Zari
Zari nampenda. Huwa ana deal vizuri na situation. Point zake anazi raise vizuri. She reminds of myself. Lakini ananikera pale anapojigamba mimi tajiri wakati ugomvi haukuwa wa tajiri au maskini. Na kutukana watanzania hapo ndo namchukia. Kawatukana sana na kuwadharau watanzania . Lakini vinginevyo nampenda tuu
Kabsaa we km mi
Mbona hatukani wakenya ama wacongo
Siku hizi nakupenda Zari unaongea kiutu uzima ss Congratulations
True Mama tii self-confidence,,,swali na jibu lake hapo hapo sio kesho,,,👍
Zara I love you 🥰🙏 God bless you
Nakupenda sana Zali nawanao muheshim mmeo acana namaneno yawatu maneno alikuepo kabla hujazalia nayatakuapo baada yakuzalia ❤
Dada yule mondi ni mshamba wa mapenzi Tena limbukeni wa mapenzi hajitambui kabisa
I love you my Zari ❤
nampenda zari jamanii❤❤
Anayemchukia ana yake she is very smart❤❤
Pamoja na mizambi Zambi zangu kwa hili lakuomba Quran kama Mahali yako nimekupenda nakukuheshimu sana
Nimeipenda comment
Ameomba cz anajua mume hana kaz,sio kwa ajil ya din
@@nasrafarjallah6691 😁😁 hakuna mume hapo wala nini wala ndoa hakuna hapo blabla tu na kijana yake umri sw na mwanawe pinto😁😁😁
@Sherypha hiyo ipo kwenye kichwa chako ila yeye anajulikana kama mke wake kwa hiyo hakuna utakalosema likabadilisha uhalisia wa maisha yake
Hypocrisy
Masha allaah zar nakupenda sana❤❤❤❤❤❤
Allah akufungie uifate hio Qur'an
Ameongea point, kwel kama pesa anazo maisha mazur pia ....ni vyema kamkumbuka Mungu
Uyu dem yupo vizur sana pc za bongo mjifunze kitu na mtafute hela
Zarinah 👑 👏👏👏
I think he truly 💕 her.
Zari nampenda jamn
Ni mume mungine au kila siku wanaolewa
Yaani Diamond anakana zuchu Internationally 😅😅😅😅....beautiful zari .its good you moved on.
She didn't she still have feelings for diamond
Zari yuwajielewa saana hata kama
You lots will be fine,you can see the love she is getting. She will be in his life forever, same him nothing you witches can do about it
Zari is another level 👏
Karibu Zari tunakupenda . Jiadhali tu na familia ya mashetani maana huyo diamond anataka akuharibie ndoa . Sisi tunakupenda na mwambie mmeo tunampenda .
Pig up Zari,uko vizuri hadi raha Nakupenda sana
Beautiful queen 👸 ❤❤
Wabongo mnamshobokea zari sana,if she was in Kenya no body will bother about her.
Kwa wale walotembea sana na kukubwa nawanawake wenye akili tofauti ,lazima wakubali kwamba huyu nimwanamke wa aina yake namwenye uwezo wa akili na utulivu wa akili .na nimwanamke anaependa watoto wake sana ,wape wanawake wanaopenda wanaume kuliko watoto waliowazaa ,wapo tar kutelekeza watoto na kwenda kwa wanaume wengine.narudia huyu nimwanamke wa aina yake,sio kwasababu anahela nonono wapo wenye hela na wanatelekeza watoto na hawapendi watoto,huyu nimwanamke wa aina yake cv ya zari inamfanya apendwe na wengui awe mwanaume au mwanamke mwenzake
Hongera Zari.
Wa aina yake kwako na kwa upeo wako ila hana maajabu yeyote , mwanamke wenye hekima hawezi kuwa anashinda kwenye mitandao kuongea ujinga
Unaandika message ndefu unasifia malaya
@@ericron6115 malaya mwenzako
@@jasmineshechambo3401 wewe dada mbona unanitusi?
Karibu sana, Nakupenda tu bure mama Tee❤
Yule nasibu sidhani km atakuja pata mwamamke mwenye akili km huyu
zari is the best 🥰
Mahali nzur sanaaa zari Maa Shaa Allah ❤❤❤
Kwenye mahari yako umeomba kitu cha samani sana na ingelikuwa vizuri akufundishe nayo ingelikuwa bora zaidi kwenye maisha yenu
Cha thamani lakini anaijua thamani yakeee Wa kudai Qur'an sio hawa ni maneno tu
@@sabihaibrahim143 peleka Kule Mungu hatoki kijijini kwenu .. we kanani unayemuhukumu Zari acha apambane na Mungu sio wew
@@annasolomon9855 wee mpuuzi na huna haya wala hujui vibaya haya mwenda uchi huyo na Qur'an wapi na wapi katumia tu kwa kuwa watu wanafanya kaogopa kutaja mahari akachambwa unakasirika nini na mtu mwema huonekana na mbaya kwa matendo
Alaf waja musikaae kuhukumu watu unaweza ukajiifadh kumbe kwaajir tu y waja wanao kutizama n ukawa n mambo y kishetan kuna wat weng wanavaa nkabu kw ajir y watu n sio mungu unavaa nkabu n unaingia gest. Jaman tuache ukumu watu kila mtu anachohtaj kaona kipo sahh kwake.
@@ashamaneno9819 nasema hivii hatujahukumu ila ukimuona vipi anaendana na amri za Allah sema kweli usiwe mnafiki
❤ ilove mwanamke jasili sana ,unaangalia mbele na sio nyuma
You are so mature and sensible woman😊
Of couse Zari she is just a wise woman, confident and always speak the truth yea she is good.
Zarii I love you more i need to see you one day 😢😢please i m Burundias
MashaaAllah,may Allah bless you,
Alhmdhullah are me nimeolewa n quran 🙏🙏🙏🙏ila uyo mume wngu amebdlika yuaskiza mambo ya fmly yk😢😢😢😢Kisa sijapta watto😢😢😢
Allah yupo pamoja nawewe, anaskia kiliochako. Utapata mtoto ishaallah
Zari uour a Supper Woman, nampenda Zari for sire
Zari upo safi sana
hongera sana zar mung ailinde ndoa yenu kikubwa sasa ni mke halal na huko kweny furaha
Jazakallah khair mama Tee umeheshimu na kujua thamani ya Quran tukufu Allah akutangulie
Mashaalah zari ni kweli umebarikiwa
Pendeza mama tiffa 💚💙🧡
Gorgeous women ❤️ 🇷🇼
We love you mam Tee
Zari zari zari❤🎉
Nakupenda sana zari jeshi la mtu mmoja
😂😂😂😂Aki wew zari🥰🥰
Huyo malaya Diamond mutoto wa barabanie aheshimu zari ni maman anajiheshemu mwenyewe .
Zari nakupenda Sana ila kwa haka kashemeji hapana sijafurahishwa jamani jamani ila unabusara wewe mwannamke
Uko vizuri sana mama T nakupenda bure
This was cool
Mansh Allah Kumbe uko mwanamk mwenye hekimya zake nakupend dda yang
Huyo mume Wake zariiii hachekiiii kanuna ata smile hatuoni kama Terminator
Mashallah, Nimekupenda bure zar, Mahari Quru'an Mashallah, Mashallah.
Maskin diamond kiroho kitakuwa kinamuuma
Yani zari unajielewa sana❤❤❤
Mama Tee, you are the best🎉...
Nakupenda mama t
Live your life mama Tiffah
I LOVE YOU VERY MUCH 😍😍😍😍
Ana busara sana huyu dada
Mashaallah zari Allah akuzindishie
Mungu amekubariki lakini kifo kipo karibu na hizo pesa hazitokuzika endapo utatubu basi Allah atakuwa pamoja nawe
Qur an
Maa Shaa Allah😢
Wow
Nimependa hapo aliposema really 😂 nakupenda zari