Mzee Masatu asiwadanganye watu,Kagere alifunga magoli 23,kisha 22,hajawahi kufunga 26,ni Mohammed Mmachinga tu aliyefunga magoli 26 hapa Tanzania na hajatokea wa kuvunja hiyo rekodi
Huyo mzee ni tafsiri sahihi ya mashabiki wa simba! Mashabiki wa simba wa IQ ndogo sana,subira hawana! Huyo mzee mtu mzima anashindwa kutumia busara asubuli mwenzake amalize kuongea kisha aongee yeye ila anapiga makelele kipindi mwenzake bado anaendelea kuongea! Simba ni takataka kwenye hii nchi!!!🚮🚮🚮
Ukitazama Haya Mazungumzo Kwa Umakini ndio utajua kwamba sisi hatujui Nini Maana ya Uwanachama Jambo LA kwanza hizi timu zinatakiwa kutoa Elimu Sana Kwa Mashabiki na Wanachama kulipa Ada zao na wengi ni Mashabiki hata Kadi hawana
Kagere hajawahi kufikia goli 26 alifuka 22 na mara ya pili alifika 20.Hiyo 26 ni record ya Mwamedi Hussein Mmachinga haijafikiwa.
Hakuna alomfikia mmachinga
Sio kweli tambwe Alisha kuwa mfungaji bora mara mbili mfululizo
Mzee Masatu asiwadanganye watu,Kagere alifunga magoli 23,kisha 22,hajawahi kufunga 26,ni Mohammed Mmachinga tu aliyefunga magoli 26 hapa Tanzania na hajatokea wa kuvunja hiyo rekodi
Umemsahau Chinga one
26 ni Mohamed HUSSEIN TU
MASATU HUNGERA KWA USTAARABU
Huyu Mzee Saidi akutanishwe na Mzee mpili.Itakuwa mechi nzuri sanà.
Dosa mi nilikua sija kusikia sana kumbe unajua sana hongera
iyokahawa inaonywewaapo kwani ivi inalevya.?
Nahasa wanadimba, walio wengi nimashabiki mandazi
Huyo mzee ni tafsiri sahihi ya mashabiki wa simba! Mashabiki wa simba wa IQ ndogo sana,subira hawana! Huyo mzee mtu mzima anashindwa kutumia busara asubuli mwenzake amalize kuongea kisha aongee yeye ila anapiga makelele kipindi mwenzake bado anaendelea kuongea! Simba ni takataka kwenye hii nchi!!!🚮🚮🚮
Ukitazama Haya Mazungumzo Kwa Umakini ndio utajua kwamba sisi hatujui Nini
Maana ya Uwanachama Jambo LA kwanza hizi timu zinatakiwa kutoa Elimu Sana Kwa Mashabiki na Wanachama kulipa Ada zao na wengi ni Mashabiki hata Kadi hawana