NABII (S.W.A) ATAKAPOUOMBEA ULIMWENGU SIKU YA QIYAMA. SHK MOHAMMED ISMAIL BAYIRE . SEHEMU YA PILI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @leylam2121
    @leylam2121 Рік тому +2

    Mashallah allah amrehemu uyu shekhe

  • @salimbiaisha6466
    @salimbiaisha6466 3 роки тому +2

    Masha Allah. Mola akulipe mema Duniani na Akhera Sheikh wetu Kwa kutuelimisha

  • @jamalmohammed5309
    @jamalmohammed5309 5 місяців тому

    Mimi Kati ya Rafiki zake nafurahi ako Jannah lakini bado najiuliza walio muua Kwa sumu walipata faida ngani hata saa hii Nalia Ismail Mungu akupe jannatul fardaus

  • @shomarigongo4894
    @shomarigongo4894 10 місяців тому

    Allah nakuomba lijalie kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja vya peponi,muondolee adhabu ya kaburi na siku kiyama muingize katika pepo ya firdaus kwa Rehema za YARABI

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 2 роки тому

    Mashallah mashallah mashallah

  • @mkongomanidrc849
    @mkongomanidrc849 2 роки тому +1

    Mash'Allah ❤️🙏🤲

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 3 роки тому +3

    Maashaallah

  • @masoudidadi7369
    @masoudidadi7369 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @IsmailMasule
    @IsmailMasule Рік тому +1

    Alisha fariki Allah amrehemu

    • @yaedlifemedia3203
      @yaedlifemedia3203 Рік тому

      Neema na amani zimshukie juu yake ALLAH AMJAALIE PEPO DARAJA LA JUU AWE PAMOJA NA MTUME WETU MOHAMMED SWALALLAHU ALEY WASALAM ❤❤❤❤

  • @kadoditsa3805
    @kadoditsa3805 3 роки тому +2

    Assalaamu aleikum .... tafadhali.. upload mawaidha nyingi za huyu sheikh ... tafadhaliiii... Allah amrahamu shekhe wetu

  • @kanyamugengemoussa987
    @kanyamugengemoussa987 3 роки тому

    Man Shaa Allah

  • @shomarigongo4894
    @shomarigongo4894 10 місяців тому

    Siku ya kiyama muingize katika pepo ya Firdaus kwa Rehema zako YARABI

  • @jamalmohammed5309
    @jamalmohammed5309 5 місяців тому

    Suleiman huyu sheikh Ismail bayre alipewa sumu Morocco akarudi akiwa mngonjwa kwao Congo akafariki akazikwa Congo tulikuwa tukienda msikiti pamoja Jannah my friend

    • @kassimualli1755
      @kassimualli1755 2 дні тому

      Kazikwa makaburi ya kisutu dar e salaam

    • @jamalmohammed5309
      @jamalmohammed5309 2 дні тому

      @kassimualli1755 ni kweli bro mungu ampe jannah sheikh Mohammed

  • @suleimanalriyami7002
    @suleimanalriyami7002 2 роки тому

    Awtw

  • @suleimanalriyami7002
    @suleimanalriyami7002 2 роки тому +1

    Jamani naulizia huyu sheikh bado yupo hai au ameshafariki na kama yuko hai wapi anaishi ???

    • @omarymakange8449
      @omarymakange8449 2 роки тому

      Ameshafarikii

    • @mamkhan970
      @mamkhan970 Рік тому +1

      Amefariki mda sana na inasemekna kabri lake limepotea alijulkn lilipo kwa mujibu wa mdogo sheikh juma Bayle

    • @shafihkhalfan9886
      @shafihkhalfan9886 Рік тому

      ​@@mamkhan970 sio kweli kabri ya sheikh Mohammad Ismail bayile ipo katika makaburi ya kisutu katikati ya jiji la Dar es salaam

    • @shafihkhalfan9886
      @shafihkhalfan9886 Рік тому

      @@alijuma80 2001

    • @ShurayfuHamiss
      @ShurayfuHamiss Рік тому

      Amefariki tumuombee mungu