Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
mm namkubali sana kim😊😮😮
Kim me nakupenda sana kipenz
Clam my all time favourite, kama wamkubali like❤
Vraiment c'est très bien fait
Nairobi uamini mdada evo ...utapata nyumba kahamishwa kila kitu😮
Clam.nakupenda❤❤❤❤❤
Ha jawai npea like ama vle mm n mkenya😢😢
Nampenda sasa huyo dada, Kim
Da kim kashadow ka clam nakupendni 💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💕💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💕💕💕💕💕💋💋💋💋💋
Mm nampenda sana huyu kaka mweusi yuko vixuri sana kwenye kazi
@De Boy Asante nitaishia tu kumuona huku inatosha no pressure
Huyu alie vaa kofia au
Et e
Aca umalaya😂😂
Anaitwa shadow
Shadow uko vizuri unapendwa na mimi
Hahahahahahahahahahahaha!😂😂😂😂😂😂😂😂 Daah! nacheka lakini inauma sana yani sana ndugu yangu umeambulia pipi tu pole sana
Aisee
Oya wanangu kati yenu Nani anapiga huyu dem 🤣🤣🤣🤣🤣bodaboda petrol nyingi dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chelewa chelewa utapata wana si wako waenga walinena ukweli wa mambo.kimemkuta kama kifo cha ghafla 😳🤣🤣🤣🔥
Clam nakupenda naongeya naweye naongeya nahuyu
Kaka angu ntamuajia
Great ❤❤❤❤❤❤❤❤to you guys keep it up.alafu sijamsahau kicheche na vailett.
Oya we sijui shadoh broh UNAJUA KINOMA ZINGATIA
Kim uko na kamwili kadogo kazuri.unapendeza. haki ya mungu mimi nawapenda wote. Clam, shaddo, mr.bigibigi, quinni,bhailam, mwakatobe, kim, naomy,recho na wengineo wengi.yaani kiufupi mimi nawapenda sana watanzania.
Clam unachekesha sana mwanetu😂😂😂😂
Calm ni acter mzuri
This girl she so cute black beautiful
Shado Naisi Kukupenda Sijui Kwa Nni❤❤❤❤
Hahaaaa shado samwaliku mdogo wako kamind best friend 🤣🤣🤣
Unachelewa mwenzio anawai Safi sanaaaa nmeipndaaaa mnooo,
Hii ndio shida, mtu wampenda na waogopa kumwambia😂😂
Kama angekuwa ni ww ungefanyaje
wampenda kwa ishara anaogopa kumwambia maskini
❤❤❤❤ nimeipenda sana kazi njema
Congratulations ✌️✌️✌️ i'm from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazii safii Napenda video zako clam zimeweza
Never disappoint guys so reason with me good job now you know mabest friend 🔥🔥🔥🔥
Jaman mm nampeda shado
Wallah naomba connection nigependa kufanya kazi nahawa watu
Huu ushikaji bwana nomaa❤
Mdada wew unavihoja atalii kwa kwel nacheka ajab woii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Clam ana penda sana tongoza😂😂😂
Watu washakula na chumvi huko 🔥🔥🔥😂😂😂
Hahahahah... dah shadow umetisha broo🙏🏼🙏🏼
Shado uko sawa am from kenya
Safi sana clam
Best friend😂😂😂😂😂😂shado😂😂😂😂😂
Mwanang nakukubal Vevo wasalimie wenzako wa familia moja wambie mwanao kawapa haiiiiiiiiij
Bestie 😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Dah aclam unajua bana
Nmechelewa ila nmewai..😂😂😂😂black beautify mlembo atalii😂😂😂😂😂😂😂i say kazi nzuli san clam mnaaminia san
Kazi yako nzuri❤❤❤❤
Shando😂😂😂❤️❤️
Nyote muko sawa....Saida from Kenya
Aise nyiewatu
😂😂😂😂Daaaah mwishoni Nimecheka kinomaaa
Yani mwanang unanifurahishaga sana
She is so beautiful
Kkkkkk hi Kali Sana🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂😂😂 la pili b
Gonga like Kam unamkubali clam💯💯💯💯
Maliam
🔥🔥 sana 😂🏃
Hongereni sana jmn
Ehee uyo ndo clam🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Shado Atari Sana wakiigiza pamoja na clam vevo
Nakweli mapenz km embe bichi 🤣🤣
Mtu anakuja kuangalia tv unaondoka we maandazi kweli
Clam unapambana sana👊
Kazi Safi kweli💯💯💯💯 claim
mkipata pesa mnakimbilia kujichubua
Kazi nzri Nawapendraa 😘
Ulimkataa basi usilie kaka😂😂😂
Te amo from moçambique
Mashallah munge awepe ujasiri wanaume wote wasiw km hivyo ,🙏🙏🙏🙏🙏
Haaaaa! Malaya anampenda Malaya mwenziwe alafu wewe behind the cartein watupima Bhangi
😅🤣😅🤣🔥🔥🔥🔥🇲🇿baado part2
🤣The best💯
Good job 💯💯
Shadow and Clam toop talented
Daah kazi safi sana nimeipenda pia.Kwnn musitoe na cd mukupeleka kariakoo ili mtanue soko??Nawakubali sana nipo TMK TANDIKA
Kim nampenda sana jmn
Nimependa iyo clam umewahi kwely
Halafu nyie washkaji munajua sanaaaa
Nakuba clam
Nice 👍
Nawapenda Sanaa mnajua kunipa raha😂😂😂
Clam Yuko vizuri,,naipenda kazi yenu hongera Sana Mungu awape Maisha marefu APA Dunia I...naitazama nikiwa harusha
Weweeeeeeeeeeeeeeeeh 😭🤣 🤣🤣
Jaman 🤩🤩😂
Mko pw Kaz nziuri
Yaani Zawadi pp sitaki
Kazi nzuli kinomaa
Vizuri siyo😂😂😂😂😂
😂😂😂wivu tuh
Kazi nzuri
Sawa❤❤❤❤
😮Lapili B
Ira nmecheka na kumuoneah jama huruma
Best friend huyo kwio.utauponza clam
Mambo
Mumbo wegi
Nice xtory
Mko vizur xna wanamgu hampingiki
Good movie❤❤❤
😁😁😁 unapenda pipi eeeee🤣
Teacher moo
Atari sana clam
Kweli nakukubali clam
😮nimependa
Kim aiseee Dm
Sasa n malaya mbna ukamfanya b/friend ako...hahhahaha
Unarafiki mzuri kiasi hiki aah mimi siwezi😂😂😂
Kaka alovaa Kofia anaitwa nani et yuko vizuri sana
🙄🙄🙄
But anaitwa SHADOW
😂😂😂🔥🔥🔥
Naishi Nairobi

Watu washakula na chumvi huko
🔥🔥🔥😂😂😂
Hahahahah... dah shadow umetisha broo🙏🏼🙏🏼
Shado uko sawa am from kenya
Safi sana clam
Best friend😂😂😂😂😂😂shado😂😂😂😂😂
Mwanang nakukubal Vevo wasalimie wenzako wa familia moja wambie mwanao kawapa haiiiiiiiiij
Bestie 😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Dah aclam unajua bana
Nmechelewa ila nmewai..😂😂😂😂black beautify mlembo atalii😂😂😂😂😂😂😂i say kazi nzuli san clam mnaaminia san
Kazi yako nzuri❤❤❤❤
Shando😂😂😂❤️❤️
Nyote muko sawa....Saida from Kenya
Aise nyiewatu
😂😂😂😂Daaaah mwishoni Nimecheka kinomaaa
Yani mwanang unanifurahishaga sana
She is so beautiful
Kkkkkk hi Kali Sana🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂😂😂 la pili b
Gonga like Kam unamkubali clam💯💯💯💯
Maliam
🔥🔥 sana 😂🏃
Hongereni sana jmn
Ehee uyo ndo clam🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Shado Atari Sana wakiigiza pamoja na clam vevo
Nakweli mapenz km embe bichi 🤣🤣
Mtu anakuja kuangalia tv unaondoka we maandazi kweli
Clam unapambana sana👊
Kazi Safi kweli💯💯💯💯 claim
mkipata pesa mnakimbilia kujichubua
Kazi nzri Nawapendraa 😘
Ulimkataa basi usilie kaka😂😂😂
Te amo from moçambique
Mashallah munge awepe ujasiri wanaume wote wasiw km hivyo ,🙏🙏🙏🙏🙏
Haaaaa! Malaya anampenda Malaya mwenziwe alafu wewe behind the cartein watupima Bhangi
😅🤣😅🤣🔥🔥🔥🔥🇲🇿baado part2
🤣The best💯
Good job 💯💯
Shadow and Clam toop talented
Daah kazi safi sana nimeipenda pia.
Kwnn musitoe na cd mukupeleka kariakoo ili mtanue soko??
Nawakubali sana nipo TMK TANDIKA