Aliyekuwa Gavana Mike Sonko apigwa marufuku kuingia Marekani
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- Sonko pamoja na mkewe, na wanawe watatu wote hawana kibali
Serikali ya Marekani yataja sababu ya hatua yake kuwa ufisadi
Marekani yasema Sonko alihusika na ufisadi wakati akiwa Gavana
The same should be extended to other corrupt leaders in the country.
Croupt public Kenyan officers are two many, what are you doing about it sincerely I mean to Mr state secretary of USA,
Uhuru removed him using money although Sonko was corrupt but we also have others who stole bigger things than him. I had leaked voice of Sonko crying and blaming lawyer who took part in removing him.
Thank you America
You should also ban ruto
Very true
Achana na Ruto akatazwe na ni vice president
@@bendtnerimaerot3813 VP ya wakalen.sisi hapana tambua yy
@@bendtnerimaerot3813 VP ya wakalen.sisi hapana tambua yy
*Where is the pandora trillion that was stolen from the coffers of Kenya from 2013 till counting now?*
Lakini walikaribisha mfisadi namba1, william ruto??? Wacheni ufala. Ruto ni mlagahi kushinda wote hapa Kenya
Mbona hajastakiwa. Wachana na prezo
True
Kama huna pembe achana na mkutano ya wanyama wako na pembe
And to be fair to Sonko, they should add other people to the list. They should not have allowed Ruto to travel to America and all other named in corruption.
Hata Uhuru pia
It’s not ruto
Why...
Why not uhuru and raila
Hata prezzoo wetu ameficha zake in foreign banks
This is un fair. Why not Ruto and Wetangula
Nxt ni hao
America is not heven
Pole take it easy bro that's the gvn program
Reason why Ruto wants to be in the government.. once he is out of government everything won't go well with him mmh! but i don't believe in western people though to tell us what to do
Sonko was impeached by the MCA's who were the complaints what about Ruto who has proved the allegations.
Is sonko the only corrupt person in Kenya?
Is America heaven?
Seriously... alright then it shouldn't stop there, ps,Cs, governors,mps mcas and government official mentioned in corruption cases should follow soon.
Usicheze na serekali sonko kuisha 🙆💁♂️
That's a lesson well learnt period by Steve Irungu Jermaine
Wait for another one of Big man shall come
Kwani nilazima aende America?? Sonko AKO sawa
Lol. I'm saying the same thing. !.
Kwani America ndio ticket ya kuensa Heaven?
Who wants to live in rat infested and pee selling cities of the US ?
Bure kabisa.
Sonko is ok back home.
Angekuwa sawa hangelalamika. These thieves know that's where they go to do their shopping. Right now waiguru and Rutos wife are busy shopping in London buying expensive panties and bras 😄
😂 😂 you sound dumb. Mbona alikuwa anataka kwenda kama si lazima aende.
America sio Heaven! Kumejaa Mapanya 🐀 , Chokora (Homeless) , takataka, watu wanalala kwa streets kwa ma gunia na tents ⛺, kunanuka Mokjo etx esp New York, L.A na Chicago ..
How did they allow Ruto in?
Why not Ruto also
Kweli sonko amefinywa zaidi . Kupayukakuoayuka bila thinking sio poa
Heee wajua sonko anajua siri sote dio maana awataki sonko atoke nje sonko ni msema kweli atamwaka tu yote heee tulia tu BOSS
Hiv hii kenya sonko pekee ndio ako corrupt!!hata haisadii hio East or West home is the bst
Uhuru next
Gud abaki kenya tu
Add William samoei ruto
Women who visit room 350
Nick ruto
I can't remember the wife's name, but check google,
Nothing to worry about Mr Sonko, kwani US ni heaven?. Its a place full of issues like any other country. In fact you are better of in Kenya despite the hefty tax. Unless if when you are there, you are sure of meeting Abraham, Moses, Shedrack, Meshark, Abednogo and the like. Lakini kama ni hawa watu wa kawaida, you have nothing to worry about.
Really!!??? U got to just say that?
This is your tax money he was stealing btw lakini sawa as long as he hails from your village everything isorait!
Okay, whether he is corrupt or not,my question is what difference does it make by being barned to go to USA??Coz is not a must to go anyway,USA sio mbinguni
@@adamskalonzo7959 My friend why would the Americans want a corrupt drug lord roaming around their country? Don't assume just because corruption is normalized in Kenya that it's the same in other countries.
why did you allow lord of corruption to come
Dear Lord Jesus Christ help me to make the right decisions in life so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
Ruto next
Kweli Amerika ni biguni silazima
Exaclty. America ni shimo ya mavi tu ya kawaida.
Sonko?? kenya sio America 🇺🇸. America need clean people like snow
How assimio tv wishes it was ruto 😄 🤣
Azimio living in your head rent free 😂😂
Aziomated
@sam kamaa...Ask yourself why now ..maybe ni ruto Ali mupeana?
Someone else is been left out haha 😄
Marekani siyo Mbinguni jamani. Ogopa tena sana kuzuiliwa kuingia Mbinguni siyo nchi yoyote.
What about his cahoots?
Next ni ruto!!
Mtangoja sana
Kwani kuna chakula uko ataendea ama manguo?
NEXT NI NANI........KENYANS ALL KNOW.... uda--KU chronicles ✨💖
Ruto
To be fair....why sonko only...and why now?Upuzi tupu from America....He may or may not be guilty but the sheer arrogance the west has when dealing with Africans...ni sisi tujipange tu
Ruto is next...
Labda asafiri ukambani. Vaani sonko.
Haha Anne u amaze me💯😁
Thus good what of Ruto
Juu tu alisemaa anawania ugavana kanairo this uhurus govt
What has Uhuru government has to do when sonko used money for poor families?...
How about Pandora papers,covid billionaires etc
This one are being charged quicky while others have stayed for 20yrs
Kwani marekani ni mbiguni wafrica wacheni upuzi
Na wako wengi mbona
IS IT MUST TO GO TO MERICA..? IS IT PARADISE ,,, AM ONLY ASKING?
And did they allow Ruto to the United Snakes of America? Talk of double standard
Heri nisingezaliwa kenya
😂😂😂😂😂
@@gene2037 kweli,yaan Kenya ina tabu sans
I will be petitioning my country the USA as a citizen to extend the same to the kimwarer thief
What about the COVID money,land grabbing if you are really doing for the country why are you been selective
And SGR and COVID.Lets not be selective.
And Kenya should do the same to their corrupt US politicians.
You forgot mganga and his brother!!! Biggest thieves
Ooh
This is handwork of somebody in the governmnt...we understand everything we r not kids
The way we are always on the side of the corrupt big fish who are stealing our taxes n our future is just sickening n worrying
Our government has failed wacha wazungu watufanyie kazi
Kwani kuna nini ya maana Us..kwendeni huko
kwaza hawa wamerica mbona wanakuanga na kimbele mbele na maneno yetu yafrica
U find them enjoying, but they get money in dubious ways, then they brag around
Why now my man
Wengine jee?
As if it was himself alone.
bado dubai
ukisikwa na wizi jitete kivyako usianze kulalamika ati wengine
Bona hawajampiga marufuku dp ruto nahua mnatubia ni mwizi
That means ruto ni mweupe kama pamba
Not right you should ban Pandora family!
ban them you yourself
True
Yani wafrica Nini huwa inawasubuwa Kama ameiba afugwe hiyo ndio sawa lkni kusema eti asiende America hiyo ni upuzi kwani marekani nini
Wacheni nyinyi ,mbona mbona upande mmoja,DP alikuwa huko na hamkufanya kitu .Ndiye Queen mother wa termites
Kwani marekani ni mbinguni???wanajifanyaaa
Ruto ako uko na ndie mwizi wa ma billion 🤣🤣
Ruto is not a thief bt uhuru kenyatta
Bado USA wamchote kuhusu brown envelope ya Late Saitoiti afungwe kuhusu mihadharati...na regesha plot za Kanamai Kilifi South uli grab kutoka kwa wanyonge
No
Ako Sawa machakos
Hii ni upuzii...who is this America,how many corruption cases and leaders have we seen and yet we haven't seen anything like this...America my a......!
Hio dance imenimada😭😂😂😂
And the kemsa billionaires???
Kwani ni lazima aende Marekani?? Aaaah hao wasitusumbue bana, What about pandora and Other corrupt leaders around Kenya.
Why pandora...pandora papers 📃 uhunye has nothing to answer cause he's only a beneficial....its not Him who opened those accounts over shore,..but sonko used the money with was Intent to help poor children for education...hv you ever ask yourself how sonko become rich ?and he did come from a rich family....?
Sonko then uhuru is next they are just waiting for him to leave the office white men is cleaver.
Sonko ataenda kumwaga mtama uko
Kwani America ndio Heaven ? Kumbaff kabisa hawa wazungu.
Sonko hana haja ya kuenda America.
He is doing great in kenya .!
The world is also open. America isn't paradise. Its a shitthole .!.
ngoja ya india ndio tutaona watu hosii za kenya
Lesson learned that whatever you do , your family will also face the consequences
It has to do with the saitoti dossier on drugs
Sonko saga
Wanajua kile Sonko anajua. Smoke screen, something is cooking!
Government project s
Sonko, God Will open à way for you,, unapigwa fita but God Will fight for you
And they allowed the DP? 🤣 Wah!
It seems they confused Sonko with bwana Arap William Mashamba
🤣😂
Huo ni upuzi tu wa wazungu
I told you Uhuru will betray you. And you you said that I should get a job now I got a job. At the moment tunatafuta job pamoja.
huko kwani nibinguni
UTASISIKIA MAREKANI AS IF MAREKANI NDIO MUNGU AU NDIO PARADISE? MUJIVUNIO NCHI YENU NA MUWE WAZELENDO.
Mariakani.nibinguni.ameiba.kuriko.wote
Hyenas in sheep skins,that’s most of our Kenyan politicians
Nashangaa mtu anawapa Watoto wake Majina ambayo sio ya Dini yake. Kama unajivunia Dini yako basi wape watoto wako majini ambayo ni Dini yako. Usitumie Majina ya Dini usioiamini . Kufanya hivyo UNAIDHALILISHA Dini yako.
Mmmmmmm mambo ya dini imetoka wapi hapa
Kaeni na uko kwani nilazima akuje.
Kwani America ni mbinguni🤣🤣🤣
How to extend the ban to children of Sonko ..foolish .
Those children of sonko used money for helping poor children...so its ok
America sio PEPO. Wabakie na America yako.
He dont have to go to america. for what?
This one are being charged quicky while others have stayed for 20yrs