Mungu Baba naomba neema, neema ya kutosha kukujua sana Wewe na mema yanijilie na nipate kutenda makuuu kwa jina la Yesu Kristo na katika jina la Yesu Kristo Amina na Amina. AYUBU 22:21, DANIELI 11:32. ..Mtu wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege na Timu ya MANA na wote wanaojitoa kimaombi kipesa na muda kufanikisha nipate kujifunza.
Jamani Roho mtakafu kupitia mtumishi wake anasema maombi hayatoshi Wala sadaka hazitoshi tutake Amani ya Kristo utuongoze Cha kufanya ili tufanikiwe, katika malengo tuliyojiwekea, uuuuuwiiii Mungu ninani katika kazi yako nimetokaaaaaa, kimafanikioooooo kwa ufunuo huuuu Ahsante Yeeeesuuuu.
Hakika kupitia Mtumishi wa Mungu huyu hata kama ni Kwa muda mfupi napata furaha amani na burudiko ndani ya moyo..endelea kubarikiwa na kutulisha neno Baba
Mafundosho yako mwalim yananipeleka katika viwango vya juu kbisa Mungu akutunze kabisi,pia sifa na utukufu vimrudie yeye anaye kuimarisha na kukuwezesha Amina.
Eeeeh MUNGU nisaidie kukujua zaidi
Be Blessed man of GOD
Mungu naomba Ututunzie huyu Mtumishi Mwakasege tuzidi kukusikia kwa viwango kama hivi
Mungu Baba naomba neema, neema ya kutosha kukujua sana Wewe na mema yanijilie na nipate kutenda makuuu kwa jina la Yesu Kristo na katika jina la Yesu Kristo Amina na Amina. AYUBU 22:21, DANIELI 11:32. ..Mtu wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege na Timu ya MANA na wote wanaojitoa kimaombi kipesa na muda kufanikisha nipate kujifunza.
Jamani Roho mtakafu kupitia mtumishi wake anasema maombi hayatoshi Wala sadaka hazitoshi tutake Amani ya Kristo utuongoze Cha kufanya ili tufanikiwe, katika malengo tuliyojiwekea, uuuuuwiiii Mungu ninani katika kazi yako nimetokaaaaaa, kimafanikioooooo kwa ufunuo huuuu Ahsante Yeeeesuuuu.
Hakika Mungu ana vyombo. Mungu akubariki maana kazi yako ni njema. Kuna mahali Mungu ananipeleka kupitia somo hili.
asante umetuvusha mwaka na TUMEANZA mwaka salama tena kwa BARAKA TELE asante BWANA YESU❤
Mbarikiwe Kwa kazi ya Bwana
Hakika kupitia Mtumishi wa Mungu huyu hata kama ni Kwa muda mfupi napata furaha amani na burudiko ndani ya moyo..endelea kubarikiwa na kutulisha neno Baba
Asante Yesu kwa kuponya watu wako
Amen
Mungu atukuzwe sana kwa ufunuo wa Roho Mtakatifu
2024 ukawe wa baraka kwa familia yetu mungu tujalie amani ya familia na kiu ya kukujua wewe kipekee mkumbuke Daniel myumbilwa Amen
Na tupate zaidi
Mungu kulinde mtumishi wako aendelee kutupa neno zuri nimefarijika mm Thobias shija ni seronera serengeti
Asante Mwalimu Nakusikiliza kutoka Kenya Mombasa,Mungu akubariki sana.
Mafundosho yako mwalim yananipeleka katika viwango vya juu kbisa Mungu akutunze kabisi,pia sifa na utukufu vimrudie yeye anaye kuimarisha na kukuwezesha Amina.
Nashukuru sana.mwalimu mungu akulinde Mimi binafis nimepata kitu kikubwa sana
Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi
Nikujue, nikufahamuuu nikuelewee 🥹🙌🙌😊
Jina la Bwana libarikiwe sana ndani Yako mtumishi🎉❤
Mungu atukuzwe kwaajili yako mtumishi
Asante Mungu
Mungu nipe neema ya kukujua wewe zaidi amen
Asante Mungu kwa kunifungua mbariki Mtumishi wako na huduma hii
Amina mwalimu MUNGU akubaliki sana ✝️🙏
I am.so happy for this i was wait for so long thank u jesus
Nampenda yesu Kristo ❤ nimwemasikuzote aniachi nipotee
YESU
Amen amen,Bwana anisaidie niweze kumjua zaidi❤❤
Ameen napokea kwajina la YESU KRISTO
Amen Sifa na Utukufu kwako MUNGU wetu uliye juu. 🙏
Amen Yesu ni zaidi ya yote,msaada tegemeo tumaini langu hakika hakuna wa kufananishwa na Yesu,,, Asante Yesu
Asante Yesu kwa hii shule,hakika km sio wewe....🙏
Asante Baba ubarikiwe
hakika wewe ni MUNGU ni mwema sisi sote tunakili 🙏🙏🙏
Ameeeen. Nikujue wewe Yesu
Ameni ubarikiwe sana mtumishi
Amina mtumishi wa MUNGU
Mungu mbariki mtumishi wako zao la neno lako unaloliachilia kwenye kinywa cha mtumishi wako. Naomba mtume tena Semina Ya Day 3. Amen🙏🏾🙌🏾
God connect with me here, As I seek YOU in your Word!
Mwalimu mwakasege i love you
Kumjua kuna kubadilisha wewe ni nani ndani yako na nje yako.Daniel 11:32
Ni mwema sana
Hallelujah GOD Blesss
Barikiwa baba
Amen amen
Amina
Ameen
Ameeeeen
Amen 🙏
👏👏👏
🙏
Ameeeeeeeeeeeen
Tumunyana Nalengi
Ee siake
Mimi yulee😂😂
Mbarikiwe Kwa kazi ya Bwana
Ameeen Namtukuza Yesu kwa hili tunda Bora la Mungu Tz
Amina
Amina
Ameen
Amen
Ameen
Amen
Amen