Huyu hapa CEO Mpya wa Simba SC/Jemedari na Hans wamemchambua ni Mtu wa Aina gani?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @fadhilimpini
    @fadhilimpini 3 місяці тому +3

    Crown media salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @gastogeness8410
    @gastogeness8410 3 місяці тому

    Paul Mkai yupo vizuri

  • @itikamwasimanga4202
    @itikamwasimanga4202 3 місяці тому

    Paul Mkali King Kiba kapata mtu kweli kweli wewr unajua sana Paul mkali🔥🔥

  • @andrewmbwiga1389
    @andrewmbwiga1389 3 місяці тому

    Daaah hii combination nmeipenda ❤❤❤❤❤

  • @methuselambonimana4499
    @methuselambonimana4499 3 місяці тому +1

    Nanyi pia wachambuzi mnachangia. Team isipopata matokeo ndo ninyi wa kwanza kuanza kutengeneza pressure kwa uchambuzi wenu dhidi ya viongozi na mashabiki.
    Nanyi muwe mnajitathmini uchambuzi wenu.

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 3 місяці тому +1

    Cronwn from South Africa 🇿🇦 Cape Town nawepata vzr San na enjoy San 🫰

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 3 місяці тому

    Safii sanaaa😂😂😂

  • @dicksonngasapa7007
    @dicksonngasapa7007 3 місяці тому

    Malanyingi mtu ukiwa mee nimbahati kubakiwa na akili zote kama ulivyokua kijana

  • @itikamwasimanga4202
    @itikamwasimanga4202 3 місяці тому

    Mjitahidi muwe wa tofauti na Crown sasa mana WACHAMBUZI wengi wamenunuliwa tayari awachambui wanakandamiza na kuweka mahaba WALIKO nunuliwa kuweni balanced mchote mashabiki wote wapenda michezo

  • @kizakizapetro6205
    @kizakizapetro6205 3 місяці тому

    Kutoka south Africa ninawapata 100 kwa 100

  • @haidarimfinanga9755
    @haidarimfinanga9755 3 місяці тому

    Hivi Jemadari ndiye Jimmy!!!

  • @hasheemmagayane3376
    @hasheemmagayane3376 3 місяці тому

    Tunaitaj mataji wanasimba ishaallah

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 3 місяці тому

    Kuweni wakweli kocha hudumu kwenyetim kutokana na matokeo mazuri nahapo inategemea nawenyetimu kwao matokeo mazuri nikitugani nikubakiligikuu,kucheza vizuri,au kuchukuakombe

  • @MsafiliJumanne
    @MsafiliJumanne 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 3 місяці тому +1

    TBC haina uchawa kwenye mpira labda mambo yenu ya siasa..

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 3 місяці тому

    Tatizo media za Tanzania zipo kama TBC Tanzania zimejaza machawa vimbaya sana ccm mwingi

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 3 місяці тому

    mbon kama wasafi vp tena

  • @fadhilimpini
    @fadhilimpini 3 місяці тому

    Crown media salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @fadhilimpini
    @fadhilimpini 3 місяці тому

    Crown media salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿