BABA YAKE HAJI MANARA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA ALIVYOTESEKA KUMLEA MTOTO WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 4

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 2 дні тому +2

    Kumbe Haji manara kafanana sana na baba yake mpk pua sema tu Haji anaulemavu wa ngozi ila baba yake mtupu Mungu aendelee kuwatunza zaidi na zaidi 🙏🙏

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 2 дні тому +3

    Allah ni mkubwa sana mana leo Haji ni taasisi na Baba yake anashuhudia mafanikio ya mwanawe kwa uchungu.. Allah azidi kukulinda Haji na familia yako yote..

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh День тому

    Sasa baba analia nini sijaelewa ni furaha au huzuni

  • @BabyJ-td5zc
    @BabyJ-td5zc День тому

    Vp hawa wote ni ndugu wa manara au