MSISAHAU KUONDOA "TOPIC YA EVOLUTION " KATIKA HISTORIA, INAYOSEMA MWANADAMU ALIANZIA KWENYE NYANI ; MAANA JAMBO HILO HALIBEBEKI HATA KWA WATOTO WENYEWE AKILINI; BALI NI KUFURU KABISA.
Aliwahi kushauri Jaji Warioba si vizuri kukutanisha mihimili mitatu Bunge ,Mahakama na Serikali ili kulinda uhuru wa kila mhimili kusimamia majukumu yake kwa hali ilivyo serikali haiwezi kusimamiwa na Bunge kwa hali ilivyo mahakama haiwezi kuisimamia serikali
nakubali mengne hayana maana kama historia