Ni nini cha kuzingatia ili uweze kutimiza Malengo yako mwaka huu?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2021
  • Watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kwa sababu tofauti zikiwemo:
    1. Kutokua na malengo sahihi (lack of S.M.A.R.T. goals)
    2. Kutopanga jinsi ya kutimiza malengo yao (lack of planning)
    3. Kutochukua hatua sahihi na stahiki ili kufanikisha walilokusudia kufanya (inaction)
    4..... na sababu zingine nyingi.
    Kwenye video hii, nimedadavua acronym ya P.L.A.N.N.I.N.G ambayo imejibu maswali mengi kuhusu kwa nini watu wengi hushidwa kufanikisha malengo yao.
    Karibu na usisite kushare na wengine.

КОМЕНТАРІ •